Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

4. Msemaji wa Serikali badala ya Kuelezea Kiundani muda mwingi anautumia Kufoka. Kukosoa na kutuonyesha Watanzania kuwa hana Akili

😀😀😀😀😀😀😀
 
Leo umeweka chupa za k-vant pembeni ukaandika kisomi na kiakili mno.
 
Mchakato juu ya huu Mkataba uanze upya na uhusishe Watanzania Wote
Mbona kaliandika hilo.
 
Mkuu umeongea vizuri Sana ishu inakuja kwenye terms zahuo mkataba ndipo tunaona niheri bandari zibaki chini yanchiyetu
 

Good [emoji106]
 
Mkuu upo sahihi sana, nakuunga mkono hili.

Wataalamu wa masuala ya Bandari wangeusika awali na ungefanyika utafiti na kuweka mapungufu ya bandari yetu na sehemu za kuboresha.

Wamefanya sana makosa kupeleka wabunge na waandishi wa habari kisha kutupa mrejesho wa kusapoti, hawa waandishi wa habari kila meli ikija wanaweka cover page na kuandika meli kubwa imevunja rekodi kuingia bandari ya Dar
 
Nikifanya resembling na kiwanda cha karatasi mgololo naomba ifanye nikutabilie yafuatayo pale bandarini
1. Bandari itaboreshwa.
2. Ufanisi kuongezeka japo si kwa kiwango kinacho tuhusu tutaona tuu kwenye picha
3. Biashara ya muarabu itaimarika
4. Maslahi ya chini mno kwa wafanyakazi. Hii itapelekea wafanyakazi robo tuu kubakishwa kazini kwani wengi wao watafukuzwa na nafasi zao kushikiliwa na mitambo, vibarua na waarabu. Bandari itakuwa utumwani na wanawake watanyanyasuka kingono.
5. Huduma itafurahisha nchi jirani.
6. Mapato kwa DP word yatapanda. Mapaato binafsi ya mafisadi yatapanda. Ila mapato ya serikali yatashuka mnooooooo. Hakutakuwa na TRA pale bandarini wala ukaguzi wa mizigo.
7. Urasimu hauto kuwepo.
Kwa nyongeza....
8. Usalama wa nchi utakuwa matatani.
9. Kuna ka harufu ka udini pale bandalini.
Natanguliza shukrani
 
Asante Mkuu wangu.
Huwezi kula keki keki uliyonayo halafu hapo hapo ibaki vile vile bila kupungua. Haya unayoelezea yote hapa hayawezekani na ndiyo maana mambo yanafanyika gizani. Nakuhakikishia kuwa ingekuwa inawezekana wala basi Samia and Co wangekuwa wa kwanza kuyafanya na ingekuwa ni nafasi nzuri mno ya kujipatia ujiko. Haiwezekani kwa sabu waarabu hawawezi kufanya ''upumbavu'' kama huu. Waarabu wanakuja kuchuma na siyo kusaidia nchi za wengine. Yaani unataka watumie mabilini hayo ya dola ili waje kudunduliza kidogo kidogo eti ili na nyie mnufaike? Mpaka pale sisi ngozi nyeusi tutakapoelewa kuwa no free lunch ndiyo tutaacha kutegemea watu waje watujengee nchi yetu.
Verdict: Kuwa neutral kwenye issue iliyo wazi namna hii ni ujinga wa hali ya juu na kutokaka kusumbua kichwa chako kwa tafakari.
 
Ushauri wangu.
1. Tungeweza kupeleka mtaji mkubwa sana pale bandarini. Hata kuajili skilled workers kutoka foreign. Wahindi wanafanya vizuri kwenye kazi zote na wajapani wapo vizuri kwenye mambo ya bandari.
2. Kama hatuna fedha za kutosha tungetafuta investors kwenye vitengo vinavyo tusumbua tuu. Mfano tungetafuta kampuni itakayo tusaidia kwenye masuala ya upokeaji mizigo. Tungetafuta kampuni ya IT ambao wanafanya vizuri kwenye Tehama kwaajili ya kuingiza mifumo ya Tehama pale bandarini
 
Hili jambo sio la kuwa neutral hata kidogo, hii ni dalili ya woga na kujipendekeza.

Hawa watu hawana malengo mazuri na Rasilimali zetu hatupaswi kuzungumza nao kwa lugha ya kidiplomasia.

Inatupasa kuwa wakali ili kuwapa ujumbe kuwa walichokifanya ni makosa.
 
Kwa taarifa yako: Wamefanya walivyofanya kwa sababu wangehusisha wananchi na wataalam basi waarabu wasingekubaliana na masharti ambayo wangepewa. Hivi unadhani serikali ya Samia inge-risk mambo kiasi hiki, na itumie kila aina ya ghilba ilhali kulikuwa na njia nyingine nzuri ya kulifanikisha hili jambo?
 
Na wanaweza wakaipitisha hata tukipinga maana wao ndio last say
 
Uko vizuri. Pia asipewe bandari zote za Tanzania. Apewe bandari ya dar. Zile za Yanga na mtwara zibaki mikononi mwa watanzania.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Daah wee nimtanzania kweli au mkataba hujausomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…