Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujaza foleni sio indicators za development huduma muhimu ka shule afya hospitali hazina dawa wanawake wanajifungulia chino,shule watoto wanakaa chini pamoja na misitu iliyopo nusu nchi.
Hata kama ufanye kazi twenty four seven kama serikali haiwezeshi wananchi kupunguza ukali wa maisha ni bure. Sasa hivi hela haina thamani hata ukipokea million huwezi Ku save chochote. Fikiria vizuri next time
Bora uendelee tu kumshabikia Diamond uondoe stress za wanasiasa maana unapohangaika na hospitali za serikali kulala chini wenzako wanasiasa wanaungana kushinikiza posho ya milioni 230 kwa kila mbunge. Hawana huruma ati. Mwanasiasa ni rafiki yako kwenye kuomba kura tu lakini siyo kwenye pesa. Ukiona wanasema fulani mwizi, chungulia jicho la tatu utakuta huyo anayenyoosha kidole kuna sehemu kazidiwa ujanja wa kupata hiyo pesa.
Nikisikiliza Nana unanisahaulisha kabisa ishu za siasa, nafarijika na matatizo yangu.
Ana haki lakin aangalie wao wenyewe kazi zao zinaibiwa,hawana hatimiliki,wanadanganywa na dinner ya ikulu,basi angeuchunaa,yaan hivi kaniudhi kanitoka puuuuu
kuanzia Leo Mimi sio shabiki WA Daimond najivua gamba navaa gwanda,,
Diamond sio mama yangu wala Baba yangu,amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui ccm ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi,,,Zari kajifungulia hospital nzuri aje aangalie huku hospital za kawaida watu wanavyohangaika,hakuna huduma,hakuna madawa,vifaa hakuna,hakuna ajira,maskini tunakandamizwa kwa kulipa kodi,vijana wanasoma lakin ajira hazipo,
kuitwa ikulu Kula Dina sijui wamepewa na nini wamevembewa,wanahamasisha tuchague ccm kasahau alivyokua anauza mitumba ccm ingekua nzuri angesomeshwa bure,elimu ya swkondari ingekua bure nae angeipata,.
yote hiyo Ni tunalaumu ccm kwani ndio iliyoshikiria maadaraka,na wengine mkome kusema Lowassa Ana uchu WA madaraka anaizidi ccm?mbona nayo haitaki kutoka
tunataka mabadiliko kama Baba yako Ni kinana shabikia ccm,kama mama yako Ni Tibaijuka shabikia ccm,ccm tumewachoka
cc heaven on desert
TeamLowassa ndio nishasema hutaki kanye chupa
Fanya kazi kwa juhudi utaishi maisha bora tu!!!! Hata kulima nayo ni kazi, kufuga ni kazi nk, Unalalamika maisha magumu lkn wenzako wanajaza barabara kwa magari yao, foleni haziishi tena ndani ya serikali hii hii ya ccm!!
Ninalima pesa inaishia kwenye matumizi hakuna akiba,
Dola ipo juu all imported goods lazima ziwe ghali!
Mfumo wa masoko nao ni mbovu bado unaamini serikali haina mchango katika individual development?
Kujaza foleni sio indicators za development huduma muhimu ka shule afya hospitali hazina dawa wanawake wanajifungulia chino,shule watoto wanakaa chini pamoja na misitu iliyopo nusu nchi.
Hata kama ufanye kazi twenty four seven kama serikali haiwezeshi wananchi kupunguza ukali wa maisha ni bure. Sasa hivi hela haina thamani hata ukipokea million huwezi Ku save chochote. Fikiria vizuri next time
Huu kweli mwaka wa shetani cjui nani alaumiwe mana kila mtu kasahau alipotoka..now ni wakati wa kuamka kifikra na kuachana na itikadi za kizee,hatimaye CCM ipigwe chini raundi ya kwanza kwa knockout..aksantheeniKuanzia Leo Mimi sio shabiki wa Daimond najivua gamba navaa gwanda..Diamond sio mama yangu wala Baba yangu, amepata pesa kawa na kiburi kasahau alipotoka anajifanya hajui CCM ilivyotunyoosha na inavyoendelea kutunyoosha ye anaishabikia na kuweka sababu za kipuuzi.. Tunataka mabadiliko kama Baba yako ni Kinana shabikia CCM, kama mama yako ni Tibaijuka shabikia CCM. CCM tumewachoka! Cc heaven on desert, TeamLowassa