Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ona huo Mpunga waliovuta Jana Tu, halafu huku likud ameshalewa visungura anaropoka Tu, hajui watu wapo kazini.Wenzetu kwa jinsi walivyowekeza unaona kabisa faida ya kufidia gharama zao za Budget haipo kwenye matazamio ya zile pesa watazopata wakiwa mabingwa wa champion league.
Wenzetu wanajua njia pekee ya wao kurudisha pesa zao ni world cup huko.
Mkuu mpira unachezwa kiwanjani sio nje ya uwanja wala mezani. Endelea kuota.Motsepe ametia aibu soka la Afrika.
Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.
Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"
Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema it was a clear goal. Yanga wapewe haki yao.
Mimi nasema kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za mpira hata Yanga wakikata rufaa hawawezi kusonga mbele (Still kama tuna lobbyist wazuri uwezekano wa Yanga kusonga mbele kwa kutumia sheria hizo hizo za fifa ni 100%. Hizo sheria zinaweza kuwa manipulated na Yanga wakapewa haki yao vizuri sana na ikatengenezwa precedent mpya kwenye sheria za soka)
But option ya pili ambayo inaweza kuwa Rais ni kwa Mamelody wenyewe na Motsepe waamue kujitoa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Suala kupelekwe kisiasa ili mradi Yanga wapate haki yao. Mamelody watazame kwenye sheria za Fifa ni sababu ipi inaweza kupelekea club kuruhusiwa kujitoa kuendelea na mashindano ya hatua iliyo fikia Mamelody. Mamelody waombe Caf kujitoa kwenye mashindano na badala yake nafasi yake wapewe Yanga ambao ndio wana stahili. Kinyume cha hapo Motsepe hawezi kuheshimika tena kwenye ulimwengu wa soka.
Mamelody wajitoe Yanga waingie nusu fainali.
Mmmh, hii ngumu kumesa! Labda kama kuna uwezekano FIFA iingilie kati mechi irudiwe na ikapigwe kwenye uwanja huru!Motsepe ametia aibu soka la Afrika.
Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.
Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"
Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema it was a clear goal. Yanga wapewe haki yao.
Mimi nasema kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za mpira hata Yanga wakikata rufaa hawawezi kusonga mbele (Still kama tuna lobbyist wazuri uwezekano wa Yanga kusonga mbele kwa kutumia sheria hizo hizo za fifa ni 100%. Hizo sheria zinaweza kuwa manipulated na Yanga wakapewa haki yao vizuri sana na ikatengenezwa precedent mpya kwenye sheria za soka)
But option ya pili ambayo inaweza kuwa Rais ni kwa Mamelody wenyewe na Motsepe waamue kujitoa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Suala kupelekwe kisiasa ili mradi Yanga wapate haki yao. Mamelody watazame kwenye sheria za Fifa ni sababu ipi inaweza kupelekea club kuruhusiwa kujitoa kuendelea na mashindano ya hatua iliyo fikia Mamelody. Mamelody waombe Caf kujitoa kwenye mashindano na badala yake nafasi yake wapewe Yanga ambao ndio wana stahili. Kinyume cha hapo Motsepe hawezi kuheshimika tena kwenye ulimwengu wa soka.
Mamelody wajitoe Yanga waingie nusu fainali.
Na hivi ndivyo anavyowaza LIKUD akivuta ganjaMotsepe ametia aibu soka la Afrika.

Endelea kujidanganya hivyoMamelodi hawana morali tena ya kuendelea na nusu fainali.hii mechi imewaumbua.
Hakuna bilioni 140 katika hilo kombeHuyo hajui timu zinavuta Billion ngapi kila stage.
Ukichukuwa Hilo kombe kwenda club bingwa ya dunia kuna kama Billion 140 club inapewa.
Sasa yeye kalewa ugoro anadhani NI Jambo rahisi, na Mamelodi wamewekeza hasa wanasajili kwa gharama kubwa,
Kwa sababu sio lazima aangalie VAR.Kwanini Refa hakwenda kiangalia VAR?
Sio lazima refa akatazame VARWakati hata refa hakwenda kutazama.var.
