Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ndio ni wote wamekubali kutumika effectivelyRuge n kweli ni mnyonyaji unataka sema kiba nae alihongwa alipoenda mlimani city
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ni wote wamekubali kutumika effectivelyRuge n kweli ni mnyonyaji unataka sema kiba nae alihongwa alipoenda mlimani city
Hawa wasanii njaa sana hawajielewi kbs watu wanadhurumiwa kazi zao na serikali leo hii wamepewa pesa wanawasapoti wanasiasa hawa vipi hawa
Ndio ni wote wamekubali kutumika effectively
Hapo wangewakomalia hati miliki na miziki yao ikipigwa kwenye TV na redio walipwe wao ni kutumika.Wasanii wabongo njaa tu
Aisee kumbe alivyoKwa hiyo UKAWA nao walioanza kumpamba ghafla Lowassa nao wamenunuliwa? Tuache kila mtu aamini anachoamini.
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamomo wake katika mhonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo.
diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa sapport hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.
Nimepitia baadhi ya comments za followers wake nakugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.
Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.
Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.
Namuonea huruma sana
Hapa Mondi kazingua mchana kweupee, dogo jinga kabisa hili!