Naona ni kujenga hofu miongoni mwa wana nchi tukielekea uchaguzi wa 2025, watanzania ni waoga zana unaweza kutawala akili zao kwa kuutengenezea hofu, pia ni wasaulifi sanaa.HAMKO SALAMA NYTE, NYOTE VIONGOZI.......Chukueni tahadhali, chukueni tahadhali na kaeni mtafakari kama chama nini kifanyike? Nini kifanyike?
Usalama wenu ukoje be it Mbowe, Mnyika Heche, Lisu lema to mention but a few!
Siasa za kistaarabu zimekuwa too much, sasa inatakiwa wawe majasiri, kila kiongozi na mfuasi awe mlinzi wa mwenzieUstaarabu, uungwana na upole wa kindezi tuuweke pembeni, bora kufa hadharani ukiwa unapambana kuliko kufa kifala ukiwa peke yako.
Kwa kifupi, unakufa ukiwa umekula na kumeza sikio, pia au jicho la mtu ili awe shahidi wa uovu wake.
Na pia Bora ufie kwenye watu ndugu zako wachukue mwili wako uzikwe Kwa heshima kama binadamu,kulko kuliwa na fisi au kua kitoweo Cha chatu kule pori la kataviUstaarabu, uungwana na upole wa kindezi tuuweke pembeni, bora kufa hadharani ukiwa unapambana kuliko kufa kifala ukiwa peke yako.
Kwa kifupi, unakufa ukiwa umekula na kumeza sikio, pua au jicho la mtu ili awe shahidi wa uovu wake.
Lazima tujiulize kwanini watu Hawa wamekuwa na ujasiri huu mkubwa wakumkamata mtu ndani ya basi nakwenda kumuuaKuna Mambo mawili:
1: Yawezekana Serikali inahusika
2: Yawezekana Kuna kundi la watu wnaichafua Serikali,lakini je?
1: Waziri wa mambo ya Ndani kimya
2: Polisi Kimya
3: Waziri Mkuu kimya
4:Makamu wa Rais kimya
5:Bunge Kimya
6:Rais Kimya
Tafsiri yake nini Sasa?
1:Hatujui la kufanya
2:Tunajua kinachoendelea na kimepangwa,
3:Hali hiyo siyo shida Kwa nchi au kitu Gani?
Kama watu Hawa wanaotekwa ni wahalifu na SERIKALI inahusika,basi wakamatwe Kwa mujibu wa Taratibu,washtakiwe,wskikutwa na hahatia wafungwe.
Kama watu Hawa hawajulikani Serikali ichuke hatua haraka sana kabla ya tabia hii kukua na kuonekana ya Kawaida na watu kuanza kuuana hivyo na kuchafua taswira ya nchi
Kwa kifupi SERIKALI IMESHINDWA NA IMEANGUKA IPO UCHI.Kuna Mambo mawili:
1: Yawezekana Serikali inahusika
2: Yawezekana Kuna kundi la watu wnaichafua Serikali,lakini je?
1: Waziri wa mambo ya Ndani kimya
2: Polisi Kimya
3: Waziri Mkuu kimya
4:Makamu wa Rais kimya
5:Bunge Kimya
6:Rais Kimya
Tafsiri yake nini Sasa?
1:Hatujui la kufanya
2:Tunajua kinachoendelea na kimepangwa,
3:Hali hiyo siyo shida Kwa nchi au kitu Gani?
Kama watu Hawa wanaotekwa ni wahalifu na SERIKALI inahusika,basi wakamatwe Kwa mujibu wa Taratibu,washtakiwe,wskikutwa na hahatia wafungwe.
Kama watu Hawa hawajulikani Serikali ichuke hatua haraka sana kabla ya tabia hii kukua na kuonekana ya Kawaida na watu kuanza kuuana hivyo na kuchafua taswira ya nchi
Wanaweza fanikiwa kutengeneza hofu sawa, lakini cha ajabu akili ya mwanadamu unapo msababishia changamoto ndipo alikiri yake huwezi kutafuta suluhisho , uncertainty is catalyzed by people deliberately or without their knowledge,ukinisababishia changamoto naamsha ubongo nafikiri zaidi, binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiriNaona ni kujenga hofu miongoni mwa wana nchi tukielekea uchaguzi wa 2025, watanzania ni waoga zana unaweza kutawala akili zao kwa kuutengenezea hofu, pia ni wasaulifi sanaa.
Ina depend on nature of those people ila sio kwa jamii ya watanzania, sisi ni raia unique, kifikra sio rahisi kutulinganisha na raia wengine wa duniaWanaweza fanikiwa kutengeneza hofu sawa, lakini cha ajabu akili ya mwanadamu unapo msababishia changamoto ndipo alikiri yake huwezi kutafuta suluhisho , uncertainty is catalyzed by people deliberately or without their knowledge
Punguza ujinga basi. Unakuwa chawa mpk unatapika upumbavu kama huu?Lipo wazi wahusika wa haya matukio ni CDM wenyewe