mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,566
- 10,623
๐๐๐๐๐๐Tulishakubaliana penati zote ni mchongo. Hakuna kutoa penati
#Hatuchezi fc
๐๐๐๐๐๐Tulishakubaliana penati zote ni mchongo. Hakuna kutoa penati
#Hatuchezi fc
acheni kununua kizama mpaka watoto wanaona uliona mangungu jana alivyo ona aibuSikiliza wewe mental...Simba kua hapo ni mpango wa Mungu.
Ubaya Ubwela ukigusa lazima ufe.
Sio sare ni goli zaidi ya mbiliKwamba mngepata hata sare au vip?
Aliona aibu kwamba goli la simba ni la offside au?acheni kununua kizama mpaka watoto wanaona uliona mangungu jana alivyo ona aibu
Aziz K ndo nani labda? Mbona mechi ilopita hakufanya loloteMmeona aziz ki hayupo ndio mnadai mbungi.. Kipigo kipo palepale
zile penati walizo nyimwa singidaAliona aibu kwamba goli la simba ni la offside au?
Zilikua ngapi?zile penati walizo nyimwa singida
Kahojiwa redio gani?hata rage leo amehojiwa akasema ni aibu hawezi kuelezea mchezo wa jana
hata hoja za fadilu zinadhihirisha kwamba wana namna walifanya na refa ubaya ubwela
bongo fmKahojiwa redio gani?
kweli ubya ubwela ndio maana marefa wenyr beji za fifa aucaf hawapewi mechi za simba ...tupate kisingizio cha makosa ya kibina damuZilikua ngapi?
Si huwa mnasema Simba wanajiangusha wapate penati
Huo sasa ndo ubaya ubwela
Alafu mkashinda?Aziz K ndo nani labda? Mbona mechi ilopita hakufanya lolote
Uto leo mnalilia penati? Nyie si ndiyo wale ambao huwa mnalalama kwamba simba wanapewa penati kila mechi ?hata rage leo amehojiwa akasema ni aibu hawezi kuelezea mchezo wa jana
hata hoja za fadilu zinadhihirisha kwamba wana namna walifanya na refa ubaya ubwela
Acha tu watoto waone, kikubwa pointi 3.acheni kununua kizama mpaka watoto wanaona uliona mangungu jana alivyo ona aibu
Marefa wakitoa penati lawamakweli ubya ubwela ndio maana marefa wenyr beji za fifa aucaf hawapewi mechi za simba ...tupate kisingizio cha makosa ya kibina damu
Labda Redio GSMhata rage leo amehojiwa akasema ni aibu hawezi kuelezea mchezo wa jana
hata hoja za fadilu zinadhihirisha kwamba wana namna walifanya na refa ubaya ubwela
Mwambie kama walimuhoji Rage sisi Simba hatumjui..ni maamuma tuuLabda Redio GSM
Sasa beji hazituhusu as long as wanatambulika kisheria...kina kayoko wana beji?kweli ubya ubwela ndio maana marefa wenyr beji za fifa aucaf hawapewi mechi za simba ...tupate kisingizio cha makosa ya kibina damu
hahahaaaa ndio maana hakutoa redSasa beji hazituhusu as long as wanatambulika kisheria...kina kayoko wana beji?