Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Hapa unakoment kutumia nini, miguu ya bibi yako?Dar ipi hyo?
Maana wengine bado tunachezea za uso na kazi zetu bila internet kazi bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa unakoment kutumia nini, miguu ya bibi yako?Dar ipi hyo?
Maana wengine bado tunachezea za uso na kazi zetu bila internet kazi bure
Taifa fukara 🐼Tatizo tunajisahau sana, Tanzania ni miongoni mwa nchi duni kabisa duniani!
Elimu ya form 4 ndio standard/determinant duniani kote,darasa la 7 hakunaga kufaulu wala kufeli ila kuna kuchaguliwa tu kuendelea na ufadhili wa masomo.Unayajua matokea ya La 7 ya Kigwangala na Assad? 🐼
Tena zamani mitihani ya kujiunga Private school form 1 ilikuwa migumu kuliko ile ya taifa ya Darasa la 7Elimu ya form 4 ndio standard/determinant duniani kote,darasa la 7 hakunaga kufaulu wala kufeli ila kuna kuchaguliwa tu kuendelea na ufadhili wa masomo.
Wewe uliwahi kuona mtoto aliyemaliza darasa la 7 anakwama kwenda kidato cha kwanza na mzazi wake pesa ya kulipia ada ipo?
Wewe mpuuzi hujui kama hizo ni changamoto za kiufundi? Huo mkongo ulikuwepo kabla hata ya Nape. Kuhusu Starlink pia Nape yuko sahihi 100% kuwalazimisha wawe na ofisi Tanzania. Elewa pia Starlink itakuwa kwa ajili ya watu wachache mno wenye fedha zao na sio makapuku. Starlink sio ya kila mtu kama mnavyojidanganya.Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.
Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.
Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli?
Tatizo sio kufeli form 4, tatizo ni njia ulizotumia kwenda madarasa ya mbele baada ya kufeli form 4.Wabongo wamekariri kufaulu form four umemaliza maisha, na ukifeli basi wewe maisha yote ushafeli... Yaan useless! For the rest of your life 😂😂😂
Maafrika ni majitu majinga sana!
Na internet yenyewe unaitumia kutukana watu,kazi ipoKiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.
Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.
Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake
Kwani kufeli form four ndo mwisho wa kutimiza ndoto za kusoma? Kuna kurudia mtihani pia. Kuna watu walifeli form four kwa kupata zero ila wakajipanga upya na sasa ni madokta. Ficha upuuzi wako.Ni graduate wa kuunga unga unga mwambie atuonyeshe matokeo yake ya form four
Kiongozi wa hovyo ametugharimu mpaka sasa baadhi ya mitandao imeshindwa kutoa huduma ya intaneti.
Mambo kibao hayaendi, leo tunaingia ofisini na hatuna cha kufanya sababu ya huyu Waziri mmoja Bogus kabisa, na bongo mtu kujiuzulu ni ngumu balaa. Tuna mamalaka za hovyo sana.
Tulishindwa nini kuikubali Starlink?
Tupo guzani kwenye intaneti sasa, na leo ataenda ofisini kwake kifua mbele, kweli?
Wa buku 2 anamtegemea huyo huyo anayetoa super kasi ambaye nae ameathiriwa na hizo fault. Wewe umechagua supa kasi, mwenzako kachagua buku 2 na wote mnapata huduma. Kupanga ni kuchagua.Utakuta mtanzania ambaye hata kuweka buku 2000 kwenye simu kwa bundle la siku naye analalamika kuhusu star link wakati hata superkasi imemshinda. Kama superkasi tu huwezi starlink ndio utaimudu?
Sema wajifunze nao serikali sasa tunategemea njia moja tu ikikata hali tete. Hapa toka jana nahangaika kudeliver mafile fulan hata hayafiki mb 3lakini yanagoma ku upload
Chukua sumu unywe kama unaumia.Tatizo sio kufeli form 4, tatizo ni njia ulizotumia kwenda madarasa ya mbele baada ya kufeli form 4.
Wasifu wake unauonesha nape kasoma Elimu ya Advanced Certificate of Secondary School katika shule ya Butimba TTC mwaka 1998 hadi mwaka 2000.
Wakati Butimba TCC haijawahi kuwa na shule ya Sekondari mwaka 1998 wala katika tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania halijawahi kusajili Shule ya Sekondari na kuipa mitihani mwaka 1998 hadi 2000 kwa Jina la "Butimba TCC Secondary School".
Butimba TCC (Butimba teacher's college) ilianzishwa mwaka 1939 na wakoloni na kujengwa shule ya msingi ya mazoezi (Teaching Practice) na wakoloni wenyewe kwa ajili ya mafunzo kwa Vitendo kwa Wanafunzi wa Ualimu. 28 January 2000 serikali ilianzisha shule mpya ya sekondari (kutwa) ya Butimba Secondary School (Butimba Day) ambayo kidato cha kwanza waliingia mwaka 2000 na kumaliza mwaka 2003 kidato cha nne.
Ambapo kwa mujibu wa tovuti ya Bunge, Nape alikuwa ameshamaliza kidato cha 6 mwaka 2000 latika Shule ya Sekondari ya Butimba TCC. kwamba nape alisoma katika Shule ambayo haipo wala haijawahi kuwepo.
Na kuhusu Shahada ya Sheria pale Open University of Tanzania anayosoma Nape, hivi mwanafunzi aliyekosa Principal mbili za Advanced Certificate of Secondary School, Credit mbili za O-level (History na English language), Inawezekanaje mwanafunzi huyo kusoma Sheria kinyume na Kanuni za TCU?
Au mwanafunzi aliyekosa Equivalent qualifications za Diploma yenye G.P.A yenye 3.0 and above anawezaje kujiunga na Shahada ya Sheria?
Buku 2000 maana yake ni 1000×2000 ambayo ni sawa na 2,000,000. So huyu mwenye uwezo wa hilo bundle anaweza kua afford gharama za Starlink, labda kama ulimaanisha kitu kingine.Utakuta mtanzania ambaye hata kuweka buku 2000 kwenye simu kwa bundle la siku naye analalamika
Starlink hana bundles za buku mbili.Wa buku 2 anamtegemea huyo huyo anayetoa super kasi ambaye nae ameathiriwa na hizo fault. Wewe umechagua supa kasi, mwenzako kachagua buku 2 na wote mnapata huduma. Kupanga ni kuchagua.
Kwamba kumuelewesha mtu ni ishara ya kuumia? Hii nchi kwa kutukuza ujinga bhana 😀😀😀Chukua sumu unywe kama unaumia.
Punguza ujuaji mkuuSatelite internet haijawahi kuwa uhakika.....na sio suluhisho kama unavyodhania....uzuri kuna mawakala luuza hizo starlink hakuna order ....watu wanapiga kelele tu hawajui wanaongea nini......1m kwa internet ya home ? Nundle la buku tu shida....una biashara gani ? Bendera fuata upepoooo
Kama mtu anajua acha avhangie tusifuate mkumbo tuuuu.....Punguza ujuaji mkuu
Lakini Voda wenye supa kasi wanaweza kutumia Starlink na kutuuzia sisi wa jero.Starlink hana bundles za buku mbili.
Rostam atakubali?Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne.
Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
====
Pia soma: