Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Leo na neyo live parfomence na chibu nairobi
 
Attachments

  • 1440092198078.jpg
    1440092198078.jpg
    47 KB · Views: 168
ndio hapo sasa anatugawa mashabiki
Usijipe pressure ya Bure mana wanasema wot goes around comes back around,ko kama we ni mpenzi wa mziki mzuri utarudi kwa mondi baada ya uchaguzi..jipe muda usikubali kugawa ushabiki wako
 
Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..

Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.

Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.

Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka?

Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM.

CCM tumewachoka!

Cc heaven on desert, TeamLowassa
matatizo ya ccm hata mwanangu wa miaka miwili ukimuuliza atakuambia, na hata mimi siikubali ccm, LAKINI hapa najaribu kuangalia logic behind yawewe kumchukia diamond, this means basi na wale wasanii waonaounga mkono ukawa team ccm inawachukiee?? wewe hapa umeonesha msimamo wako unaupenda ukawa, katika mtazamo huo jiweke kwenye nafasi ya diamond so ccm kukuchinjia baharini ingekuwa sawa?? au unataka kuniambia ukishakuwa msani ni lazima ujitenge na siasa, now is it possible kujitenga na siasa uwe mtu maarufu au sio? haiwezekani, so sioni kama ni busara kumpa diamond wakati ugumu kisa tu ni maarufu. kwani ni yeye tu ameonesha hisia zake kichama?
 
Nimekuelewa sana wewe mtoto, aikujua kama upo vizuri hivyo upatairs
 
Ana practise haki yake kikatiba. Kumbuka pale anaongea kama nasibu abdul. Kwake yeye kasaidiwa SANA na huyu jk na hio serikali yake, hata ungekuwa wewe. Wanasema unajifikiria nafsi yako kwanza, yeye hapo alipofika ni mafanikio na jk has played part, why aende team lowassa?
Unakuwa ni kiazi eti sio shabiki wa diamond kwasababu ni CCM. Kwa hio una support mambo yake mengine, umalaya wake?, kuzaa nje ya ndoa na mama mwenye familia tayari, kujichora matatuu mwilini? Yote haya una support au

Acheni ujinga, we cheza sankoro ukimaliza kojoa ukalale. Leave his personal life choices alone.
 
Aaagh kwa hiyo tumekusikia maana mnataka aishije mbona wewe umejichagulia chama na raisi wa kumfolo?

Aliandika jana mnaopingana nae wote muandike sababu nae aweke zake

Kilichobaki mnabwabwaja halafu hakuna mnachosema mumehaidiwa na mnaowafata kuwa watayabadili na malalamiko yenu yatasikiwa.

So mnaishia kuwa wapiga kelele tu si bora mkae kimya tu. Huu ni wivu sasa
 
Kuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..

Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika, hakuna huduma,hakuna madawa, vifaa hakuna, hakuna ajira, maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi, vijana wanasoma lakin ajira hazipo.

Kuitwa Ikulu, Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevimbiwa, wanahamasisha tuchague CCM kasahau alivyokua anauza mitumba, CCM ingekua nzuri angesomeshwa bure, elimu ya sekondari ingekua bure nae angeipata.

Yote hiyo ni tunalaumu CCM kwani ndio iliyoshikilia madaraka, na wengine mkome kusema Lowassa ana uchu wa madaraka anaizidi CCM? Mbona nayo haitaki kutoka?

Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM.

CCM tumewachoka!

Cc heaven on desert, TeamLowassa

Hahahhaha umenichekesha kweli
Yaani mtu akishabikia kitu tofauti na wewe ndio unamkacha maZima 😂😂😂😂😂😂😂
 
Umeona eenh!!hao wala sio mashabiki wa diamond,mashabiki wake wa ukweli tupo na wala hatuwezi kumu-unfollow eti kisa anampigia kampeni Magufuri hio haipo.

Piga kura kwa unayemtaka fullstop!kunya anye bata akinya kuku kaharisha?alaaaaaah!!!tena Wasituzingue kabisaa asiyempenda platnumz rukhsa kuanfollow

yaani hadi nacheka maana sie mashabiki wa kweli tunajua burudani hao wengi ni vikorosho,

wa unfollow wana uwezo wa kuacha kupata hbari zake? tangu jana alipotangaza ndio kwanza instagram watu wameongezeka kwa maelfu nadhani kama elfu 6 hapo sasa....

watanyooka tu
 
Tabia za spanner malaya hizo. Mwanamke kukosa msimamo. Kukosa logic and jumping into conclusion biassly.

Ni nyinyi mlo kuwa mkimpongeza Kikwete kukubali kazi na juhudi za Diamond. Mkishare picha Za diamnd na JK kila mahala alipoitwa ikulu.

Leo hii mnamtaka Diamond atimize matakwa yenu, yako. Ambaye ni simply fake ktk maisha yake, humsaidii kitu.

How hypocritical? Stpd.
 
Aaagh kwa hiyo tumekusikia maana mnataka aishije mbona wewe umejichagulia chama na raisi wa kumfolo?

Aliandika jana mnaopingana nae wote muandike sababu nae aweke zake

Kilichobaki mnabwabwaja halafu hakuna mnachosema mumehaidiwa na mnaowafata kuwa watayabadili na malalamiko yenu yatasikiwa.

So mnaishia kuwa wapiga kelele tu si bora mkae kimya tu. Huu ni wivu sasa

Njaa zake tu huyo.
 
Eti kuna watu walikuwa wanasema iweje awe ICON wa taifa haya ndo majibu, mitandao na magazeti yote pamoja na radio na tv zote habari ni kwann DIAMOND kaonyesha mapenzi yake kwa CCM wakina Profesa jay,Afande Sele,Sugu na Wolper na wengine wengi hawaonekani ila kwanini hafanye DIAMOND??????

ndugu hapo umewapa pointi nzuri sana watakuwa wamekuelewa as mie nimekuelewa haswaaaaaa. nami nashangaa hawakubali kuwa Diamond ndio kiki ya miji hakunaga.

nafurahia wanamzungumzia na kuongeza kiki

maisha yake asiishi wao ndio waishi khaaaaaaa

Kura tutampigia za tuzo ni mashindano na tutazipiga kama kawa
 
Wewe tu Dina na roho yako na maisha yako,safari njema huko uendako na sie Blood and Iron Fans bado tupo na tutalisongesha kama kawaidaa!!mumewangu nyumbani tumetofautiana vyama lakini hatuwezi kuvunja ndoa kisa Lowasa na Magufuri labda tuwe vichaaa!!
Acha uzembe na fanya kazi kwa bidii maisha yatakunyookea ewe kijana wa kitanzania,Lowasa hatokupa pesa mkononi wala kukupangia nyanya sokoni na wala hatokuwekea material kichwani!

Diamond ana maamuzi na sababu zake!na wala hajalazimisha mtu afate anachotaka yeye!Kila mtu yuko huru kupenda anachokiamini yeye

Kuacha kwako kumshabikia Diamond hakutoleta madhara yeyote yale kwa Team Diamond na Diamond mwenyewe ndio kwanzaa Nanga Inapaa!

Bye byeeee Dinaaaa!
 
Kweli Diamond kiboko...! Hivi tunavyo zungumzia freedom of expression hua tuna lenga nini na tunamlenga nani?!
Tumuache aseme na afanye anachotaka, ili mradi havunji sheria.
 
Ngoja aingie lowassa muanze kulialia nawachapa vibao.pumbaaav
 
Back
Top Bottom