Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

Unayajua matokea ya La 7 ya Kigwangala na Assad? 🐼
Elimu ya form 4 ndio standard/determinant duniani kote,darasa la 7 hakunaga kufaulu wala kufeli ila kuna kuchaguliwa tu kuendelea na ufadhili wa masomo.
Wewe uliwahi kuona mtoto aliyemaliza darasa la 7 anakwama kwenda kidato cha kwanza na mzazi wake pesa ya kulipia ada ipo?
 
Tena zamani mitihani ya kujiunga Private school form 1 ilikuwa migumu kuliko ile ya taifa ya Darasa la 7

La 7 Ndio daraja

Waliofeli form four masomo ya Arts Ndio viongozi mahiri kwenye Siasa 😂😂 Akina Sugu nk

Wakali wa Arts Ndio hawa akina Zitto, Pascal na Tundu Lisu wanapuyanga tu 😂😂😂😂
 
Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.

Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.

Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli?
Wewe mpuuzi hujui kama hizo ni changamoto za kiufundi? Huo mkongo ulikuwepo kabla hata ya Nape. Kuhusu Starlink pia Nape yuko sahihi 100% kuwalazimisha wawe na ofisi Tanzania. Elewa pia Starlink itakuwa kwa ajili ya watu wachache mno wenye fedha zao na sio makapuku. Starlink sio ya kila mtu kama mnavyojidanganya.
 
Wabongo wamekariri kufaulu form four umemaliza maisha, na ukifeli basi wewe maisha yote ushafeli... Yaan useless! For the rest of your life 😂😂😂

Maafrika ni majitu majinga sana!
Tatizo sio kufeli form 4, tatizo ni njia ulizotumia kwenda madarasa ya mbele baada ya kufeli form 4.
Wasifu wake unauonesha nape kasoma Elimu ya Advanced Certificate of Secondary School katika shule ya Butimba TTC mwaka 1998 hadi mwaka 2000.

Wakati Butimba TCC haijawahi kuwa na shule ya Sekondari mwaka 1998 wala katika tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania halijawahi kusajili Shule ya Sekondari na kuipa mitihani mwaka 1998 hadi 2000 kwa Jina la "Butimba TCC Secondary School".

Butimba TCC (Butimba teacher's college) ilianzishwa mwaka 1939 na wakoloni na kujengwa shule ya msingi ya mazoezi (Teaching Practice) na wakoloni wenyewe kwa ajili ya mafunzo kwa Vitendo kwa Wanafunzi wa Ualimu. 28 January 2000 serikali ilianzisha shule mpya ya sekondari (kutwa) ya Butimba Secondary School (Butimba Day) ambayo kidato cha kwanza waliingia mwaka 2000 na kumaliza mwaka 2003 kidato cha nne.

Ambapo kwa mujibu wa tovuti ya Bunge, Nape alikuwa ameshamaliza kidato cha 6 mwaka 2000 latika Shule ya Sekondari ya Butimba TCC. kwamba nape alisoma katika Shule ambayo haipo wala haijawahi kuwepo.

Na kuhusu Shahada ya Sheria pale Open University of Tanzania anayosoma Nape, hivi mwanafunzi aliyekosa Principal mbili za Advanced Certificate of Secondary School, Credit mbili za O-level (History na English language), Inawezekanaje mwanafunzi huyo kusoma Sheria kinyume na Kanuni za TCU?

Au mwanafunzi aliyekosa Equivalent qualifications za Diploma yenye G.P.A yenye 3.0 and above anawezaje kujiunga na Shahada ya Sheria?
 
Sa
Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.

Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.

Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake
Na internet yenyewe unaitumia kutukana watu,kazi ipo
 
Ni graduate wa kuunga unga unga mwambie atuonyeshe matokeo yake ya form four
Kwani kufeli form four ndo mwisho wa kutimiza ndoto za kusoma? Kuna kurudia mtihani pia. Kuna watu walifeli form four kwa kupata zero ila wakajipanga upya na sasa ni madokta. Ficha upuuzi wako.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.

Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.

Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli?

