Kwa hii CCM inayopasuka na sisi tunavyojipanga kidigitali 2025 tukishiriki uchaguzi tunaweza kukamata dola

Kwa hii CCM inayopasuka na sisi tunavyojipanga kidigitali 2025 tukishiriki uchaguzi tunaweza kukamata dola

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Tunashuhudia Chama chetu kikisonga kidijitali na kusajili maelfu kwa mamilioni ya wanachama.

Tunashuhudia Ccm ambayo imeanza kumeguka kati ya wapinga upigaji madili na wapiga madili.

Kwa hali hii ya kisiasa ni wazi kuwa 2025 kama tutashiriki uchaguzi basi tutatoka na ushindi mkubwa.

image_search_1638844371074.jpg
 
Tatizo wizi wa Kura mkuu.

Ingekuwa kuna tija kwenye Sanduku la Kura, wangesha sahaulika kitambo sana!
 
Nakupuuza mara ya pili
Hata ukinipuuza mara 1000 wacha kuongopea wana jf kwa kujifanya wewe ni mwana cdm.

Watu tunakuelewa vizuri sana kuwa ulifukuzwa cdm na ndiyo mwanzo wa kuwa na chuki kuu juu ya cdm.
 
Hata ukinipuuza mara 1000 wacha kuongopea wana jf kwa kujifanya wewe ni mwana cdm.

Watu tunakuelewa vizuri sana kuwa ulifukuzwa cdm na ndiyo mwanzo wa kuwa na chuki kuu juu ya cdm.
Sijawahi kufukuzwa na sitahama Chadema mpuuzi wewe.
 
Back
Top Bottom