Wilson Joseph
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 311
- 275
Maamuzi ni ya mtu binafsi haijalishi kazi yake so let him follw his wishes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo linakuja pale unapotaka fikra zako ziwe kwa watu WOTE, mtu alitoa mtazamo wake wake tofauti unaanza kusema itamgarimu kwani lowasa ndo alileta mafanikio ya diamond mpaka hapo alipo?
Unachosema ni kweli DIVA...NAMIMI NIMEPENDA SANA MSIMAMO WA MSANII RAY JUU YA USHABIKI WA SIASA WANAOFANYA WENZIE KWENYE SOCIAL MEDIA,Maana upepo hadi sasa hausomeki alafu yeye anapost ujinga kama ule...NA JE UKAWA WAKICHUKUA NCHI OCTOBER ANAJIWEKA KATIKA MAZINGIRA GANI KUHUSU KUPATA SUPPORT KUTOKA KWA SERIKALI YA UKAWA?...NA NDIO MAANA NIKASEMA HAKUPASWA KUONYESHA FEELINGS ZAKE ZA UCHAMA KUWA WAZI KIASI KILE IKIWA YEYE NI MTU MWENYE TITLE KWENYE JAMII NA MWENYE KAZI TOFAUTI KABISA NA SIASA MAANA INAJULIKANA ANAFANYA MUZIKI NA SIO SIASA!
Sitoacha kumpigia kura diamond wangu na sitoacha kumpa sapoti yeyote ile anayostahili kutoka kwangu kama shabiki wa damu.Natambua ni haki yake ya msingi kufanya hivyo na siwezi kumpangia cha kufanya.
Mashabiki wa diamond tupo na tutaendelea kuwepo
Eti kuna watu walikuwa wanasema iweje awe ICON wa taifa haya ndo majibu, mitandao na magazeti yote pamoja na radio na tv zote habari ni kwann DIAMOND kaonyesha mapenzi yake kwa CCM wakina Profesa jay,Afande Sele,Sugu na Wolper na wengine wengi hawaonekani ila kwanini hafanye DIAMOND??????
Baada ya kujibu hoja. Unakimbilia kutukana watu.. Kama wew ungekua na akili ungenipinga kwa hoja..kwa jinsi ulivyojibu ni wazi kuwa wew ndo huna akili.. Una akili ya kubadilisha pedi tu..
Ruge n kweli ni mnyonyaji unataka sema kiba nae alihongwa alipoenda mlimani city
tatizo sio ccm kwa nn awe mnafiki alianza na lowassa sasa magufuli kama ni jembe magufuli mbona hakumpa sapot au kupost insta kabla ya lowassa kuhama inamaana hapo magufuli akiondolewa(mfano) akawekwa bilal au kawabwa pia atasema ni majembe we huoni kuna kitu hapo
Diamond alitakiwa kuwa tajiri zaid ya hata akina Kcee Iyanya ila kutokana na serikali yakizembe ya Ccm anaona kafiiika" aaagh kazingua msanii mkubwa kama yy kupost vile ni dhahiri kuna kitu either angestay neutral tu asiwagawe fans wake.
My point is, asingeonesha wazi maana itamletea effect kwenye kazi zake za kimuziki.
Just imagine saiv mashabiki washaanza kampeni ya kutompigia kura kwenye tunzo anazoshiriki. Na nimepitia comments za mashabiki, 90% hawakufurahishwa na kitendo hicho. Unategemea nn? Wakati kura za washabiki ndo zinampa ushindi katika tunzo?
Hawa wasanii njaa sana hawajielewi kbs watu wanadhurumiwa kazi zao na serikali leo hii wamepewa pesa wanawasapoti wanasiasa hawa vipi hawa
hadi hapo alipofika natumai anaujua vizuri mziki wa bongo, akifanya tofauti hiyo itakuwa juu yake
wots your point???... ina maana Diamond ashabikie chama cha siasa kisa , mashabiki wake wanakipenda, kama hiyo nd pointi basi lazima ufahamu mpaka wa ushabiki wako na mapenzi kwa mtu.... Freedom of expression kwani nyie mashabiki nani amewachagulia...hao wanaoanzisha hizo kampeni sio mashabiki wa Diamond, hakuna shabiki wa Diamond anayeweza kufanya upumbavu kama huo
Unamix mambo sana, kwanza kwa nini unataka kumchagulia ? Ni mtanzania ana haki ya kufanya maamuzi yake kama yeye binafsi, usichanganye kazi yake na utashi wake wa kisiasa mtu akiwa tofauti na wewe kifikra hususani katika siasa haimaanishi umchukie ametoa mtazamo wake na si lazima ufanane na wako, hao unaosema 90% wao wanamlengo wao na hawapaswi kubezwa na sidhani kama kuna mtu kawaamulia kufanya hayo maamuzi, ninakuimagine kwa mtizamo wako kama wewe ni baba wa familia mtoto akuwa shabiki wa chama usichokitaka utamnyima ugali kabisa ..be + mpigie kura kwenye category zote Utanzania kwanza ....usijenge chuki kwa hoja za kisiasa kama unaona hayuko sahihi mchape kwa hoja kisha mshawishi kwa nn unaona hayuko sahihi na si vinginevyo.
Na Mimi nilikuwa nampa shavu sana humu ndani lakini amenionyesha kwamba yeye ni dizaini zilezile za wasanii wajingajinga.nilishasema huyu mtoto mdomo utamponza wat wakanituna weeee .....ipo sku yake amuangalie mr nice yupo wapi sahizi
Na Mimi nilikuwa nampa shavu sana humu ndani lakini amenionyesha kwamba yeye ni dizaini zilezile za wasanii wajingajinga.
Kwanzia Leo wala sitomtetea humu maana hajielewi.[emoji16] [emoji16]