dictson
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 257
- 557
Umeuliza vyema, maana na mimi baada ya kusoma kichwa cha habari na yaliyomo nimeshindwa kuelewa nini ni nini.kwa lugha nyepesi bandarini kuna maboresho kwenye utendaji au kazi zimeendelea kusuasua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza vyema, maana na mimi baada ya kusoma kichwa cha habari na yaliyomo nimeshindwa kuelewa nini ni nini.kwa lugha nyepesi bandarini kuna maboresho kwenye utendaji au kazi zimeendelea kusuasua?
Na hiyo ndiyo sifa ya mtanzania, halafu boss ukiwa mkali unaonekana mkorofi.Unafikiri pale bandari kuna cha maana , urasimu pale wa kuchelewa ilikuwa ni awatu wenyewe ...Wale wafanyakzi ambao sasa wapo Dp world ndio hao hao wanapiga kazi maana huku wanaweza kutimuliwa.
Hakuna cha maana zaidi ya kubweteka kwa watanzania , kufanya kazi kwa mazoea ...Lazima wamuogope Muarabu wafanye kazi .
Kama tungekuwa na utaratibu wa kuwa na DG kutoka nje labda wachina , wazungu , wahindi , basi wabongo wangefanya kazi kwa shuruti tungefika mbali sana .
Umesema kitu cha maana. Sasa tumeona tunakwama kwa mambo madogodogo ya utekelezaji. Kwa hivyo ni mambo ya uzembe wa utendaji. Ni kukosekana usimamizi imara wa serikali kuanzia rais wizara, bodi za ulaji tu za wakurugenzi etc. Kwa ujinga au udhaifu tunawapa wageni mali zetu kama kwa bure kabisa.Kwa asiye na akili ataona ubinafisishaji umeleta manufaa kumbe tumeuza raslimali yetu Kwa mgeni Kwa mapungufu ambayo tulikuwa na uwezo wa kuyarekebisha. Na haya ndo maoni ya Wanaharakati Tangu mwanzo, tusibinafsishe kitu ambacho tunaweza kukiendesha Sisi wenyewe. Ni kama magari ya Halmashauri yanavyokuwa grounded Kwa ukosefu wa ball joint na baadaye gari Hilo linauzwa Kwa Mtu binafsi anakwenda duka la spare ananunua kipuri anapeleka Kwa fundi gari linatembea zima kabisa ndani ya siku 2 wakati limekaa juu ya Mawe miaka 2. Hii ndo CCM na tiss usiwaguse wanatafuta Vijana wanaoandika kinyume na serikali mitandaoni.
Kwa asiye na akili ataona ubinafisishaji umeleta manufaa kumbe tumeuza raslimali yetu Kwa mgeni Kwa mapungufu ambayo tulikuwa na uwezo wa kuyarekebisha. Na haya ndo maoni ya Wanaharakati Tangu mwanzo, tusibinafsishe kitu ambacho tunaweza kukiendesha Sisi wenyewe. Ni kama magari ya Halmashauri yanavyokuwa grounded Kwa ukosefu wa ball joint na baadaye gari Hilo linauzwa Kwa Mtu binafsi anakwenda duka la spare ananunua kipuri anapeleka Kwa fundi gari linatembea zima kabisa ndani ya siku 2 wakati limekaa juu ya Mawe miaka 2. Hii ndo CCM na tiss usiwaguse wanatafuta Vijana wanaoandika kinyume na serikali mitandaoni.
Kama nimeelewa haya maelezo unamaanisha endapo kungekuwa na viongozi wafuatiliaji, wawajibikaji, wanaopenda maendeleo na kujua wanachokifanya kulikuwa hakuna haja ya kuwaleta hawa DP WORLD kwasababu "ni kama" kila kitu kilikuwepo kilichofanyika ni kuwakabidhi tu wafanye kaziWananzengo, mu Hali gani?
Kwa masikitiko makubwa Leo nawatangaza hadharani maadui wakubwa wa taifa letu.
Laiti tungekuwa na uongozi imara tungekuwa mbali sana kwenye mafanikio ya kiuchumi.
DP WORLD wamepewa bandari bure, wamepewa na vitendea kazi bure. Leo wameongeza Terminal Trucks kumi na trailers 27. Wameleta Rubbered Tyred Gantre (RTG) nane. Na sasa hamna meli inakaa mwezi mzima dock ikisubiri foleni. Container ships zinaingia moja kwa moja kupakua mzigo.
