Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

mimi na diamond tumeishiana leo......ndorooooobo mkubwa yule
 
hakiyaMungu kuna mamburula wengi hii dunia. Sasa op unataka apende kitu unapenda wewe na hao mashabiki. Ndorooobo
 
The guy is no rocket scientist.What do you expect from a semi-illiterate such as him?
 
Tukubalia tukatae, haikuwa right move kwake especially kwa wakati huu, tunaweza tusione effects zake kwa wakati huu ila mbeleni zitaonekana tu......... let wait n see......
 
Albert mangwea aliimba wimbo CCM leo yuko wapi???
 
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamomo wake katika mhonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo.

diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa sapport hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.

Nimepitia baadhi ya comments za followers wake nakugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.

Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.

Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.

Namuonea huruma sana

Kama angeisapoti chadema angepata sapoti zaidi au sio uchizi kweli diamond wataendelea kuwa juu tu
 
Kwani tatizo nini?yeye muziki ndiyo ajira yake wewe ulitakaje?jamani ndio democras hiyo ana haki ya kuchagua anapotaka.kama wewe ulivyochagua huko ulipo.Ukiona hivyo ana maslahi napo
 
Kama msanii unatakiwa uconyeshe hisia zako za chama fulan coz hao hao mshabk wanakupgia kura ktk 2nzo muhimu kujitaid kufcha hisia za kchama
 
Back
Top Bottom