Kwa hesabu zangu Makusanyo ya DP World bado yapo chini kulinganisha na miaka ya nyuma 2019/20

Bosi Bandari ina Gati 11, Gati 0-7 Dp world, Gati 8-11 Adani, Msemaji wa serikali anasema hayo ni mapato ya Gati 0-7 wewe unasema ni mapato ya Bandari nzima bado unahisi upo sawa? Nipotezee tu mkuu usinipotezee muda
 
Bosi Bandari ina Gati 11, Gati 0-7 Dp world, Gati 8-11 Adani, Msemaji wa serikali anasema hayo ni mapato ya Gati 0-7 wewe unasema ni mapato ya Bandari nzima bado unahisi upo sawa? Nipotezee tu mkuu usinipotezee muda
Wewe hujui lolote. Gati 0-7 ni dp world, na TPA wo wanaoperate gati zipi?

Ninekutolea mfano kwa kuwa hukuelewa hiyo taarifa vizuri. Nakupa mfano mwingine TRA wanaposema makusanyo yameongezeka sababu ya matumizi ya EFD, tafsiri yake makusanyo wanayozungumza yanatokana na EFD tu?

Nilitegemea ungeleta hayo mapato ya Adani ili tuone hiko unachosema. Hadi sasa hivi hujaleta mapato ya adani, utakua umegoogle mpaka umechoka. Ndio uelewe
 
Wivu wa kike, hii ni sifa yetu ambayo tunazaliwa tunazeeka mpaka tunakufa nayo.

Hawezi kuzungumzia namna zile habari za wateja kuikimbia bandari yetu na kwenda Mombasa au Beira, siku hizi hakuna tena upuuzi huo.
 
TPA wanashirikiana na DP World katika baadhi ya magati kwa maana ya hayo 0-7, kwenye mkataba DPW anatakiwa atoe elimu ya masuala ya shipping kwa wafanyakazi wazalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