Mkuu umetema madini matupu, yeye ni mjinga hajui kizazi chake wanashabikia upande gani, asinge take sides, angefanya kama alivyo fanya kwa lowassa, angepiga show avute mkwanja aende zake. Sasa ameamua kutake side, side ya chama ambacho asilimia kubwa ni waakina mama watu wazima na wazee. Sasa hivi hawezi ona, matokeo atayapata baada ya mwaka. Halaf amejiona amekuwa super star sana, kama jana anaongea live kwenye radio anamwambia ningekuwa NIMEKUKAZA ungeniheshimu. Katika umri wangu wote huu sijawahi msikia msanii anaongea hivyo radioni. Ndo yale yale ya mkapa kuwaita watanzania wanaotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa. Wamelewa hawa hela tunazowapa wenyewe