JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Ulitegemea nini toka kwa muimba taarabu.Huyu Bibi nimemtetea sana ila dizaini naona mipasho mingi kuliko utendaji kazi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitegemea nini toka kwa muimba taarabu.Huyu Bibi nimemtetea sana ila dizaini naona mipasho mingi kuliko utendaji kazi..
Msoga back in office for a third term.Ukweli mchungu mama 2025 nafasi hii aachie wengine amalizie hicho kiporo.
Kwa sasa anasifiwa na wanaojuwa kufisadi nchi huku wakimvisha kilemba ukoka kuwa anaupiga mwingi wengine wakiumia tena kuumia kupitiliza!
Tayari wengine baada ya kuanza kutafna keki ya taifa wanajiita nyuki wa mama.
Na mama mwenyewe ni kama ameziba masikio. Akumbuke alienda mkoa wa mara alijiona mwenyewe jinsi wakuu wa idara walivyokuwa wakikwamisha baadhi ya miradi na kujilipa fedha za umma !
Huo ni mkoa aliofanyia ziara je mikoa mingine huko pakoje?
Eti huyu ana utamu na nchiKwani huyu hana uchungu na nchi?
Acha kumpangia cha kufanya.Lakini pia mimi kama mwananchi wa kawaida mwenye uhuru wa kutoa maoni katika nchi hii, ninapenda kumueleza Rais Samia kwamba Sisi tunampemda na tunamuheshimu sana, aendelee kuchapa kazi kwa kipindi hiki kilichobaki lakini chonde chonde 2025 aamue tu kwa hiyari yake kutogombea tena nafasi ya Urais ili kulinda heshima yake.
Yupo Mbowe au Lisu uje umchague tuuBaada ya kuona kabisa kwamba tuko kwenye uelekeo ambao hauna dira, napemda kutoa Rai kwa Chama cha Mapinduzi 2025 mtuletee mgombea Urais mwenye dira maono na mwenye uchungu na Rasilimali za nchi hii.
Hatuhitaji mtuletee mtu ambaye kutwa kucha anawaza uchaguzi na jinsi ya kuendelea kuwa Rais badala ya kuwaza maendeleo ya watanzania,
Hatuhitaji mtu amabye yuko radhi kuwaruhusu watu wafanye ufisadi ili wampe sapoti aendelee kuwa Rais hatutaki!
Lakini pia mimi kama mwananchi wa kawaida mwenye uhuru wa kutoa maoni katika nchi hii, ninapenda kumueleza Rais Samia kwamba Sisi tunampemda na tunamuheshimu sana, aendelee kuchapa kazi kwa kipindi hiki kilichobaki lakini chonde chonde 2025 aamue tu kwa hiyari yake kutogombea tena nafasi ya Urais ili kulinda heshima yake.
Asanteni sana
Samia hahitaji wala hajawahi kukuomba umtete kima kama wewe.Huyu Bibi nimemtetea sana ila dizaini naona mipasho mingi kuliko utendaji kazi..
Kwa nini usiwe wewe mwenye uchungu?Naunga mkono hoja.Ikibidi aliyepo sasa ajiuzulu tu ili kupisha kiongozi mzalendo na mwenye uchungu na nchi
Ulipo hapo unaelewa hata dira ya Taifa?Kama taifa kwa muda tunatembea na sera ipi maana viwanda naona imetushinda.
kuna muda najaribu kufananisha CCM na Chama cha kikomunisti cha china nikagundua utofauti mkubwa baina yao ni uzalendo wa dhati,ccm wengi ni wanafki,wabinafsi na wasiolitakia taifa hili maendeleo...
So ulitaka sukuma gang ndio muwepo ofisini?Msoga back in office for a third term.
Sukuma gang ni takataka gani!?So ulitaka sukuma gang ndio muwepo ofisini?
Ajira zilikua hazitolewi alafu ww huyohuyo tena uliitwa interview ya TRAUkiona mtu anasema Rais Samia hafai ujue mrija wake wa kula umekata.
Watumishi wamekaa miaka 5 hawajaongezewa mishahara, fao la kujitoa nssf wamekula pesa zetu, ajira zilikua hazitolewi hayo ni baadhi ya machache tu lkn kipindi hicho chote hukuona Rais aliyekuwepo hafai.
Sasa hivi unaleta mdomo wako kwasababu mrija wako umekatwa[emoji28].
Tuliza mbupu hizo
Takataka ya awamu ileSukuma gang ni takataka gani!?
jaribu kunielewesha maana nahisi hiyo dira yenyewe siioni!Ulipo hapo unaelewa hata dira ya Taifa?
Hotuba zake zimesheheni,' Mimi ndo Rais, kwani asiyejua kwamba ni Rais ni nani?
Ili waje wateke watanzania na kutumbukiza mtoni kwenye viroba?Naunga mkono hoja.Ikibidi aliyepo sasa ajiuzulu tu ili kupisha kiongozi mzalendo na mwenye uchungu na nchi
Ukiandika kwa kingereza hichi ulichoandika naweza kufikiria kukujibuSamia hahitaji wala hajawahi kukuomba umtete kima kama wewe.