Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Bora uendelee tu kumshabikia Diamond uondoe stress za wanasiasa maana unapohangaika na hospitali za serikali kulala chini wenzako wanasiasa wanaungana kushinikiza posho ya milioni 230 kwa kila mbunge. Hawana huruma ati. Mwanasiasa ni rafiki yako kwenye kuomba kura tu lakini siyo kwenye pesa. Ukiona wanasema fulani mwizi, chungulia jicho la tatu utakuta huyo anayenyoosha kidole kuna sehemu kazidiwa ujanja wa kupata hiyo pesa.

Nikisikiliza Nana unanisahaulisha kabisa ishu za siasa, nafarijika na matatizo yangu.
 


Words kiukweli ,merci madame
 
Nilishamu unfollow tokea jana,alipoanza kupost ujinga wake tu
 
Dina msamehe bure huyo, shule kichwan ndogo ndo maana wanakosa msimamo kww kuhofia maslah yao, lets all vijana work harder kufikia ndoto zetu kwa kutumia fursa zilizopo mbele yetu
 

Hahahhhh well said though
 
HONGERA, Dada una akili sana sio kama hawa wanafiki wanaojua maovu yote ya CCM lakini bado wanaitetea kwa ajili tu ya vielfu 7. CCM ILIWAAHIDI WASANII KUWAJENGEA STUDIO YA KISASA, PIA ILIWAAHIDI KUWATATULIA TATIZO LA HATI MILIKI (COPYRIGHT) KATIKA KAZI ZAO. mpaka sasahivi hakuna walichowafanyia zaidi ya kuwatumia wasanii kipindi hiki ili kupata idadi kubwa ya watu katika mikutano yao.

WATANZANIA HATUITAKI CCM,TUMEWACHOKA WEZI WA RASILIMALI ZETU. Kura kwa LOWASAA WA CHADEMA,UKAWA.
 
Ana haki lakin aangalie wao wenyewe kazi zao zinaibiwa,hawana hatimiliki,wanadanganywa na dinner ya ikulu,basi angeuchunaa,yaan hivi kaniudhi kanitoka puuuuu

Hahahaha..nilijua tu iko siku utaingia akili..njoo huku basi
 

We kichaa kweli wewe
 
Last edited by a moderator:
Fanya kazi kwa juhudi utaishi maisha bora tu!!!! Hata kulima nayo ni kazi, kufuga ni kazi nk, Unalalamika maisha magumu lkn wenzako wanajaza barabara kwa magari yao, foleni haziishi tena ndani ya serikali hii hii ya ccm!!

Nawasiwasi na profile name yako...itakuwa ulikosea kuliandika bila shaka wewe ni "MZEE KIRAZA" na sio MZEE RAZA...
 
Ninalima pesa inaishia kwenye matumizi hakuna akiba,
Dola ipo juu all imported goods lazima ziwe ghali!
Mfumo wa masoko nao ni mbovu bado unaamini serikali haina mchango katika individual development?

KULA 👊(Tano) mkuu na ndio maana nikamwambia uyo atakuwa anaitwa "MZEE KIRAZA" si bure...maana amesahau kama ata hao wakulima wenyewe huko vijijini wanafanya kilimo kwa miaka-54 ya uhuru wa nchi hii lakini hadi leo hii wanaishi kwenye vibanda vya udongo na nyasi huko kijijini wakitaka msosi wanakula mazao yao waliyoyapanda na hawana maendeleo mengine yeyote na amesahau kila siku WAKULIMA WANAVYOLALAMIKA KUHUSU KUSHUKA BEI YA MAZAO KILA KUKICHA HIVYO SERIKALI INAWAUMIZA SANAAA...SASA ALITAKA HUYO MKULIMA YEYE KAMA MTANZANIA AFANYE NINI ZAIDI YA ICHO ILI AJIKWAMUE KIMAISHA???...NA KAMA SITUATION NDO HIYO NANI WA KULAUMIWA KAMA SIO SERIKALI YA CCM ILIYO MADARAKANI?????
 

Penda sn ww,ur so intelligent guy.
 
Huu kweli mwaka wa shetani cjui nani alaumiwe mana kila mtu kasahau alipotoka..now ni wakati wa kuamka kifikra na kuachana na itikadi za kizee,hatimaye CCM ipigwe chini raundi ya kwanza kwa knockout..aksantheeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…