Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwani huyo diamond unafikir alikuwa anajua kama wewe ni shabiki wake..? Si ulikuwa unajibaraguza tu hapa
 
Kwan ni vibaya kujionyesha kwa watoto kama yeye ni Ukawa au Ccm? Kwan kitaathili nini mtoto kuchagua kile akitakacho? Mbona munaleta bla bla bla za kitoto?

Prof J mbona mpaka anagombea ubunge lwa tiketi ya chadema hamsemi? Yeye mashabiki wake ni ukawa tu katika kazi zake za mziki?

Watanzania nani kawaloga? Mbona munakuwa wanafiki kiasi hiki? J

Roma, Prof J, Sugu, Rose Muhando wote hawa sijawahi ona munaanzishia uzi eti kisa wako ukawa kuwa kazi zao hazita huzika kisa wanaunga mkono UKAWA na Prof J ajaanza leo na ikiwa serikali ya CCM hii ila kaathirika wap? Nani kamnanga?

Ndorobooooooo nyie……!!!!!!

Hahaahaaa!...take my heavy answer for your simple questions,mkuu kwanza tambua tayari prof. Ameshachagua SIASA KUWA CARRIER YAKE hivyo yeye ni MWANASIASA tofauti na mondi ambaye ni mwanamziki na sio politician...hivyo ata prof. ikatokea amefanya promo za ukawa anaplay part yeye kama MWANASIASA katika carrier yake hiyo tofauti na mondi aliyefanya kazi za wanasiasa wakati yeye ni mwanamuziki.
 
HONGERA, Dada una akili sana sio kama hawa wanafiki wanaojua maovu yote ya CCM lakini bado wanaitetea kwa ajili tu ya vielfu 7. CCM ILIWAAHIDI WASANII KUWAJENGEA STUDIO YA KISASA, PIA ILIWAAHIDI KUWATATULIA TATIZO LA HATI MILIKI (COPYRIGHT) KATIKA KAZI ZAO. mpaka sasahivi hakuna walichowafanyia zaidi ya kuwatumia wasanii kipindi hiki ili kupata idadi kubwa ya watu katika mikutano yao.

WATANZANIA HATUITAKI CCM,TUMEWACHOKA WEZI WA RASILIMALI ZETU. Kura kwa LOWASAA WA CHADEMA,UKAWA.

Studio ya kisasa ilijengwa daah sema bwana ruge akaichukua kaifanya yke inauma Sana
 
Watu wanadai wamejivua ushabiki but huko kwa page zake za social media idadi ya fans hawapungui instead wanaongezeka Team#Mondi#forever
Team#Lowassa#forever
 
ahahaha!mie na moyo wangu wa chuma wala sijatingishika hata ukucha!nina kadi yangu ya kupigia kura na nina maamuzi yangu tayari kichwani na ninajua nani nimpe kura yangu nani nimnyime!siwezi kushawishiwa na Diamond kwa sababu najiamini na mgombea wangu!!

Kumchukia diamond sijawahi na bado hajanikeraaaa ndio kwanzaaa kunakuchaaaa

Wanaosema hawamshabikii Dai wetu siku ikipigwa Mdogo Mdogo wasitingishe hata kidole...

Maisha yenyewe magumu haya stress tupu, afu mtu unataka kujiongeza stress kwa kumchukia Diamond...duh
 
Collable la Neyo na Mondi lipo tayari jamani tunadubri tu tudhoot vdeo for our mashabiki tuipeleke YouTube
 
