Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
Hivi nyinyi chura shida yenu hasa ni nini?Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa
Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu
Mda ukifika itasema
View attachment 3349201
Refa akitoa penati mnanuna na kumtukana
Asipotoa penati mnanuna na kumtukana.
Mnataka nini sasa hawa marefarii wafanye ili mfurahi?
Sasa subirini June 15 wataanza tena kutoa penati vyura nyie.