Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Hakuna mtu anapenda kuona mwenzake ananyan’gwa maisha yake kirahisi.Ipo siku watakufikia... Na umma utakuuliza maswali.
Toka lini serikali ikapindisha sheria kwa CCM au asiye CCM?ccm hivi viburi mtavilipa hata kwa damu
Ndo nini unaandika visivyoeleweka!?Toja lini serikali ikapindisha sheria jwa CCM au adiyr CCM?
Serikali ya CCM ishafunga mpaka mawaziri wake, au ulikiwa shule ya chekechea?
Mkuu nchi hii hatujafikia hatua ya watu kutekwa ovyo na vikosi vinavyotumia magari ya serikali!Hakuna mtu anapenda kuona mwenzake ananyan’gwa maisha yake kirahisi.
Shida ni kwamba ni rahisi sana kuwaaminisha chochote watu wasio na utamaduni wa kuuliza maswali.
Yaani watu wanafanya tukio la uhalifu mbele ya mashahidi luluki.
Halafu mwili wanautupa eneo ambalo ni rahisi mwili kuonekana na wapita njia.
Na amuoni sababu ya kuuliza serikali gani duniani inayotafuta support ya wananchi inaweza kufanya mambo ya hovyo hadharani hivyo.
Hilo genge la wahuni wanafanya hivyo kwa sababu mmeshajimisha kama jamii (bila ya kuuliza) muhusika ni serikali tu.
Kiongozi, hiyo nchi kuna watu serikalini ni mafia kweli kweli na wana roho za kikatili ukiingia kwenye 18 zao.Mkuu nchi hii hatujafikia hatua ya watu kutekwa ovyo na vikosi vinavyotumia magari ya serikali!
Kama kungekuwa na waasi rasmi kama DR Congo ni rahisi kuamini unachokisema.
Siri ya wazi ni kuwa serikali imehusika!Kiongozi, hiyo nchi kuna watu serikalini ni mafia kweli kweli na wana roho za kikatili ukiingia kwenye 18 zao.
Umesahau yule mzungu wa uchunguzi wa kiini cha biashara ya meno tembo Tanzania walipoona anawakaribia tu, si walimpiga risasi mchana kweupe.
Hayo mauaji ya mzee Kibao yanaweza kuwa na interesting party kadhaa, sio kuhitimisha ni fulani kwa kufuata leading statements za CDM tu.
Umeshajiuliza Msigwa alikuwa anajua hizo habari za Mzee Kibao toka akiwa CDM au kapewa akiwa nje.
Iwapo kweli mzee Kibao alikuwa anahusika na utekaji na kuna washiriki wake ambao wana lengo ya kuichafua tu serikali bado wapo serikalini huku ni powerful. Uoni ili kundi wanaweza kuwa na sababu ya kukata trail yao kwa kumuondoa marehemu. Sasa hawa watu si wanaweza pata tu gari za serikali.
Ni hivi tuwe na open mind kwenye hii situation.
Juzi NY wamekamata mtandao wa polisi unaojihusisha na unaojiusisha na mambo haramu ya mtaani. Ina maana hayo ni matendo ya NYPD nzima?Siri ya wazi ni kuwa serikali imehusika!
Hao wengine wanaouliwa na wauaji hawapatikani ni ishara kwamba wana godfathers serikalini.
Hivyo hoja kuu hapa ni kuwa mfumo wa Serikali unadhulumu uhai wa wananchi wake.
Haya mengine ni kujaza servers tu!