Kwa hii penalty hii mliowanyima Singida endeleen kuwabeba Simba uovu una mda wake nawahakikishia utaisha

Sikiliza wewe mental...Simba kua hapo ni mpango wa Mungu.
Ubaya Ubwela ukigusa lazima ufe.
acheni kununua kizama mpaka watoto wanaona uliona mangungu jana alivyo ona aibu
 
hata rage leo amehojiwa akasema ni aibu hawezi kuelezea mchezo wa jana
hata hoja za fadilu zinadhihirisha kwamba wana namna walifanya na refa ubaya ubwela
 
Kahojiwa redio gani?
 
Reactions: Tui
Hii hoja iende sambamba na ile mechi ya Uto na Simba....aliyochezesha Kayoko
 
Zilikua ngapi?
Si huwa mnasema Simba wanajiangusha wapate penati
Huo sasa ndo ubaya ubwela
kweli ubya ubwela ndio maana marefa wenyr beji za fifa aucaf hawapewi mechi za simba ...tupate kisingizio cha makosa ya kibina damu
 
hata rage leo amehojiwa akasema ni aibu hawezi kuelezea mchezo wa jana
hata hoja za fadilu zinadhihirisha kwamba wana namna walifanya na refa ubaya ubwela
Uto leo mnalilia penati? Nyie si ndiyo wale ambao huwa mnalalama kwamba simba wanapewa penati kila mechi ?

Sasa mlitaka singida apewe penati wakati tulishakubaliana kwamba penati ziondolewa kwenye sheria za mpira wa miguu?

Mmuulize kwanza Kayoko kwamba ile ya jana ilisitahili kuwa penati au siyo penati?

Akiwapa majibu ndipo sasa muandamane kwenda CAS
 
acheni kununua kizama mpaka watoto wanaona uliona mangungu jana alivyo ona aibu
Acha tu watoto waone, kikubwa pointi 3.

Kwani ile ya kununua mechi kwa mfumo wa udhamini au kupanga kikosi cha 3 watoto hawakuona.

Na bado June 15 wataona sanaπŸ’ͺπŸ’ͺ

#Simba Nguvu moja
 
kweli ubya ubwela ndio maana marefa wenyr beji za fifa aucaf hawapewi mechi za simba ...tupate kisingizio cha makosa ya kibina damu
Marefa wakitoa penati lawama

Wasipotoa penati lawama.

Chomoeni nyuma mwiko, mtazimia June 15
 
hata rage leo amehojiwa akasema ni aibu hawezi kuelezea mchezo wa jana
hata hoja za fadilu zinadhihirisha kwamba wana namna walifanya na refa ubaya ubwela
Labda Redio GSM
 
kweli ubya ubwela ndio maana marefa wenyr beji za fifa aucaf hawapewi mechi za simba ...tupate kisingizio cha makosa ya kibina damu
Sasa beji hazituhusu as long as wanatambulika kisheria...kina kayoko wana beji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…