Motsepe asiheshimike kwa kikundi cha washabiki wa yanga ,shida ya washabiki mnataka kila mtu aishi kwenye kikundi chenu.Motsepe ametia aibu soka la Afrika.
Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.
Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"
Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema it was a clear goal. Yanga wapewe haki yao.
Mimi nasema kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za mpira hata Yanga wakikata rufaa hawawezi kusonga mbele (Still kama tuna lobbyist wazuri uwezekano wa Yanga kusonga mbele kwa kutumia sheria hizo hizo za fifa ni 100%. Hizo sheria zinaweza kuwa manipulated na Yanga wakapewa haki yao vizuri sana na ikatengenezwa precedent mpya kwenye sheria za soka)
But option ya pili ambayo inaweza kuwa Rais ni kwa Mamelody wenyewe na Motsepe waamue kujitoa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Suala kupelekwe kisiasa ili mradi Yanga wapate haki yao. Mamelody watazame kwenye sheria za Fifa ni sababu ipi inaweza kupelekea club kuruhusiwa kujitoa kuendelea na mashindano ya hatua iliyo fikia Mamelody. Mamelody waombe Caf kujitoa kwenye mashindano na badala yake nafasi yake wapewe Yanga ambao ndio wana stahili. Kinyume cha hapo Motsepe hawezi kuheshimika tena kwenye ulimwengu wa soka.
Mamelody wajitoe Yanga waingie nusu fainali.
Ndiwoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iyo kawaida Tu bob Orlando alifunga goli pale pale south yaaaaani nchi Ile Ile mechi na Simba clear offside VAR ipo na refa akwenda kureview uto walishangilia Simba wakaumia na mwisho Simba ana ondoka kwenye penati karma malipo ni hapa nchi Ile Ile inatokea kitu kama kile na mwisho mtaani ana ondoka Kwa penati sie Simba tunaona ok maumivu Yale Yale tunapokezana aisee mungu fundi unacho kifurahia Leo kesho Kita kuumiza amini Kwamba.
Weraaaaa weraaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2772][emoji112][emoji2772]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaota wee, hebu amka.Yeah, wajitoe wenyewe, maana hii ni aibu!
Hapana kujisahihisha ulipokosea kwa kuomba radhi ni heshima kubwa unabaki na heshima yako.Yaani wafanye “Jitihada” halafu waishie kuomba kujitoa? Si dunia itawaona kuwa ni mashoga? Au mnaonaje wajameni?
Acha Nitulie Maana Tumemaliza La Aziz Ki Kuhusu Goal Au Si Goal.Weraaaaa weraaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nahs umechelewa kupata updates..Mamelod wameshajitoa,wameandka barua rasmi kwenda Caf na FIFA kuptia chama cha mpira wa miguu cha buza kwa mpalange.....link htpp/buzamplng.football.utopolo.userloginMotsepe ametia aibu soka la Afrika.
Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.
Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"
Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema it was a clear goal. Yanga wapewe haki yao.
Mimi nasema kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za mpira hata Yanga wakikata rufaa hawawezi kusonga mbele (Still kama tuna lobbyist wazuri uwezekano wa Yanga kusonga mbele kwa kutumia sheria hizo hizo za fifa ni 100%. Hizo sheria zinaweza kuwa manipulated na Yanga wakapewa haki yao vizuri sana na ikatengenezwa precedent mpya kwenye sheria za soka)
But option ya pili ambayo inaweza kuwa Rais ni kwa Mamelody wenyewe na Motsepe waamue kujitoa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Suala kupelekwe kisiasa ili mradi Yanga wapate haki yao. Mamelody watazame kwenye sheria za Fifa ni sababu ipi inaweza kupelekea club kuruhusiwa kujitoa kuendelea na mashindano ya hatua iliyo fikia Mamelody. Mamelody waombe Caf kujitoa kwenye mashindano na badala yake nafasi yake wapewe Yanga ambao ndio wana stahili. Kinyume cha hapo Motsepe hawezi kuheshimika tena kwenye ulimwengu wa soka.
Mamelody wajitoe Yanga waingie nusu fainali.
Dah, kumbe kuba nusu fainali nyingineLabda Uto wapo nusu fainal Ramadhan cup