Watanzania wanapaswa kufahamu kwamba kila jambo ambalo mtu anafanya hulifanya kwa maslahi yake na mara nyingi ubinafsi huwekwa mbele, ila ndugu mleta mada ningekushauri fanya haya nimeyatoa hukooo jukwaa la biashara....
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI -
Karibuni
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika
Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na
Makampuni mbalimbali.
5. ** Kuanzisha kituo cha redio na televisheni
6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya
electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na
vifaa vya compyuta na mawasiliano.
7. ** Kuuza software; mfano Antivirus, Operating
Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
8. Kushona na kuuza nguo.
9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks,
batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali,
10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi,
Ng’ombe, Kuku, Bata, na wengine.
11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa
mbalimbali ktk mashule na vyuo.
12. ** Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu.
13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn
na kuziuza.
14. Kusajili namba za simu na kuuza vocha
15. Kuwa na mradi wa Pikipiki zisizotumia mafuta na
zinazotumia mafuta
16. ** Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali
ya hewa ya sehemu husika.
17. Kuuza Mitumba
18. ** Kusimamia miradi mbalimbali
19. Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali
20. Kufungua banda la chakula na chips
21. Kukodisha turubai viti na meza
22. Kufungua Supermarket
23. Kufungua Saluni
24. Kufungua Bucha
25. Video Shooting & Editing.
26. ** Kufungua Internet cafe
27. Duka la kuuza matunda
28. Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi
na landline.
29. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa
vya umeme, duka la mabati
30. Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na
miradi ya ICT
31. Kuchapa vitabu, bronchures, n.k
32. Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building contractor)
33. Kuuza Vifaa vya umeme wa nishati ya jua
(solar) ,battery, inverter na vifaa vingine vya solar n.k
34. ** Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.
35. Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.
36. Kukodisha Music
37. Kuanzisha Mradi wa Taxi
38. ** Kuanzisha mradi wa Daladala
39. Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters,
HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa
vingine.
40. ** Kununua magenerator na kukodisha
41. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu
42. ** Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet
(ISP)
43. Kuuza mabati na vigae
44. Kujenga apartments
45. ** Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta
ya aina zote
46. Kufungua Duka la samaki
47. Kufungua Duka la nafaka
48. ** · Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi,
Sekondari na Vyuo.
49. Kujenga hostel
50. Kuuza vocha na ving’amuzi vya DStv, Zuku,
Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.
51. ** · Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza
katika viwanda na wananchi.
52. Ufundi simu
53. Kufungua Hospitali, Zahanati.
54. Maabara ya Macho, Meno
55. ** Kuchimba/Kuuza Madini
56. ** Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na fax
57. Kuuza miti na mbao
58. Kufungua Grocery, bar
59. Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha
60. ** Kucharge simu/battery
61. Duka la TV na vifaa vingine
62. Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika sherehe
na tamasha mbalimbali (catering).
63. ** Banda la kupigisha simu
64. Kuuza na kushona Uniform za shule
65. Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.
66. Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na
magari
67. Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe
68. Kuuza fanicha
69. Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya
magari na mitambo.
70. Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)
71. Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.
72. Kuuza vioo
73. Kushona na kukodisha nguo za harusi
74. ** Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari
75. Kuuza mashine za kuchomelea (welding machine).
76. Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)
77. ** Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi
78. Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya redio na
televisheni
79. ** Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV
Games)
80. ** Kufungua benki
81. Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga
82. Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k
83. Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
84. Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi
(crane)
85. Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.
86. ** Kuanzisha viwanda mbalimbali
87. Duka la vifaa vya simu na gadgets mbalimbali
zinazoendana na mawasiliano ya Vodacom, TTCL,
AIRTEL, TIGO, ZANTEL, n.k.
88. ** Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe,
mikutano mbalimbali
89. Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara
na kukodisha
90. Kutengeneza antenna na kuuza
91. Kufungua mradi wa Machine za kusafisha, kutoboa
na kuchana mbao
92. ** Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme wa
kutumia upepo
93. Biashara ya kuagiza magari
94. Kufanya biashara za Jukebox
95. ** Kukodisha matenki ya maji**
96. Kufungua duka la kuuza Asali
97. Kutengeneza Mikokoteni/ matoroli na kuikodisha
98. Kufungua Duka la vinyago, batiki
99. Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA,
TIGOPESA, EZY PESA
100. ** Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).
101. Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.
102. Kufungua duka la kuuza dawa (pharmacy).
103. Kufungua Kampuni ya Ulinzi
104. Kufungua kampuni ya "Clearing and fowarding"
105. Kuchezesha vikaragosi
106. Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki
107. Kuuza baiskeli
108. Kuuza magodoro
109. Kuuza vyombo mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya
nyumbani mfano bakuli, sahani, vikombe, vijiko,
110. Kuuza marumaru (limestones)
111. Kuuza kokoto
112. Kuuza mchanga
113. Kufundisha Tuisheni
114. Biashara za bima
115. ** Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia ya anga
(ndege)
116. Biashara za kitalii
117. Biashara za meli na maboti.
118. ** Kampuni ya kuchimba visima
119. Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wa kujitegemea
120. Kuuza mkaa
121. Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali
122. ** Kampuni ya kupima ardhi
123. Kampuni ya magazeti
124. Kuchapa (printing) magazeti
125. Kuuza magazeti
126. ** Kuchimba mafuta
127. Kiwanda cha kutengeneza mabati
128. Kiwanda cha kutengeneza fanicha
129. Kiwanda cha kutengeneza matairi
130. Kutengeneza vitanda vya chuma
131. ** Kununua nyumba katika Maghorofa (Apartments)
na kuzikodisha.
132. Kukodisha makapeti
133. Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe.
134. Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka.
135. Kazi ya ususi na kusafisha kucha.
136. Kuuza Gypsum
137. Malori ya kubeba mafuta na Mizigo
138. Duka la kuuza mboga za majani
139. Duka la kuuza maua.
140. Kampuni ya kuzoa takataka
141. Kampuni ya kuuza magari
142. ** Kuuza viwanja
143. Uvuvi
144. Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea fensi
145. Uchoraji wa mabango.
146. Duka la kuuza silaha
147. Ukumbi wa kuonesha mpira
148. Biashara ya mlm (network marketing)
149. ** Yadi kwa ajili ya kupaki magari
150. Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya kilimo
KAMA YOTE HAYA UMESHINDWA KUPATA LA KUFANYA
WEWE UTAKUWA USHAPOTEA, ENDELEA NA UTARATIBU
WAKO WA KUILAUMU SERIKALI.