Una hoja ila umeiandika kwa Lugha isiyo rafiki inayofanya watu wasikuelewe;
Ungeandika hivi,
Sio sawa kwa Nchi kutegemea source moja (mtoa huduma mmoja) wa Internet
Na kwa sababu alijitokeza muwekezaji mwingine; Angepewa nafasi ili tuwe na backup (mbadala) ili kama mtoa huduma mmoja atapata changamoto kama tuliyo nayo sasa ya kukosa Internet, huyo mwingine aendelee kutoa huduma
 
Utakuta mtanzania ambaye hata kuweka buku 2000 kwenye simu kwa bundle la siku naye analalamika kuhusu star link wakati hata superkasi imemshinda. Kama superkasi tu huwezi starlink ndio utaimudu?
Sema wajifunze nao serikali sasa tunategemea njia moja tu ikikata hali tete. Hapa toka jana nahangaika kudeliver mafile fulan hata hayafiki mb 3lakini yanagoma ku upload
Wa buku 2 anamtegemea huyo huyo anayetoa super kasi ambaye nae ameathiriwa na hizo fault. Wewe umechagua supa kasi, mwenzako kachagua buku 2 na wote mnapata huduma. Kupanga ni kuchagua.
 
Tatizo sio kufeli form 4, tatizo ni njia ulizotumia kwenda madarasa ya mbele baada ya kufeli form 4.
Wasifu wake unauonesha nape kasoma Elimu ya Advanced Certificate of Secondary School katika shule ya Butimba TTC mwaka 1998 hadi mwaka 2000.

Wakati Butimba TCC haijawahi kuwa na shule ya Sekondari mwaka 1998 wala katika tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania halijawahi kusajili Shule ya Sekondari na kuipa mitihani mwaka 1998 hadi 2000 kwa Jina la "Butimba TCC Secondary School".

Butimba TCC (Butimba teacher's college) ilianzishwa mwaka 1939 na wakoloni na kujengwa shule ya msingi ya mazoezi (Teaching Practice) na wakoloni wenyewe kwa ajili ya mafunzo kwa Vitendo kwa Wanafunzi wa Ualimu. 28 January 2000 serikali ilianzisha shule mpya ya sekondari (kutwa) ya Butimba Secondary School (Butimba Day) ambayo kidato cha kwanza waliingia mwaka 2000 na kumaliza mwaka 2003 kidato cha nne.

Ambapo kwa mujibu wa tovuti ya Bunge, Nape alikuwa ameshamaliza kidato cha 6 mwaka 2000 latika Shule ya Sekondari ya Butimba TCC. kwamba nape alisoma katika Shule ambayo haipo wala haijawahi kuwepo.

Na kuhusu Shahada ya Sheria pale Open University of Tanzania anayosoma Nape, hivi mwanafunzi aliyekosa Principal mbili za Advanced Certificate of Secondary School, Credit mbili za O-level (History na English language), Inawezekanaje mwanafunzi huyo kusoma Sheria kinyume na Kanuni za TCU?

Au mwanafunzi aliyekosa Equivalent qualifications za Diploma yenye G.P.A yenye 3.0 and above anawezaje kujiunga na Shahada ya Sheria?
Chukua sumu unywe kama unaumia.
 
Utakuta mtanzania ambaye hata kuweka buku 2000 kwenye simu kwa bundle la siku naye analalamika
Buku 2000 maana yake ni 1000×2000 ambayo ni sawa na 2,000,000. So huyu mwenye uwezo wa hilo bundle anaweza kua afford gharama za Starlink, labda kama ulimaanisha kitu kingine.
 
Wa buku 2 anamtegemea huyo huyo anayetoa super kasi ambaye nae ameathiriwa na hizo fault. Wewe umechagua supa kasi, mwenzako kachagua buku 2 na wote mnapata huduma. Kupanga ni kuchagua.
Starlink hana bundles za buku mbili.
 
Kuwa mbunge sio taaluma ni bahati tu na kupendwa na watu huwezi kulinganisha na watu wenye taaluma.
Haya kwa mfano huyo sugu uliyemtaja sasa hivi amekosa ubunge je bado utasema anang'ara?wenye taaluma zao wanaendelea kuzitumia lakini ubunge usipochaguliwa ndio basi
 
Satelite internet haijawahi kuwa uhakika.....na sio suluhisho kama unavyodhania....uzuri kuna mawakala luuza hizo starlink hakuna order ....watu wanapiga kelele tu hawajui wanaongea nini......1m kwa internet ya home ? Nundle la buku tu shida....una biashara gani ? Bendera fuata upepoooo
Punguza ujuaji mkuu
 
Back
Top Bottom