Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwani huyo diamond unafikir alikuwa anajua kama wewe ni shabiki wake..? Si ulikuwa unajibaraguza tu hapa
 

Hahaahaaa!...take my heavy answer for your simple questions,mkuu kwanza tambua tayari prof. Ameshachagua SIASA KUWA CARRIER YAKE hivyo yeye ni MWANASIASA tofauti na mondi ambaye ni mwanamziki na sio politician...hivyo ata prof. ikatokea amefanya promo za ukawa anaplay part yeye kama MWANASIASA katika carrier yake hiyo tofauti na mondi aliyefanya kazi za wanasiasa wakati yeye ni mwanamuziki.
 

Studio ya kisasa ilijengwa daah sema bwana ruge akaichukua kaifanya yke inauma Sana
 
Watu wanadai wamejivua ushabiki but huko kwa page zake za social media idadi ya fans hawapungui instead wanaongezeka Team#Mondi#forever
Team#Lowassa#forever
 

Wanaosema hawamshabikii Dai wetu siku ikipigwa Mdogo Mdogo wasitingishe hata kidole...

Maisha yenyewe magumu haya stress tupu, afu mtu unataka kujiongeza stress kwa kumchukia Diamond...duh
 
Collable la Neyo na Mondi lipo tayari jamani tunadubri tu tudhoot vdeo for our mashabiki tuipeleke YouTube
 

hujanielewaaa plizzzz kwa hiyo na vifaa hospital nijininunulie au??we na ukoo Wako wote mna uwezo WA kutibiwa India na USA,hongeraaa
 
Potelea mbali!!hata kingkiba na yeye ni CCM tu kama hujui,na hata ukimuanfollow bado atazidi kuongeza followers na yake yatamuendea kama kawaaa!!punguza jazba mkuu hizi ni siasa tu

Hahaahaaa!...KIBA NI CDM PURE ANZIA YEYE HADI MUTOTO YAKE MKUU...
 

Attachments

  • mD15QMFL5ghzCxvWFczZ8l_PMAnSEYEubZlyvPIvSHeuvse8JZ1g8pKOvxO6DNYtNCbQH3RGi39Cd8DTo3uII3jrzfj6OC6.jpeg
    14.8 KB · Views: 169
Una haki ya kuchagua kumshabikia au kutomshabikia... Na Diamond ana haki yakumchagua mgombea yeyote anayemtaka yeye...Ila kwa mfano Baba yako akiwa CCM utaacha kumuita Baba...??

Siasa zisitufanye tukaanza kujengeana chuki, hapo umeanza na Diamond , then unakuja kwa ndugu, jamaa na marafiki
 

Mbwebwe zote zitaisha mwaka huu baadae ya hapo watarud tu kusikiliza gud music... N kawaida xana sababu hamna msanii ambae amewai tukanwa sana bongo ka diamond ila gud music ndio imemfanya hero to day
 
Halafu mbona wakati anampigia kampeni Kikwete mwaka 2010 hamkuongea???, wakati anampigia Lowassa mwaka huu hamkuongea !!

Acheni kujenga chuki zisizokuwa na msingi
 
Halafu mbona wakati anampigia kampeni Kikwete mwaka 2010 hamkuongea???, wakati anampigia Lowassa mwaka huu hamkuongea !!

Acheni kujenga chuki zisizokuwa na msingi

Kipindi kile alikua anatoka ananjaa hatukuweza mlaumu ila sahivi kashatengeneza jina lake Africa nzima anafanya kazi za njaa. Diamond kama angekua nigeria kutokana na system yao angekua tajiri mkubwa lkn tzee na system ya ccm wasanii wanakufa masikini. Alaf Bdo anawapigia debe.
 

We unafikiri tatizo ni kubadili system??? Hiyo system unayoitaka ww imeahidi nini katika music industry
 

je wewe una uhakika gani hajaridhika na Utajiri alioupata kupitia system ya sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…