Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
CHibu boya kinoma ndio ajijue ashaanza kujipiga pini mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My point is, asingeonesha wazi maana itamletea effect kwenye kazi zake za kimuziki.
Just imagine saiv mashabiki washaanza kampeni ya kutompigia kura kwenye tunzo anazoshiriki. Na nimepitia comments za mashabiki, 90% hawakufurahishwa na kitendo hicho. Unategemea nn? Wakati kura za washabiki ndo zinampa ushindi katika tunzo?
wots your point???... ina maana Diamond ashabikie chama cha siasa kisa , mashabiki wake wanakipenda, kama hiyo nd pointi basi lazima ufahamu mpaka wa ushabiki wako na mapenzi kwa mtu.... Freedom of expression kwani nyie mashabiki nani amewachagulia...hao wanaoanzisha hizo kampeni sio mashabiki wa Diamond, hakuna shabiki wa Diamond anayeweza kufanya upumbavu kama huo
Na wew umetoa povu ila hakuna point uliyoandika.. Magufuli amechaguliwa na ccm kama wiki 4 zilizopita huo muda wote hao wasanii walikua kimya hakuna hata mmoja aliye msupport huyo magufuli. Leo hii wasanii wote wameamka huko instagram wameanza kumpamba magufuli ambapo kwa mtu makini lazma ajiulize why today? Na kwan nn wasanii wote. Tukiconnect dots tunapata majibu kwamba kuna amri imepita kwa hawa wasanii.au wamenunulika tena wote..
Kwa hiyo UKAWA nao walioanza kumpamba ghafla Lowassa nao wamenunuliwa? Tuache kila mtu aamini anachoamini.
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamomo wake katika mhonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo.
diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa sapport hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.
Nimepitia baadhi ya comments za followers wake nakugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.
Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.
Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.
Namuonea huruma sana
Baada ya kujibu hoja. Unakimbilia kutukana watu.. Kama wew ungekua na akili ungenipinga kwa hoja..kwa jinsi ulivyojibu ni wazi kuwa wew ndo huna akili.. Una akili ya kubadilisha pedi tu..Huna akili.
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamomo wake katika mhonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo.
diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa sapport hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.
Nimepitia baadhi ya comments za followers wake nakugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.
Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.
Kinachoendelea saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.
Namuonea huruma sana
View attachment 278080Time will tell kila kitu kina taifa na hasara zake wajanja huuusoma kwanza upepo na mchezo ulivo
Wew ulie na akili umeendelea kumjibu asie na akili no wonder na wew akili zako zipo kama hao za wasanii wenu.Unaanzaje kuwa na akili sasa!? Huoni hapo umemtukana mama yako mzazi.
Sht.
Sikia diamond hajanza,Leo wala Jana kui support ccm km unakumbuka ule wimbo wke wa mbagala alifanyia remix ukawa wa ccm so sioni tatizo pwilo
tatizo sio ccm kwa nn awe mnafiki alianza na lowassa sasa magufuli kama ni jembe magufuli mbona hakumpa sapot au kupost insta kabla ya lowassa kuhama inamaana hapo magufuli akiondolewa(mfano) akawekwa bilal au kawabwa pia atasema ni majembe we huoni kuna kitu hapo
lowasa alisema ni jembe na magufuli jembe sasa hapo anafuata anachopenda au kuna kitu nyuma kila mwana ccm atampendaUnajua nn magufuli alichukua fomu kimya kimya hakuitisha hata mkutano sasa angempaje support
lowasa alisema ni jembe na magufuli jembe sasa hapo anafuata anachopenda au kuna kitu nyuma kila mwana ccm atampenda
basi sawa ila dogo hajielewi ki ufupi tu ndo mana hata aliongea pumba m.cityKwa lowassa Ali perform tu haku mpost insta hata ivyo as long Ina mlipa haina tatizo