Kwa hii Kauli ya Kidharau niliyomsikia nayo huyu Mtangazaji wa Kike wa TBC1 Janet Leonard leo Asubuhi kwa Atakayemtongoza awe na Gari ya MERCEDES BENZ

Ndo maana sahivi natafuta Carina Ti
Mkuu utakuwa umetisha sana ,utaheshimika mpaka ushangae ,Mimi yangu nimeipiga rangi ya kijani kumuenzi mshua na pia kwenye number plate niliuza viazi nikaweka jina la ukoo yaani kila nipitapo utasikia akina Mwaisa hapa Mbeya ni boss la maboss kapita kumbe naenda kunywa ulanzi vilabuni
 
Sii kwamba inadharaulika,ni gari watu wanaitumia lakini Polisi wa usalama wanaitumia kama case study ya gari za raia na makosa ya barabarani.
 
mi mada hainihusu mi nipo na popoma oya popoma kwema?
Kwema tu Mkuu wangu nasikia WAPUMBAVU SC wanajivunia Kutengeneza Kikosi huku wakikifurahia Kimoko cha Mkongo.
 
Kwahiyo unataka kusema ukiwa na IST hata kama unaenda nacho kwenye harusi,unakipaki kama nyumba ya tatu halafu unaenda kwa mguu ili usionekana unamiliki IST...?
 
Kwahiyo unataka kusema ukiwa na IST hata kama unaenda nacho kwenye harusi,unakipaki kama nyumba ya tatu halafu unaenda kwa mguu ili usionekana unamiliki IST...?
Swali lako hili nenda tu pale TBC1 Bamaga Kesho asubuhi ukamuulize huyu Mtangazaji Janet Leonard tafadhali sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…