Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole tenda haki MUNGU atasimama na wewe. Wala ni uhalisia tu mkuu, natamani wasomi wetu wafanye vitu unique kwenye taasisi zao then maslahi yafuate, sahivi sioni tafauti kabisa kwa upande wa utendaji kati ya mwenye diploma/degree/masters. Hebu tubadili fikira isiwe ukisoma unaanza kuwaza mshahara mkubwa yaani tuanze kuangalia tija, je tunawasaidiaje wanyonge, yatima na wajane kwenye kazi wetu? tukifuata mkumbo wa watawala kuiba na kujitajirisha tutakuwa hatujatenda haki kwa wananchi na mbele za MUNGU, tuige utendaji wa wazungu. Naomba niishie hapoComrade umekuwa na mchango mkubwa Sana kwenye huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mimi hakuna nilichofanya zaidi ya kuhujumiwa tu🤣🤣🤣
Kama una hoja ingawa umeiweka kimzahamzahaHahaha utafanya watu tuanze kujiuliza Nini faida ya kwenda kusoma master na kutoa million zaidi ya 4..wakati ningeridhika tu na elimu na kazi kisha nikawekeza kwa nguvu na akili kufuga ng'ombe,mbuzi,kondoo,pig,kuku,Bata,sungura na njiwa..
Kusoma sana ni uoga wa maisha..kusoma maneno ya ki British ni upuuzi..maarifa gani ya muhimu kwa sasa hayapo online..poleni wasaka vyeo
Dah msenge umehonga mle mle samahani lakini huo ndio ukweli PHD unahitaji msgahara halafu viongoz diploma aisee ww mjinga mjina pro maxUkiona umesoma mpk level ya Phd then unalialia kuhusu kuongezwa ka mshahara, we ni zero kabisa
Mawazo ya sisi nchi masikini ambazo elimu na maarifa hayatiliwi maanani. Hivi ulishawahi jiuliza ni kwanini makampuni makubwa yanaenda kuzalisha bidhaa zao china na nchi nyingi za Asia ni si Afrika?Hahaha utafanya watu tuanze kujiuliza Nini faida ya kwenda kusoma master na kutoa million zaidi ya 4..wakati ningeridhika tu na elimu na kazi kisha nikawekeza kwa nguvu na akili kufuga ng'ombe,mbuzi,kondoo,pig,kuku,Bata,sungura na njiwa..
Kusoma sana ni uoga wa maisha..kusoma maneno ya ki British ni upuuzi..maarifa gani ya muhimu kwa sasa hayapo online..poleni wasaka vyeo
Hapo ndio zilipochefua master tEEa kwa kufanyiwa ukimwambia mtu sample size hii wàla isiwe hle anaanzankusweat mm nionavo master sio hitaji la mwajiri umejisomesha ww ili kufanya kaz yako kwa ufanisi ukihitajika utaajiriwa kwa mlango wa master / PhDHalafu eti mtu anasoma masters of public administration ili iweje?
AMINAPole tenda haki MUNGU atasimama na wewe. Wala ni uhalisia tu mkuu, natamani wasomi wetu wafanye vitu unique kwenye taasisi zao then maslahi yafuate, sahivi sioni tafauti kabisa kwa upande wa utendaji kati ya mwenye diploma/degree/masters. Hebu tubadili fikira isiwe ukisoma unaanza kuwaza mshahara mkubwa yaani tuanze kuangalia tija, je tunawasaidiaje wanyonge, yatima na wajane kwenye kazi wetu? tukifuata mkumbo wa watawala kuiba na kujitajirisha tutakuwa hatujatenda haki kwa wananchi na mbele za MUNGU, tuige utendaji wa wazungu. Naomba niishie hapo
Mkuu pole na kazi yakuchunga, tunahitaji tupate nyama salamaHahaha utafanya watu tuanze kujiuliza Nini faida ya kwenda kusoma master na kutoa million zaidi ya 4..wakati ningeridhika tu na elimu na kazi kisha nikawekeza kwa nguvu na akili kufuga ng'ombe,mbuzi,kondoo,pig,kuku,Bata,sungura na njiwa..
Kusoma sana ni uoga wa maisha..kusoma maneno ya ki British ni upuuzi..maarifa gani ya muhimu kwa sasa hayapo online..poleni wasaka vyeo
Dah! Elimu ya kiwango cha juu isibezwe lakini tuseme wanaoonesha matokeo ya dhamani ya kiwango cha elimu waliyonayo kwa jamii walipwe zaidi.Unaamini kwenye masters?
1.Wewe una masters ya usimamizi wa biashara,hujawahi miliki hata genge,wenzako wanajua kusoma na kuandika wanamiliki mafremu pale Sinza.
2.Una master ya education,ulikalili vitini,kazi kukaa ofisini kupiga umbeya tu,wenzako hawajui hata degree ni nini wakina Mgote,Hidden,wakina Mbuga,wanajaza wanafunzi miaka na miaka pale mchikichini
3.Kuna watu wameenda kusoma MD,china wakirudi wanajua salamu tu za kichina,wakimaliza intern ndio habari yao inaishia hapo,ila madogo waliosoma CO,Kilosa,Lindi,Sengerema ukiwaachia kijiwe wanapiga mzigo ile mbaya
Unalalamika sababu hauna hio thamani unayotaka ulipwe,......na huu ndio upumbavu wa wasomi wengi wa bongo,ukiwemo wewe