Mwambie kama walimuhoji Rage sisi Simba hatumjui..ni maamuma tuu
Utakuwa moyo wake wa pili wewe, umejuaje?๐hahahaaaa ndio maana hakutoa red
Mtakapoacha kusaidiwa na timu zenye nembo ya gsm uje tena mezani tupange msimu ujao vzracheni kununua kizama mpaka watoto wanaona uliona mangungu jana alivyo ona aibu
hahahaaaa ndio maana hakutoa red
Kumbe kulikua na red card eee...kwa macho yenu ya nyama....hahahaaaa ndio maana hakutoa red
ila msitushawishi kuhonga marefa pleaseMtakapoacha kusaidiwa na timu zenye nembo ya gsm uje tena mezani tupange msimu ujao vzr
Ubaya Ubwela ukikugusa lazima utoe mlio, lete timu june 15 nikuchanyate.Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa
Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu
Mda ukifika itasema
View attachment 3349201
Yanga mtatoa milio ya kila aina mwaka huu.Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa
Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu
Mda ukifika itasema
View attachment 3349201