Pre GE2025 Kwa hili la Ali Kibao hakuna yoyote ndani ya CHADEMA aliye salama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
You're
You're than a stupid skunk!
 
Conspiracy theorists, msisahau kwamba ni gari za polisi zilizosimamisha basi. Sijui CDM siku hizi wana magari ya polisi?
 
Sasa police wanawakamata kwenye maandamano wanashindwa kuwakamata kwenye serious crimes kama hizi....!? Nyie Chawa nyie, Mungu nawaona.
 
Sio aliye ndani ya chadema tu Bali watanzania wote hakuna aliye salaama . Kwani chadema sio kabila ni chama cha siasa. Kesho wewe unaweza kudhaniwa ni mwanachadema ukafanyiwa kama hayo ya Ally. Watanzania tuache ujinga wa ubinafusi .
 
Sheria mpya ya usalama wa taifa hili ndio lilikuwa lengo lake.
 
Sheria mpya ya usalama wa taifa ndio imebariki haya. Tulipinga sana sheria ile maana haya yanayofanyika sasa tulijua fika yatatokea kwani yalikuwa yanafanyika sana wakati wa magufuli, lakini kwa sasa yamepewa kinga ya kisheria. Kama unadhani kuna wajinga wa kuwapoteza, basi umechelewa.
 
Mkuu umeandika kama haujui mnyororo wa uongozi wa Serikali kweli!

Rais utamuwekaje #6?

Ndiyo maana comment yako imekuwa ndefu saazingine kwa kutokujua huko!

Ungelimuweka #1 basi nadhani uliona utakosa hoja, maana yake hao wengine automatic wangeliondoka kwenye lawama zako na angelibakia #1 ambaye ni yeye.

Na yeye, ndiye yeye kwenye chain of command ya sakata hili, ndiyo maana kwenye taarifa ya saa2 usiku kajibaraguza kulaani kwa mara ya kwanza na kutaka faili la mauaji hayo lifike mezani kwake haraka.

Kunyamaza kwa watu wengine uliowataja ingawa wanajua kwa undani wa jambo hili, hizo ni itifaki za kiserikali na ni lazima wazingatie kulinda vitumbua vyao visirukiwe mchanga.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John J. Mnyika alitoa taarifa kwa umma ya Ally Mohammed Kibao kutekwa na kupotezwa > 22:10, September 06, 2024

2. Jeshi la Polisi likatoa taarifa ya kuanza uchunguzi wa Ally Mohammed Kibao kuchukuliwa na kushushwa kwenye basi > 15:37, September 07, 2024

3. Mwili wa Mzee Ally Mohammed Kibao umepatikana eneo la UNUNIO alfajiri na Polisi wakauchukua mwili majira ya saa mbili asubuhi, September 07, 2024
 
Mpaka saa nahisi hii ni kazi ya wasioitakia amani Tanzania, wanatokea wapI au upande upi? Sifahamu.

Tukio nilivyyolisoma linaonsha wazi ni mchezo wa kuigiza ambao ulilenga lawama zote ziiendee serikali.
 
Hilo la kulazimisha kutajwa sana Rais ndio linaonesha wazi huu ni mchezo uliopangwa kumchafua mama Samia na Serikali yake.
 
Mnaoita Viongozi wameshageukana kuna majoka humu humu kwenye viongozi wenu mnaoita
 
Unajua kwa nini unatukanwa mkuu?

Hii issue ya kuudhi imetokea siku si nyingi, tangia tukio la Sativa lenye sura hii hii kutokea huko pori la hifadhi la Katavi na hakuna Serikali ilipoonekana kuchukua hatua za maana.

Bahati kijana Sativa alisalimika kifo na kurekodiwa alivyoshuhudia unyambilisi huo na kutaja wahusika na vituo alivyofichwa kwa majina, wahusika ni watumishi wa Serikali.

Sasa bila kuunganisha hiyo cenario katika utetezi wa hoja yako hii utaoga matusi ya aibu ya kutosha.

Watu wana uchungu sana na haya yanayotokea na mfariji wao mkuu alitakiwa awe Rais mwenyewe kuonesha anajali kwa kuchukua hatua madhubuti kukomesha.

Hayo mauchunguzi yako ya ki F.B.I hayana uhalisia wowote katika mazingira haya kwa sababu zozote zile, maana jambo lipo wazi hili.

Sasa unapoonekana kuikingia kifua Serikali iliyofeli kiuwajibikaji kwa utetezi wa kimkakati wa aina yoyote katika sakata hili, utaonekana kama ni chawa asiyejitambua, mtu usiyeguswa na madhila ya wengine.
 
Wewe nae umeuamini mchezo wa kuigiza wa Sativa?
 
Walisemaga wajuvi wa mambo kwamba
If you think hard enough problems could always be solved, but you had to think and think and think and then remember !
 
Alluta continue. Sisi Rombo hatuna mpango na CCM serikali ya CCM imeshindwa kutuambia alipo Ben saanane, akwilina aliuawa, Joshua aliyefia Israel, tuna uchungu na watoto wetu. Na Tanga waikatae CCM kwa mauaji ya mwana Tanga mwenzao, na maeneo mengineyo ambayo wapendwa wao wamepotea na serikali imekaa kimya waikatae CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…