Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Cheki akili ako ilivyo mbovu mkuu, badala uombe nikurushie maarifa ya kuipata hiyo elf 10 wewe unataka nikurushie ukanywe supu then uunganishe bia. Hovyo kabisa🤣🤣🤣 Mkuu Kama una laki 5 hapo ulipo hongera Sana, basi nirushie elfu 10 ninywe supu
Sikatai watu wasisome lakini tunataka tija kwanza maslahi baadae, saidia jamii kama akina Madeleka/Kibatala/Lisu n.kHahaaaaa mkuu
Nashangaa kuona huu uzi nautetea pekee yangu wakati Kuna watu Wana masters huko hata cheo Cha ualimu wa darasa hawanaCheki akili ako ilivyo mbovu mkuu, badala uombe nikurushie maarifa ya kuipata hiyo elf 10 wewe unataka nikurushie ukanywe supu then uunganishe bia. Hovyo ka
Ametengeneza Helicopter inayotumia kinyesi cha mbuziJibu maswali ya masters ako tuone hapa tija ake tangu umepata
Hao hawakusoma ili wapate mishara mikubwa walisoma wapate maarifa, wengi wanafanya biashara zao na siyo kusubiri waombewe mishahara na TUCTA.Nashangaa kuona huu uzi nautetea pekee yangu wakati Kuna watu Wana masters huko hata cheo Cha ualimu wa darasa hawana
Umegusia kitu cha muhimu sana, yaani nimesoma ujumbe mwanzoni kabisa nimekutana na neno TIJA. Hili ni neno fupi lakini ni mada pana sana. Taifa lina watu wengi sanaa waliosoma kwa ngazi tofauti tofauti, wameajiriwa maeneo tofauti tofauti. Lakini ni muhimu kuona tija ya kila mtu kwenye eneo lake la kazi hadi nyumbani kwake kupitia hiyo elimu yake. Ni mambo ya upuuzi taifa leo hii kina watu wengi waliosoma lakini bado ukipita kwenye makazi ya watu kwenye mitaa mingi takataka zimezagaa. Magonjwa ya mlipuko bado yanalisumbua taifa hii ni hatari. Ina maana hakuna tija hata ya elimu msingi ndani ya taifa letu??Tunataka tija ya hiyo masters ako na siyo cheti, watumishi wa umma nyie ni wajinga sn, kutwa kujisifia elimu badala ya kufanya kazi mzalishe wananchi wapate unafuu wa maisha nyie ni maigizo ya masters. Haya tangu umemaliza masters umefanya nini cha tofauti na wenye degree? au ulitaka tujue kuwa una masters hapa? Masters yenyewe assignments + research ulifanyiwa ulichofanya ni kutoa hela tu. Shame on you
Yeye mwenyewe muulize alisoma masters ili afanye nini hajui mpk leo.Ametengeneza Helicopter inayotumia mchanga
Lisu familia ake inaishi Ulaya wewe mshahara umeishia kwenye mkopo wa gari ndiyo maana unataka ulipwe kwa masters.Huoni wanapigisha watu donation kila siku
Mkuu ukikaa na watumishi wa umma kupiga story ndiyo utagundua elimu haina thamani yaani wao akili zao zinawaza mishahara badala ya kuhudumia jamii kwanza(legacy), then maslahi yatakuja menyewe, kama uzalishaji ni mkubwa maanake wananchi watafaidi watalipa kodi na mapato ya nchi yataongezeka na mishahara ipatanda, ni aibu unaenda karibu ofisi nzima ya halmashauri watu wana masters lakini tija ni zero, why tuna gas, tanzanite, mito, mabwawa, makaa ya mawe, ardhi nzuri ya kilimo, mbunga za wanyama, bahari, maziwa, milima, misitu, mabonde mazuri, madini ya kila aina, mifungo kibao na watu wa kutosha lakini tumeshindwa kuvitumia sababu ya elimu yetu ya kijinga haitusaidii, anakuja mchina na diploma anakuja kuchimba makaa ya mawe lakini kuna jitu lina masters halijui hata linafanya nini duniani. Hovyo kabisa tuwekeze kwanza kwenye ujuzi tuweze kutumia rasilimali zetu zinufaishe jamii badala ya kunufaika binafsi.Umegusia kitu cha muhimu sana, yaani nimesoma ujumbe mwanzoni kabisa nimekutana na neno TIJA. Hili ni neno fupi lakini ni mada pana sana. Taifa lina watu wengi sanaa waliosoma kwa ngazi tofauti tofauti, wameajiriwa maeneo tofauti tofauti. Lakini ni muhimu kuona tija ya kila mtu kwenye eneo lake la kazi hadi nyumbani kwake kupitia hiyo elimu yake. Ni mambo ya upuuzi taifa leo hii kina watu wengi waliosoma lakini bado ukipita kwenye makazi ya watu kwenye mitaa mingi takataka zimezagaa. Magonjwa ya mlipuko bado yanalisumbua taifa hii ni hatari. Ina maana hakuna tija hata ya elimu msingi ndani ya taifa letu??
Ni ubinafsi tu umemjaa yeye anawaza mishahara tuYeye mwenyewe muulize alisoma masters ili afanye nini hajui mpk leo.
Ateuliwe kuwa DC, RC,n.kHalafu eti mtu anasoma masters of public administration ili iweje?
Hopeless kabisa, tuna wasomi ambao hawajaelimika hata kdgNi ubinafsi tu umemjaa yeye anawaza mishahara tu
Yeye na wewe nani mbinafsi?Ni ubinafsi tu umemjaa yeye anawaza mishahara tu
Shukrani Sana mkuu🙏🏿Yeye na wewe nani mbinafsi?
Yeye anataka malipo kwa kazi anayoifanya, wewe hutaki alipwe kwa kazi anayoifanya
Na huna cha kushauri ili kuboresha au kueleweshwa pale ambapo wewe unahisi una gap bali unakuja kumvamia na kumuita mbinafsi.
Mei mosi inakuja inawezekana kutakuwa na mabango ya kuomba nyongeza ya mishahara, posho, vyeo, mafao na stahiki zingine
Tuna kuomba na wewe uweze kuja na bango lako la kupinga nyongeza za mishahara na stahiki zingine kwa wafanyakazi