Hivi nyinyi chura shida yenu hasa ni nini?Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa
Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu
Mda ukifika itasema
View attachment 3349201
Sa mbona refa hajatoa penati kwa timu yeyote. Kaibebaje Simba hapoπππππ€£Mbereko Fc ili wapate ushindi, kazima wabebwe na waamuzi. Nje ya hapo, ni sare au kipigo.
SawaTulishakubaliana penati zote ni mchongo. Hakuna kutoa penati
#Hatuchezi fc
Huna hadhi ya kutoa laana wewe.Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa
Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu
Mda ukifika itasema
View attachment 3349201
Laana atapata gsm na timu zake zinazocheza na utopolo kucheza chini ya kiwango na timu kama singida kupanga kikosi cha tatu.....kuweka benchi nyota wote ili kuwapa point wapwa zao...Huna hadhi ya kutoa laana wewe.
Nawaona msiobebwa mko jangwani mnakunywa supu ya ubingwa.Huku ndo kunakowaponzaga, mbeleko mpaka wanazoea.. Wakitoka nje wanaishia kulialia na refa, mana washazoea kubebwa
Nawaona msiobebwa mko jangwani mnakunywa supu ya ubingwa.
Ili mchukue ubingwa ni lazima mumkabe Mpanzu sasa nyie hamuchezi basi labda Ubingwa wa Upigaji Nyeto bora huko kwenye vyoo vya Avic Town.Naam ndio tunajiandaa kuchukua ubingwa wa ligi.. Tupange na ratiba ya supu
Mpanzu wa kawaida sana kwa wachezaji waliokutana nao beki zangu.. Yani mindset zenu mnaona tunawaogopa, nikuweke sawa leo.. Tunachogomea mechi ni kutaka heshima tu kwamba tusiwe wanyonge kwanin kila siku mnakimbiakimbia dabi, alafu mnasikilizwa! Lakini kwa mbungi hata mkitaka alfajir hamtoki.Ili mchukue ubingwa ni lazima mumkabe Mpanzu sasa nyie hamuchezi basi labda Ubingwa wa Upigaji Nyeto bora huko kwenye vyoo vya Avic Town.
Nani kakimbia nyie?? Leteni timu muone moto hahahahMpanzu wa kawaida sana kwa washezaji waliokutana nao beki zangu.. Yani mindset zenu mnaona tunawaogopa, nikuweke sawa leo.. Tunachogomea mechi ni kutaka heshima tu kwamba tusiwe wanyonge kwanin kila siku mnakimbiakimbia dabi, alafu mnasikilizwa! Lakini kwa mbungi hata mkitaka alfajir hamtoki.
ππππππNyie nyuma mwiko mfanye kazi sasa kila siku Simba mdomoni...hii inaonyesha kwamba ubaya ubwela umewaingia vzr..
Leo nyie ni wa kulilia penati isiyowahusu...wakipewa Simba mnasema za mchongo...vipi hyo sio ya mchongo?? Yani hata mpira hamjui aisee kwani huyo alikua ana mpira mguuni...hata mimi nina washinda...
Wewe mlevi pdidi usitupigie kelele...
Karma is real. Mnakumbuka hawa ng'ombe waliwahi fanya rotation ya kikosi kizima kisa uke wenza?Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa
Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu
Mda ukifika itasema
View attachment 3349201
ππππLaana atapata gsm na timu zake zinazocheza na utopolo kucheza chini ya kiwango na timu kama singida kupanga kikosi cha tatu.....kuweka benchi nyota wote ili kuwapa point wapwa zao...
kama ninyi mlivyofanyiwa rotation ya kikosi kizimaMbereko Fc ili wapate ushindi, kazima wabebwe na waamuzi. Nje ya hapo, ni sare au kipigo.
Huyo ungemuuliza mechi yetu na wao ya mwisho wasingebebwa na kayoko wangekua na hali gani....kama ninyi mlivyofanyiwa rotation ya kikosi kizima
Ulikubaliana na nani?Sa mbona refa hajatoa penati kwa timu yeyote. Kaibebaje Simba hapoπππππ€£
Tulishakubaliana magoli ya penati sio.
Nani kakimbia nyie?? Leteni timu muone moto hahahah
Kwamba mngepata hata sare au vip?Huyo ungemuuliza mechi yetu na wao ya mwisho wasingebebwa na kayoko wangekua na hali gani....