Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

Wenzetu kwa jinsi walivyowekeza unaona kabisa faida ya kufidia gharama zao za Budget haipo kwenye matazamio ya zile pesa watazopata wakiwa mabingwa wa champion league.

Wenzetu wanajua njia pekee ya wao kurudisha pesa zao ni world cup huko.
Ona huo Mpunga waliovuta Jana Tu, halafu huku likud ameshalewa visungura anaropoka Tu, hajui watu wapo kazini.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-04-06-18-14-53-95.png
    Screenshot_2024-04-06-18-14-53-95.png
    483.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-04-06-18-14-44-16.png
    Screenshot_2024-04-06-18-14-44-16.png
    295.2 KB · Views: 4
Motsepe ametia aibu soka la Afrika.

Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.

Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"

Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema it was a clear goal. Yanga wapewe haki yao.

Mimi nasema kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za mpira hata Yanga wakikata rufaa hawawezi kusonga mbele (Still kama tuna lobbyist wazuri uwezekano wa Yanga kusonga mbele kwa kutumia sheria hizo hizo za fifa ni 100%. Hizo sheria zinaweza kuwa manipulated na Yanga wakapewa haki yao vizuri sana na ikatengenezwa precedent mpya kwenye sheria za soka)

But option ya pili ambayo inaweza kuwa Rais ni kwa Mamelody wenyewe na Motsepe waamue kujitoa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Suala kupelekwe kisiasa ili mradi Yanga wapate haki yao. Mamelody watazame kwenye sheria za Fifa ni sababu ipi inaweza kupelekea club kuruhusiwa kujitoa kuendelea na mashindano ya hatua iliyo fikia Mamelody. Mamelody waombe Caf kujitoa kwenye mashindano na badala yake nafasi yake wapewe Yanga ambao ndio wana stahili. Kinyume cha hapo Motsepe hawezi kuheshimika tena kwenye ulimwengu wa soka.

Mamelody wajitoe Yanga waingie nusu fainali.
Mkuu mpira unachezwa kiwanjani sio nje ya uwanja wala mezani. Endelea kuota.
 
Mmmh, hii ngumu kumesa! Labda kama kuna uwezekano FIFA iingilie kati mechi irudiwe na ikapigwe kwenye uwanja huru!
 
Motsepe alimuoa uwanjani jana,au ulimuona refa na wanakandanda 22.
 
Motsepe ametia aibu soka la Afrika.

Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.

Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"

Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema it was a clear goal. Yanga wapewe haki yao.

Mimi nasema kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za mpira hata Yanga wakikata rufaa hawawezi kusonga mbele (Still kama tuna lobbyist wazuri uwezekano wa Yanga kusonga mbele kwa kutumia sheria hizo hizo za fifa ni 100%. Hizo sheria zinaweza kuwa manipulated na Yanga wakapewa haki yao vizuri sana na ikatengenezwa precedent mpya kwenye sheria za soka)

But option ya pili ambayo inaweza kuwa Rais ni kwa Mamelody wenyewe na Motsepe waamue kujitoa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Suala kupelekwe kisiasa ili mradi Yanga wapate haki yao. Mamelody watazame kwenye sheria za Fifa ni sababu ipi inaweza kupelekea club kuruhusiwa kujitoa kuendelea na mashindano ya hatua iliyo fikia Mamelody. Mamelody waombe Caf kujitoa kwenye mashindano na badala yake nafasi yake wapewe Yanga ambao ndio wana stahili. Kinyume cha hapo Motsepe hawezi kuheshimika tena kwenye ulimwengu wa soka.

Mamelody wajitoe Yanga waingie nusu fainali.
Na hivi ndivyo anavyowaza LIKUD akivuta ganja
 
Huyo hajui timu zinavuta Billion ngapi kila stage.

Ukichukuwa Hilo kombe kwenda club bingwa ya dunia kuna kama Billion 140 club inapewa.

Sasa yeye kalewa ugoro anadhani NI Jambo rahisi, na Mamelodi wamewekeza hasa wanasajili kwa gharama kubwa,
Hakuna bilioni 140 katika hilo kombe
 
Bora Yanga ametolewa maana mji ungekuwa haukaliki......wana Simba tungeishi kinyonge sana vijiweni.......Yule refa anatakiwa kujengewa sanamu pale msimbazi......ametuepusha na mengi mabaya........dah! asante Mungu kwa hili........
 
Hebu tulieni na nyinyi bana,mmeonewa mmeonewa..
 
Motsepe ametia aibu soka la Afrika.

Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.

Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"

Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema it was a clear goal. Yanga wapewe haki yao.

