Kwa hii nafasi wanayoshika Bandari, leo tuwatandike hasa wakasimulie

Kwa hii nafasi wanayoshika Bandari, leo tuwatandike hasa wakasimulie

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hawa tunapaswa kuwatandika si chini ya bao 3. Ni team ambayo ipo nafasi ya chini kwenye ligi yao. Ni kipimo kizuri cha kutupatia ushindi na kutuchangamsha.

Screenshot_2025-09-12-06-01-21-045_com.whatsapp~2.jpg
 
Ila hiyo ligi inaonesha kuwa na ushindani kwa kuangalia tofauti ya points!!
 
Hii yote kutaka kuwapa sifa tu akina bonyeli, ila simba na nyie yanga si walitoa pendekezo tucheze mechi home and away kwenye matamasha yetu mukakataa! sasa mnalalamika nini! ukiona timu imekubali kucheza na yanga ujuwe hao wanajiamini.
 
Akina nani wanalalamika?
 
Back
Top Bottom