Usijipe pressure ya Bure mana wanasema wot goes around comes back around,ko kama we ni mpenzi wa mziki mzuri utarudi kwa mondi baada ya uchaguzi..jipe muda usikubali kugawa ushabiki wakondio hapo sasa anatugawa mashabiki
matatizo ya ccm hata mwanangu wa miaka miwili ukimuuliza atakuambia, na hata mimi siikubali ccm, LAKINI hapa najaribu kuangalia logic behind yawewe kumchukia diamond, this means basi na wale wasanii waonaounga mkono ukawa team ccm inawachukiee?? wewe hapa umeonesha msimamo wako unaupenda ukawa, katika mtazamo huo jiweke kwenye nafasi ya diamond so ccm kukuchinjia baharini ingekuwa sawa?? au unataka kuniambia ukishakuwa msani ni lazima ujitenge na siasa, now is it possible kujitenga na siasa uwe mtu maarufu au sio? haiwezekani, so sioni kama ni busara kumpa diamond wakati ugumu kisa tu ni maarufu. kwani ni yeye tu ameonesha hisia zake kichama?Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..
Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.
Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.
Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka?
Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM.
CCM tumewachoka!
Cc heaven on desert, TeamLowassa
Ni kuanza kumpost Magufuli insta akiwa anapiga ngoma..mmh mastaa hamnazo washatobolewa maskio..?!Matokeo ya hafla hayo...
Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..
Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.
Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.
Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka?
Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM.
CCM tumewachoka!
Cc heaven on desert, TeamLowassa
Umeona eenh!!hao wala sio mashabiki wa diamond,mashabiki wake wa ukweli tupo na wala hatuwezi kumu-unfollow eti kisa anampigia kampeni Magufuri hio haipo.
Piga kura kwa unayemtaka fullstop!kunya anye bata akinya kuku kaharisha?alaaaaaah!!!tena Wasituzingue kabisaa asiyempenda platnumz rukhsa kuanfollow
Aaagh kwa hiyo tumekusikia maana mnataka aishije mbona wewe umejichagulia chama na raisi wa kumfolo?
Aliandika jana mnaopingana nae wote muandike sababu nae aweke zake
Kilichobaki mnabwabwaja halafu hakuna mnachosema mumehaidiwa na mnaowafata kuwa watayabadili na malalamiko yenu yatasikiwa.
So mnaishia kuwa wapiga kelele tu si bora mkae kimya tu. Huu ni wivu sasa
Eti kuna watu walikuwa wanasema iweje awe ICON wa taifa haya ndo majibu, mitandao na magazeti yote pamoja na radio na tv zote habari ni kwann DIAMOND kaonyesha mapenzi yake kwa CCM wakina Profesa jay,Afande Sele,Sugu na Wolper na wengine wengi hawaonekani ila kwanini hafanye DIAMOND??????
Njaa zake tu huyo.
team Lowasssa for life