hujanielewaaa plizzzz kwa hiyo na vifaa hospital nijininunulie au??we na ukoo Wako wote mna uwezo WA kutibiwa India na USA,hongeraaa
 
Potelea mbali!!hata kingkiba na yeye ni CCM tu kama hujui,na hata ukimuanfollow bado atazidi kuongeza followers na yake yatamuendea kama kawaaa!!punguza jazba mkuu hizi ni siasa tu

Hahaahaaa!...KIBA NI CDM PURE ANZIA YEYE HADI MUTOTO YAKE MKUU...
 

Attachments

  • mD15QMFL5ghzCxvWFczZ8l_PMAnSEYEubZlyvPIvSHeuvse8JZ1g8pKOvxO6DNYtNCbQH3RGi39Cd8DTo3uII3jrzfj6OC6.jpeg
    mD15QMFL5ghzCxvWFczZ8l_PMAnSEYEubZlyvPIvSHeuvse8JZ1g8pKOvxO6DNYtNCbQH3RGi39Cd8DTo3uII3jrzfj6OC6.jpeg
    14.8 KB · Views: 169
Una haki ya kuchagua kumshabikia au kutomshabikia... Na Diamond ana haki yakumchagua mgombea yeyote anayemtaka yeye...Ila kwa mfano Baba yako akiwa CCM utaacha kumuita Baba...??

