Kwa hili alilofanya Maulid Kitenge naiomba TFF ichukue hatua kali haraka kwa Maulid Kitenge na EFM

Naona mkewe umekuja wangu wangu na shanga zako za chuma kumtetea kweli kugegedwa kunawaharibu vijana wengi sana nchi hii
Kwa kuwa wewe ulilaaniwa umeanza kutafunwa tangu uko chekechea unafikiri wote wako kama wewe, mlaumu aliyekufumua marinda usije kulilia hapa. Mbwiga mzee wewe
 
Mimi nikafikiri alimkaribisha Haji manara studio kuongea mambo ya mpira kumbe unaongelea mambo ya clip za watu zilizotokea kipindi cha nyuma? Kwaiyo Vyombo vya habari aviruhusiwi kutumia clip za watu waliofungiwa na tff?
 
Maulid Kitenge ni Mchambuzi? Hivi Failure Academically kama Yeye ( aliyepata Division Zero Shuleni ) hiyo Akili ya kuwa Football Analyst anaitoa wapi?
Ana muda hajaenda ughaibuni kupeleka ile biashara yake ndiyo maana ana wenge sana siku mbili hizi
 
Halafu utapata faida gani akifungiwa? Wewe ni snitch, mpaka umepitiliza.
 
Hapo shida sio Maulidi au Kitende au Mnara boy,hapa shida ni Yanga a.k.a Mwananchi Kiboko ya mwarabu,kiboko ya mikia fc.🦁.
 
Yanga watakuja kukuuwa wewe..!!!
 
Sky Eclat ukiona mpumbavu anakukubali ujue umemzidi🤣🤣. Usikubali hili lijitu likudhalilishe. Au nasema uwongo Asprin?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…