Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Ni aibu kwa msanii kununuliwa kwa "dinner". Wasanii wetu warahisi sana.
 
My point is, asingeonesha wazi maana itamletea effect kwenye kazi zake za kimuziki.
Just imagine saiv mashabiki washaanza kampeni ya kutompigia kura kwenye tunzo anazoshiriki. Na nimepitia comments za mashabiki, 90% hawakufurahishwa na kitendo hicho. Unategemea nn? Wakati kura za washabiki ndo zinampa ushindi katika tunzo?

Acha upuuzi ww umetumia njia zipi kusema 90% wamepingana nae???? Jaribu kuangalia likes pia
 
wots your point???... ina maana Diamond ashabikie chama cha siasa kisa , mashabiki wake wanakipenda, kama hiyo nd pointi basi lazima ufahamu mpaka wa ushabiki wako na mapenzi kwa mtu.... Freedom of expression kwani nyie mashabiki nani amewachagulia...hao wanaoanzisha hizo kampeni sio mashabiki wa Diamond, hakuna shabiki wa Diamond anayeweza kufanya upumbavu kama huo

Na wew umetoa povu ila hakuna point uliyoandika.. Magufuli amechaguliwa na ccm kama wiki 4 zilizopita huo muda wote hao wasanii walikua kimya hakuna hata mmoja aliye msupport huyo magufuli. Leo hii wasanii wote wameamka huko instagram wameanza kumpamba magufuli ambapo kwa mtu makini lazma ajiulize why today? Na kwan nn wasanii wote. Tukiconnect dots tunapata majibu kwamba kuna amri imepita kwa hawa wasanii.au wamenunulika tena wote..
 
Kwa hiyo UKAWA nao walioanza kumpamba ghafla Lowassa nao wamenunuliwa? Tuache kila mtu aamini anachoamini.
 
Umesoma vzuri nilichoandika??hapa sijamuongelea diamond nimewaongelea wasanii wote.. Kwa nin iwe leo tena wote kwa pamoja.. Na kila mmoja anaeka picha ile ile..ukiwa na akili timamu utanielewa ila ukileta mahaba yako kwa diamond hutonielewa
 
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamomo wake katika mhonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo.

diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa sapport hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.

Nimepitia baadhi ya comments za followers wake nakugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.

Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.

Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.

Namuonea huruma sana

Huna jipya ni chuki tu zimekujaa pole, kila mtanzania anahaki ya kuchagua kile anachipenda yy, kua star haimaanishi upende vinavyopendwa na watu flan, hio haipooooo
 
Huna akili.
Baada ya kujibu hoja. Unakimbilia kutukana watu.. Kama wew ungekua na akili ungenipinga kwa hoja..kwa jinsi ulivyojibu ni wazi kuwa wew ndo huna akili.. Una akili ya kubadilisha pedi tu..
 
Mbona hata marekani wasanii uwa wanashabikia na maisha yanaendelea....na nyie fanyeni yenu nao wafanye yao.

unalinganisha mlima na kichuguu si tupo tz umetupeleka marekani cc kedrick njoo huku
 
Last edited by a moderator:
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamomo wake katika mhonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo.

diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa sapport hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.

Nimepitia baadhi ya comments za followers wake nakugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.

Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.

Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.

Namuonea huruma sana

Sikia diamond hajanza,Leo wala Jana kui support ccm km unakumbuka ule wimbo wke wa mbagala alifanyia remix ukawa wa ccm so sioni tatizo pwilo
 
Last edited by a moderator:
Unaanzaje kuwa na akili sasa!? Huoni hapo umemtukana mama yako mzazi.
Sht.
Wew ulie na akili umeendelea kumjibu asie na akili no wonder na wew akili zako zipo kama hao za wasanii wenu.
 
Sikia diamond hajanza,Leo wala Jana kui support ccm km unakumbuka ule wimbo wke wa mbagala alifanyia remix ukawa wa ccm so sioni tatizo pwilo

tatizo sio ccm kwa nn awe mnafiki alianza na lowassa sasa magufuli kama ni jembe magufuli mbona hakumpa sapot au kupost insta kabla ya lowassa kuhama inamaana hapo magufuli akiondolewa(mfano) akawekwa bilal au kawabwa pia atasema ni majembe we huoni kuna kitu hapo
 
Last edited by a moderator:
Sema nini wasanii itakuwa wakula mashiko toka ccm,kwanini wakurupuke wote waanze kupost kuhusu magufuri kwa kwa wakati mmoja,bora Vicent kigosi amewaambia ukweli
 
tatizo sio ccm kwa nn awe mnafiki alianza na lowassa sasa magufuli kama ni jembe magufuli mbona hakumpa sapot au kupost insta kabla ya lowassa kuhama inamaana hapo magufuli akiondolewa(mfano) akawekwa bilal au kawabwa pia atasema ni majembe we huoni kuna kitu hapo

Unajua nn magufuli alichukua fomu kimya kimya hakuitisha hata mkutano sasa angempaje support
 
lowasa alisema ni jembe na magufuli jembe sasa hapo anafuata anachopenda au kuna kitu nyuma kila mwana ccm atampenda
 
Kwa lowassa Ali perform tu haku mpost insta hata ivyo as long Ina mlipa haina tatizo
 
basi sawa ila dogo hajielewi ki ufupi tu ndo mana hata aliongea pumba m.city
 
Dogo yuko vizuri mnalazimisha mitazamo yenu ndo uwe wimbo wa wote. Wengine hawataki kuchezeshwa nyimbo za kinafki wanacheza nyimbo zao...@ matakwa ya mioyo yao. Mwacheni dogo aamue. Muda utafika mtatambua kwamba vijana wenye akili wanacheza wimbo gani.....lets wait loading......
 
Back
Top Bottom