Siasa zisitufanye tukaanza kujengeana chuki, hapo umeanza na Diamond , then unakuja kwa ndugu, jamaa na marafiki
 
Daaah!...mbaya sana hiyo japo mie sio #Teamondi lakini impact yake ataja iyona,nianze kwa kusema sio vibaya kwa yeye kuwa na political party lakini kulikua hamna haja ya kuexpose uchama wake maana yeye kazi yake sio SIASA ni MUZIKI na ndio uliofanya hadi akafika pale alipo leo na sio siasa na ndio madhumuni ya yeye kuwa na accounts kwenye social media ili apate support za mashabiki wake...SASA AKUMBUKE HAO MASHABIKI WANA ITIKADI TOFAUTI ZA VYAMA YANI WAPO WA CHADEMA,CCM,CUF,NCCR...n.k PIA WAPO WASIO NA VYAMA AMBAO WOTE KWA PAMOJA WAMEKUTANISHWA NA MUZIKI WAKE AMBAO NDO DHUMUNI NA NDIO KAZI YAKE HIVYO KITENDO CHA YEYE KUFANYA VILE AMEENDA KINYUME KIITIKADI NA FANS WAKE AMBAO SI MAFISIEMU KAMA YEYE AMBAO KIMSINGI HAWATAMSUPPORT KATIKA MUZIKI WAKE AMBAO NDO LENGO KUU KWA MASHABIKI KWAKE,SISITI KUSEMA WASANII WANATUMIKA TENA VIBAYA SANA...NA TUNAYAONA HAYA BAADA YA HAFLA YA MLIMANI CITY YA "KIKWETE NA WASANII" MAANA KAMA KWELI YEYE ANAMKUBALI MAGUFULI KUWA NI JEMBE KAMA ALIVYOSEMA ALITAKIWA KUPOST VILE KABLA YA HAFLA YA M.CITY ANGEELEWEKA KUWA ANA MKUBALI JAMAA LAKINI SIO BAADA YA ILE HAFLA NDO ANAPOST...KITU AMBACHO KINAONEKANA WAZI NI ANATUMIKA TENA KWA MASLAH YAKE BINAFSI NA SIO TAIFA KWA UJUMLA...NASEMA HIVII "HII ITAMGHARIMU SANAAA KIMUZIKI",NA NIWE MUWAZI MIMI KAMA FAN WA ALIKIBA...IKITOKEA KAPOST ISHU LIKELY NA HIYO NAACHA MARA MOJA KUSUPPORT MUZIKI WAKE...#NOCOMMENT !

Mbwebwe zote zitaisha mwaka huu baadae ya hapo watarud tu kusikiliza gud music... N kawaida xana sababu hamna msanii ambae amewai tukanwa sana bongo ka diamond ila gud music ndio imemfanya hero to day
 
Halafu mbona wakati anampigia kampeni Kikwete mwaka 2010 hamkuongea???, wakati anampigia Lowassa mwaka huu hamkuongea !!

Acheni kujenga chuki zisizokuwa na msingi
 
Halafu mbona wakati anampigia kampeni Kikwete mwaka 2010 hamkuongea???, wakati anampigia Lowassa mwaka huu hamkuongea !!

Acheni kujenga chuki zisizokuwa na msingi

Kipindi kile alikua anatoka ananjaa hatukuweza mlaumu ila sahivi kashatengeneza jina lake Africa nzima anafanya kazi za njaa. Diamond kama angekua nigeria kutokana na system yao angekua tajiri mkubwa lkn tzee na system ya ccm wasanii wanakufa masikini. Alaf Bdo anawapigia debe.
 
Kipindi kile alikua anatoka ananjaa hatukuweza mlaumu ila sahivi kashatengeneza jina lake Africa nzima anafanya kazi za njaa. Diamond kama angekua nigeria kutokana na system yao angekua tajiri mkubwa lkn tzee na system ya ccm wasanii wanakufa masikini. Alaf Bdo anawapigia debe.

We unafikiri tatizo ni kubadili system??? Hiyo system unayoitaka ww imeahidi nini katika music industry
 
Kipindi kile alikua anatoka ananjaa hatukuweza mlaumu ila sahivi kashatengeneza jina lake Africa nzima anafanya kazi za njaa. Diamond kama angekua nigeria kutokana na system yao angekua tajiri mkubwa lkn tzee na system ya ccm wasanii wanakufa masikini. Alaf Bdo anawapigia debe.

je wewe una uhakika gani hajaridhika na Utajiri alioupata kupitia system ya sasa?
 
Back
Top Bottom