Ni huyuHalafu ni kwanini huyu Mtangazaji wa TBC1 Janet Leonard muda wote tu akiwa Kipindini anapenda Kuchekacheka mno?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huyuHalafu ni kwanini huyu Mtangazaji wa TBC1 Janet Leonard muda wote tu akiwa Kipindini anapenda Kuchekacheka mno?
Ahahahha mm nitajikuna napofikania hila my dream car ni ile inaitwa anakonda harrielKama una kitambi endelea kujikusanya lkn usinunue ist
jkKama yake inazidi utamu ile ya bikira maria sawa, lakini kama ina ladha sawa na za buguruni, makoroboi, nyambui, mugango, bukima, makunda, tyandu, litembo, mpitimbi, vwawa, busokelo, akae atulie tu
Mkuu utakuwa umetisha sana ,utaheshimika mpaka ushangae ,Mimi yangu nimeipiga rangi ya kijani kumuenzi mshua na pia kwenye number plate niliuza viazi nikaweka jina la ukoo yaani kila nipitapo utasikia akina Mwaisa hapa Mbeya ni boss la maboss kapita kumbe naenda kunywa ulanzi vilabuniNdo maana sahivi natafuta Carina Ti
3 IN 1....Working+Displaying+Hunting.....Halafu ni kwanini huyu Mtangazaji wa TBC1 Janet Leonard muda wote tu akiwa Kipindini anapenda Kuchekacheka mno?
Sii kwamba inadharaulika,ni gari watu wanaitumia lakini Polisi wa usalama wanaitumia kama case study ya gari za raia na makosa ya barabarani.Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume.
"Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa" amesema Mtangazaji wa TBC1 Janet Leonard leo katika Kipindi chao cha Asubuhi. Hivi ni kwani Duniani kuna Magari mengi tu lakini Gari ambalo Linadhaurika sana ( japo ndiyo hutumiwa na Watanzania wengi wa Kawaida na Kati ) ni la IST tu?
Mbona Mimi GENTAMYCINE mwenye usafiri wangu tu huu wa Baiskeli ya Phoenex sidharauliki kama wenye Gari za IST?
ana komwe kumbe.GOGO hili Mercedes labda ya Funeral services muda wake ukifika
View attachment 3067790
Mbona kama siyo huyu Mkuu au Mimi labda sasa nazeeka hadi Macho yangu? Ninayemuona TBC1 hafanani na huyu.Ni huyu mwenyeView attachment 3067788
Yeah ndiyo huyu 100%. Haya njinjo umemuona? Je, huyu anafanana na yule wako ambaye umetuwekea Picha yake?Mercedes labda ya Funeral services muda wake ukifika
View attachment 3067790
Kwema tu Mkuu wangu nasikia WAPUMBAVU SC wanajivunia Kutengeneza Kikosi huku wakikifurahia Kimoko cha Mkongo.mi mada hainihusu mi nipo na popoma oya popoma kwema?
Ukiinunua na ukaitumia siku chache haina maajabuAhahahha mm nitajikuna napofikania hila my dream car ni ile inaitwa anakonda harriel
Wewe unayo?Ukiinunua na ukaitumia siku chache haina maajabu
Kwani ni kitu kikubwa sana mkuu au?Wewe unayo?
Swali lako hili nenda tu pale TBC1 Bamaga Kesho asubuhi ukamuulize huyu Mtangazaji Janet Leonard tafadhali sawa?Kwahiyo unataka kusema ukiwa na IST hata kama unaenda nacho kwenye harusi,unakipaki kama nyumba ya tatu halafu unaenda kwa mguu ili usionekana unamiliki IST...?
Ha ha haa. Atapata tabu huyu. Ule mkia lazima watu wauleHalafu anapendeza kweli kama ukimuomba upite nae barabara ya Vumbi.
Hapana nataka kupata uzoefuKwani ni kitu kikubwa sana mkuu au?
The way unaiongelea as if vitsKwani ni kitu kikubwa sana mkuu au?