Mimi nasema kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za mpira hata Yanga wakikata rufaa hawawezi kusonga mbele (Still kama tuna lobbyist wazuri uwezekano wa Yanga kusonga mbele kwa kutumia sheria hizo hizo za fifa ni 100%. Hizo sheria zinaweza kuwa manipulated na Yanga wakapewa haki yao vizuri sana na ikatengenezwa precedent mpya kwenye sheria za soka)

But option ya pili ambayo inaweza kuwa Rais ni kwa Mamelody wenyewe na Motsepe waamue kujitoa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Suala kupelekwe kisiasa ili mradi Yanga wapate haki yao. Mamelody watazame kwenye sheria za Fifa ni sababu ipi inaweza kupelekea club kuruhusiwa kujitoa kuendelea na mashindano ya hatua iliyo fikia Mamelody. Mamelody waombe Caf kujitoa kwenye mashindano na badala yake nafasi yake wapewe Yanga ambao ndio wana stahili. Kinyume cha hapo Motsepe hawezi kuheshimika tena kwenye ulimwengu wa soka.

Mamelody wajitoe Yanga waingie nusu fainali.
Motsepe asiheshimike kwa kikundi cha washabiki wa yanga ,shida ya washabiki mnataka kila mtu aishi kwenye kikundi chenu.
 
Iyo kawaida Tu bob Orlando alifunga goli pale pale south yaaaaani nchi Ile Ile mechi na Simba clear offside VAR ipo na refa akwenda kureview uto walishangilia Simba wakaumia na mwisho Simba ana ondoka kwenye penati karma malipo ni hapa nchi Ile Ile inatokea kitu kama kile na mwisho mtaani ana ondoka Kwa penati sie Simba tunaona ok maumivu Yale Yale tunapokezana aisee mungu fundi unacho kifurahia Leo kesho Kita kuumiza amini Kwamba.
Ndiwoooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani wafanye “Jitihada” halafu waishie kuomba kujitoa? Si dunia itawaona kuwa ni mashoga? Au mnaonaje wajameni?
Hapana kujisahihisha ulipokosea kwa kuomba radhi ni heshima kubwa unabaki na heshima yako.

Ukiachana na ushabiki Mamelod ni club kubwa. Sasa kwa hili watu wameanza kufukua ya nyuma,jinsi inavyopita pita muda mwingine. Kuna mwaka wakamchomoa AC Vital. kwamba imechezesha mchezaji wa kadi 2. Kwa yote hayo yanaunganishwa inaonekana ndio mchezo wao.
Kwanza ingekuwa ulaya tayari uchunguzi ungekuwa umekamilika

Pia check hali ilivyochafuka huko duniani kuhusiana na hili. Hata ikatokea Mamelod wamechukua ubingwa unakuwa wa masimango,hauna tofauti na ushindi wa mashoga sasa. Hauna Raha. Chukua kwa jasho lako. Sio unafanya fanya uhuni njiani.

Na huyo rais wa CAF kajichafua sana. Naamini mpaka sasa anajutia hali hiyo aliyoitengeneza.
 
Motsepe ametia aibu soka la Afrika.

Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.

Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"

Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema it was a clear goal. Yanga wapewe haki yao.

Mimi nasema kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za mpira hata Yanga wakikata rufaa hawawezi kusonga mbele (Still kama tuna lobbyist wazuri uwezekano wa Yanga kusonga mbele kwa kutumia sheria hizo hizo za fifa ni 100%. Hizo sheria zinaweza kuwa manipulated na Yanga wakapewa haki yao vizuri sana na ikatengenezwa precedent mpya kwenye sheria za soka)

But option ya pili ambayo inaweza kuwa Rais ni kwa Mamelody wenyewe na Motsepe waamue kujitoa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Suala kupelekwe kisiasa ili mradi Yanga wapate haki yao. Mamelody watazame kwenye sheria za Fifa ni sababu ipi inaweza kupelekea club kuruhusiwa kujitoa kuendelea na mashindano ya hatua iliyo fikia Mamelody. Mamelody waombe Caf kujitoa kwenye mashindano na badala yake nafasi yake wapewe Yanga ambao ndio wana stahili. Kinyume cha hapo Motsepe hawezi kuheshimika tena kwenye ulimwengu wa soka.

Mamelody wajitoe Yanga waingie nusu fainali.
Mkuu nahs umechelewa kupata updates..Mamelod wameshajitoa,wameandka barua rasmi kwenda Caf na FIFA kuptia chama cha mpira wa miguu cha buza kwa mpalange.....link htpp/buzamplng.football.utopolo.userlogin
 
Back
Top Bottom