Kwa Hii bajeti Ya Wizara Ya Ulinzi Naomba Msinishawishi Kwamba Nchii Hii Ni Masikini

instagramer

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2024
Posts
215
Reaction score
492
Kama Tunavyojua Uimara Wa Taifa Lolote Kiuchumi Duniani, Ikiwemo Marekani Na Uchina Basi Ni Kuwekeza Nguvu Zaidi Katika Kuimarisha Ulinzi Na Usalama Wa Nchi. Lakini Jambo Hili Ni Kinyume Kidogo Na Nchi Za Kiafrika Ambazo Bado Zinapambana Kujikwamua Kwenye Lindi La Umaskini.

Lakini Kwa Bajeti Hii Ya Nchi Ya Jamhuri Wa Muungano Wa Tanzania, Sitarajii Tuombe Misaada Tena

Screenshot_20240520-122215_1.jpg

Ya Kutuondolea Umaskini Na Sitarajii Tulie Shida Kwamba Kilimo Kimefeli Sababu Ya Ukata Au Mradi Wowote Wa Kimaendeleo.

Tanzania Ni Nchi Tajiri Sana!

Hongereni Sana Wananchi Wenzangu!!!
 
Hiyi

Hi yo inaenda sambamba na kuajiri askari wapya wengi

Wala usikasirike mkuu vijana pia watapata ajira
 
Back
Top Bottom