Pia soma: DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7
Walichofanya DP WORLD ni kujaza vipuri kwenye warehouse, TPA wao hawakuweka kipuri hata kimoja warehouse, hadi magurudumu yakiisha kwenye Rich Stacker, wanatafuta Rich Stacker mbovu wanaivua gurudumu.
Viongozi wetu walikuwa wanayaona haya lakini wakishirikiana na CCM wakawa wanachukulia poa sana.
Mapapapa fisadi wa CCM wakanunua Quay Crane mbili kwa mabilioni ya pesa, kwa miaka nenda rudi hizo QC hazikufanya kazi, wamekuja DP WORLD wamenunua jenereta mbili, QC zinafanya kazi sasa, wamepata bure.
Folk lifts zinakuwa grounded kwa kukosa matairi; ni aibu gani hii?
Naomba kuuliza jamani msinicheke please! Hivi gharama walizotumia dpw kuboresha bandari zinatofautiana na gharama za Pikipiki zilizogawiwa 700 kila mkoa za SSH2025? Kama zinakaribiana Kwa nn hatukuzitumia hizo kuboresha bandari zetu! Tanzania bwana!!!!!Kwa hiyo hapo DP World ameongeza ufanisi au ameharibu?
Wewe tuambie Je Mapato ya Bandari kwenda Serikalini yameoungua au hapana? Kama hayajapungua shida Iko wapi?
Sio kusema wanafanya makusudi. Ila ndo ufanisi wa kiutendaji kazi wao ulikua unaishia hapoKwahiyo waliamua kufanya makusudi ili ionekane hakuna ufanisi ili wawauzie binamu zao wa dubei?
Gharama wewe unazijua za hicho ulichoandika?Naomba kuuliza jamani msinicheke please! Hivi gharama walizotumia dpw kuboresha bandari zinatofautiana na gharama za Pikipiki zilizogawiwa 700 kila mkoa za SSH2025? Kama zinakaribiana Kwa nn hatukuzitumia hizo kuboresha bandari zetu! Tanzania bwana!!!!!
Mwisho wa siku hao ndio watakaoamua nani aww Rais wa nchi.Baada ya yote hayo Nchi yako inapata Shilingi ngapi?
Ashukuriwe Rais Samia kwa kuleta maboresho ya bandari.
Bado kodi na tozo hazijaboreshwaMbona wafanyabiashara wanakimbilia Mombasa pamoja na maboresho? Shida ni nini?
Kwani kabla ya DP world si mlikuwa nyie watanzania. Kipi mlichofanya zaidi ya urasimu, wizi na rushwa.Wewe ni lower thinker. Nchi hii inahitaji maboresho ya uongozi na wala siyo upuuzi wa kuwaleta watu wanaoitwa wawekezaji wakati wanakuja kutumia kila kitu mlichogharamia ninyi wenyewe, lakini kutokana na uongozi dhaifu mnawapa utajiri wa bure wageni ambao hawawekezi chochote cha maana.
Wawekezaji wa kweli, ambao wana mitaji na tekinolojia bado wanahitajika, lakini siyo huu upuuzi wa DP World. DP World kama ni wawekezaji kweli wapewe eneo wakajenge bandari mpya. Siyo huu utapeli wanaoufanya kwa kushirikiana na watawala dhaifu.
Tangu uhuru tunaendesha wenyewe kipi cha maana kimeweza kupatikana?.Kwa asiye na akili ataona ubinafisishaji umeleta manufaa kumbe tumeuza raslimali yetu Kwa mgeni Kwa mapungufu ambayo tulikuwa na uwezo wa kuyarekebisha. Na haya ndo maoni ya Wanaharakati Tangu mwanzo, tusibinafsishe kitu ambacho tunaweza kukiendesha Sisi wenyewe. Ni kama magari ya Halmashauri yanavyokuwa grounded Kwa ukosefu wa ball joint na baadaye gari Hilo linauzwa Kwa Mtu binafsi anakwenda duka la spare ananunua kipuri anapeleka Kwa fundi gari linatembea zima kabisa ndani ya siku 2 wakati limekaa juu ya Mawe miaka 2. Hii ndo CCM na tiss usiwaguse wanatafuta Vijana wanaoandika kinyume na serikali mitandaoni.