Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Lissu ni Rais wa moyoni mwangu.Tatizo wizi wa Kura mkuu.
Ingekuwa kuna tija kwenye Sanduku la Kura, wangesha sahaulika kitambo sana!
Mkuu kumbuka huyo mleta uzi ni lumumba tu anachofanya ni kuwatoa akili wapinzani tuTatizo wizi wa Kura mkuu.
Ingekuwa kuna tija kwenye Sanduku la Kura, wangesha sahaulika kitambo sana!
Hilo ni gamba tuNilifikiri bado uko kwenye maombi ya kurudishiwa u Naibu Waziri wa Umbea na V8 yake.
Sijakuelewa kabisa mamiiNilifikiri bado uko kwenye maombi ya kurudishiwa u Naibu Waziri wa Umbea na V8 yake.
Mpuuzi weweHilo ni gamba tu
Mpuuzi ni wewe unaye jifanya unatumia akili kumbe ni mzigo kwa jamiiMpuuzi wewe
Ukome kabisa kudamganya danganya watu wastaarabu wa jf.Mpuuzi wewe
Nakupuuza mara ya piliUkome kabisa kudamganya danganya watu wastaarabu wa jf.
Hata ukinipuuza mara 1000 wacha kuongopea wana jf kwa kujifanya wewe ni mwana cdm.Nakupuuza mara ya pili
Sijawahi kufukuzwa na sitahama Chadema mpuuzi wewe.Hata ukinipuuza mara 1000 wacha kuongopea wana jf kwa kujifanya wewe ni mwana cdm.
Watu tunakuelewa vizuri sana kuwa ulifukuzwa cdm na ndiyo mwanzo wa kuwa na chuki kuu juu ya cdm.
Mimi nkuelewa na kukujua maana hata siku tunajadili utumie hiyo ID tulikuwa wote.Sijawahi kufukuzwa na sitahama Chadema mpuuzi wewe.
FoolMimi nkuelewa na kukujua maana hata siku tunajadili utumie hiyo ID tulikuwa wote.
Naona umejiona kitukoFool
Umeolewa?Naona umejiona kituko
Hilo swali halihusiani na hili jukwaa.Umeolewa?
Naona kama genye zinakusumbua.Hilo swali halihusiani na hili jukwaa.