Kwa heshima na Tahadhima tunaiomba Serikali yetu sikivu ya JMT ianze kuipa muundo wa kiutumishi na mshahara Masters/PhD degree

Comrade umekuwa na mchango mkubwa Sana kwenye huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mimi hakuna nilichofanya zaidi ya kuhujumiwa tu🤣🤣🤣
Pole tenda haki MUNGU atasimama na wewe. Wala ni uhalisia tu mkuu, natamani wasomi wetu wafanye vitu unique kwenye taasisi zao then maslahi yafuate, sahivi sioni tafauti kabisa kwa upande wa utendaji kati ya mwenye diploma/degree/masters. Hebu tubadili fikira isiwe ukisoma unaanza kuwaza mshahara mkubwa yaani tuanze kuangalia tija, je tunawasaidiaje wanyonge, yatima na wajane kwenye kazi wetu? tukifuata mkumbo wa watawala kuiba na kujitajirisha tutakuwa hatujatenda haki kwa wananchi na mbele za MUNGU, tuige utendaji wa wazungu. Naomba niishie hapo
 
Kama una hoja ingawa umeiweka kimzahamzaha
 
Ukiona umesoma mpk level ya Phd then unalialia kuhusu kuongezwa ka mshahara, we ni zero kabisa
Dah msenge umehonga mle mle samahani lakini huo ndio ukweli PHD unahitaji msgahara halafu viongoz diploma aisee ww mjinga mjina pro max
 
Mawazo ya sisi nchi masikini ambazo elimu na maarifa hayatiliwi maanani. Hivi ulishawahi jiuliza ni kwanini makampuni makubwa yanaenda kuzalisha bidhaa zao china na nchi nyingi za Asia ni si Afrika?

Hizo nchi za Asia zingekuwa na mawazo ya kwako ya kila mwananchi kuvuga mbuzi na Sungura hayo maendeleo unayoyaona na huo uwekezaji mkubwa waliouvutia usingekuwepo kwenye nchi zao.

Siungani na mtoa mada kuhusu masters kuwa na mshahara maalum ila aya mawazo yako ya hovyo ndo yamenivuta kuchangia.

Asante
 
Halafu eti mtu anasoma masters of public administration ili iweje?
Hapo ndio zilipochefua master tEEa kwa kufanyiwa ukimwambia mtu sample size hii wàla isiwe hle anaanzankusweat mm nionavo master sio hitaji la mwajiri umejisomesha ww ili kufanya kaz yako kwa ufanisi ukihitajika utaajiriwa kwa mlango wa master / PhD
 
AMINA
 
Mkuu pole na kazi yakuchunga, tunahitaji tupate nyama salama
 
Kama Kuna watu wenye masters au PhD humu ungeni mkono hii hoja ..siku Mh. Samia akituelewa akaamua kutupa muundo wa kiutumishi itakuwa neema sana.
God Bless our President Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 ❤️
 
Dah! Elimu ya kiwango cha juu isibezwe lakini tuseme wanaoonesha matokeo ya dhamani ya kiwango cha elimu waliyonayo kwa jamii walipwe zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…