Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Hakuna mtu anapenda kuona mwenzake ananyan’gwa maisha yake kirahisi.Ipo siku watakufikia... Na umma utakuuliza maswali.
Shida ni kwamba ni rahisi sana kuwaaminisha chochote watu wasio na utamaduni wa kuuliza maswali.
Yaani watu wanafanya tukio la uhalifu mbele ya mashahidi luluki.
Halafu mwili wanautupa eneo ambalo ni rahisi mwili kuonekana na wapita njia.
Na amuoni sababu ya kuuliza serikali gani duniani inayotafuta support ya wananchi inaweza kufanya mambo ya hovyo hadharani hivyo.
Hilo genge la wahuni wanafanya hivyo kwa sababu mmeshajimisha kama jamii (bila ya kuuliza) muhusika ni serikali tu.