Pre GE2025 Kwa hili la Ali Kibao hakuna yoyote ndani ya CHADEMA aliye salama!

Pre GE2025 Kwa hili la Ali Kibao hakuna yoyote ndani ya CHADEMA aliye salama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatukuwahi kufikiri kama Tanzania hii inayotambulika kama kisiwa cha Amani itatufikisha huku

Hii imeiaibisha na kuidhalilisha sana Taifa, hasa kwa wageni waliopo nchini na wasomao taarifa za nchi yetu kila siku
 
HAMKO SALAMA NYTE, NYOTE VIONGOZI.......Chukueni tahadhali, chukueni tahadhali na kaeni mtafakari kama chama nini kifanyike? Nini kifanyike?
Usalama wenu ukoje be it Mbowe, Mnyika Heche, Lisu lema to mention but a few!
Naona ni kujenga hofu miongoni mwa wana nchi tukielekea uchaguzi wa 2025, watanzania ni waoga zana unaweza kutawala akili zao kwa kuutengenezea hofu, pia ni wasaulifi sanaa.
 
Ustaarabu, uungwana na upole wa kindezi tuuweke pembeni, bora kufa hadharani ukiwa unapambana kuliko kufa kifala ukiwa peke yako.

Kwa kifupi, unakufa ukiwa umekula na kumeza sikio, pua, koromeo au jicho la mtu ili awe shahidi wa uovu wake.
 
Ustaarabu, uungwana na upole wa kindezi tuuweke pembeni, bora kufa hadharani ukiwa unapambana kuliko kufa kifala ukiwa peke yako.

Kwa kifupi, unakufa ukiwa umekula na kumeza sikio, pia au jicho la mtu ili awe shahidi wa uovu wake.
Siasa za kistaarabu zimekuwa too much, sasa inatakiwa wawe majasiri, kila kiongozi na mfuasi awe mlinzi wa mwenzie
 
Ustaarabu, uungwana na upole wa kindezi tuuweke pembeni, bora kufa hadharani ukiwa unapambana kuliko kufa kifala ukiwa peke yako.

Kwa kifupi, unakufa ukiwa umekula na kumeza sikio, pua au jicho la mtu ili awe shahidi wa uovu wake.
Na pia Bora ufie kwenye watu ndugu zako wachukue mwili wako uzikwe Kwa heshima kama binadamu,kulko kuliwa na fisi au kua kitoweo Cha chatu kule pori la katavi
 
Kuna Mambo mawili:
1: Yawezekana Serikali inahusika
2: Yawezekana Kuna kundi la watu wnaichafua Serikali,lakini je?
1: Waziri wa mambo ya Ndani kimya
2: Polisi Kimya
3: Waziri Mkuu kimya
4:Makamu wa Rais kimya
5:Bunge Kimya
6:Rais Kimya
Tafsiri yake nini Sasa?
1:Hatujui la kufanya
2:Tunajua kinachoendelea na kimepangwa,
3:Hali hiyo siyo shida Kwa nchi au kitu Gani?
Kama watu Hawa wanaotekwa ni wahalifu na SERIKALI inahusika,basi wakamatwe Kwa mujibu wa Taratibu,washtakiwe,wskikutwa na hahatia wafungwe.
Kama watu Hawa hawajulikani Serikali ichuke hatua haraka sana kabla ya tabia hii kukua na kuonekana ya Kawaida na watu kuanza kuuana hivyo na kuchafua taswira ya nchi
 
Lazima tujiulize kwanini watu Hawa wamekuwa na ujasiri huu mkubwa wakumkamata mtu ndani ya basi nakwenda kumuua
 
Kuna Mambo mawili:
1: Yawezekana Serikali inahusika
2: Yawezekana Kuna kundi la watu wnaichafua Serikali,lakini je?
1: Waziri wa mambo ya Ndani kimya
2: Polisi Kimya
3: Waziri Mkuu kimya
4:Makamu wa Rais kimya
5:Bunge Kimya
6:Rais Kimya
Tafsiri yake nini Sasa?
1:Hatujui la kufanya
2:Tunajua kinachoendelea na kimepangwa,
3:Hali hiyo siyo shida Kwa nchi au kitu Gani?
Kama watu Hawa wanaotekwa ni wahalifu na SERIKALI inahusika,basi wakamatwe Kwa mujibu wa Taratibu,washtakiwe,wskikutwa na hahatia wafungwe.
Kama watu Hawa hawajulikani Serikali ichuke hatua haraka sana kabla ya tabia hii kukua na kuonekana ya Kawaida na watu kuanza kuuana hivyo na kuchafua taswira ya nchi
Kwa kifupi SERIKALI IMESHINDWA NA IMEANGUKA IPO UCHI.
 
Wanatengeneza hiyo narrative wao wenyewe.

Kwa wapenzi wa vipindi vya FBI files, Murder Comes to town and the likes.

Kikubwa kwenye uchunguzi hasa palę penye pattern ni motive ya muhusika.

Lipo wazi utekaji wa wanachama wa CDM suspect number one ni uongozi wa CDM kwa wafuatiliaji wa vipindi ‘real life crime’.
 
Naona ni kujenga hofu miongoni mwa wana nchi tukielekea uchaguzi wa 2025, watanzania ni waoga zana unaweza kutawala akili zao kwa kuutengenezea hofu, pia ni wasaulifi sanaa.
Wanaweza fanikiwa kutengeneza hofu sawa, lakini cha ajabu akili ya mwanadamu unapo msababishia changamoto ndipo alikiri yake huwezi kutafuta suluhisho , uncertainty is catalyzed by people deliberately or without their knowledge,ukinisababishia changamoto naamsha ubongo nafikiri zaidi, binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri
 
Wanaweza fanikiwa kutengeneza hofu sawa, lakini cha ajabu akili ya mwanadamu unapo msababishia changamoto ndipo alikiri yake huwezi kutafuta suluhisho , uncertainty is catalyzed by people deliberately or without their knowledge
Ina depend on nature of those people ila sio kwa jamii ya watanzania, sisi ni raia unique, kifikra sio rahisi kutulinganisha na raia wengine wa dunia
 
Nchi inaongozwa na mtu dhaifu sana. Hivyo wahuni "wameipiga kopi serikali", wanafanya wapendavyo, na rais hana namna ya kuwafanyia.

Wahuni wanataka kutimiza ile kauli ya "2025 labda mambo yaharibike sana"
 
View: https://m.youtube.com/playlist?list=PLPWADYvG7WEwFb-VHqlXiw9ntvHYOEkoe

Hiyo ni playlist ya murder comes to town ☝️

Then angalia FBI files ☝️tafuta episodes za repeated crimes.

Kwenye kutafuta pattern na motive (mens rea) wahusika wanatafuta sababu.

CCM na Serikali aina sababu ya kutaka na kuuwa sampuli ya wanachama wa CDM wanaotekwa na marehemu.

Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili

Lipo wazi wahusika wa haya matukio ni CDM wenyewe
 
Back
Top Bottom