Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

We ndo mwanaume sasa. Ungekuwa karibu tushee hata Kili 2. Una akili sana. Laki 1??? Nzima nzima? Mganga wake tapeli. Siku tatu tu,anaomba hela? Maamae. Alikuwa ameshapanga out na wahuni wenzake,wanaenda kula kitimoto, pengine ameanza kupiga simu kwamba anajaziajazia. Ila,angekupata,andekuchoma visu
 
Jusi nimemnunulia single mama mmoja viatu vya mwanae hata kusema Asante huksema nilitamani ningie chumbani nivitoe hvyo viatu nirudi navyo

Leo ananipigiaa simu pezaza birthday na gauni

Nimemuambia nitamtumia
 
Hiki Kizazi cha Vijana waliolelewa na SINGLE MOTHERS ni shida. Enyi kina dada ulizeni kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Kijana wa Kiume aliyelelewa na Single Mother ni kimeo sana, wameanza ooooh kataa Ndoa ili muishi kama mama zao. Mwingine ooooh mama awe girlfriend wangu. Hiii mitoto ni shida tupu
sister nadhani una elimu ya kuunga unga halafu haija kamilika. siku ukiachwa ulee mwanao peke yako ndo utaelewa haya unayoyasema yakoje. bahati nzuri nimelelewa na wazazi wote lakini nikikuta mwanamke anale mtoto peke yake namweshimu pia. wewe leo unaongea haya sababu una mumeo. subiri uje uwe peke yako.
 
We ndo mwanaume sasa. Ungekuwa karibu tushee hata Kili 2. Una akili sana. Laki 1??? Nzima nzima? Mganga wake tapeli. Siku tatu tu,anaomba hela? Maamae. Alikuwa ameshapanga out na wahuni wenzake,wanaenda kula kitimoto, pengine ameanza kupiga simu kwamba anajaziajazia. Ila,angekupata,andekuchoma visu
nadhani alikuwa anataka kwenda kushereheka na wenzie.....
 
Jusi nimemnunulia single mama mmoja viatu vya mwanae hata kusema Asante huksema nilitamani ningie chumbani nivitoe hvyo viatu nirudi navyo

Leo ananipigiaa simu pezaza birthday na gauni

Nimemuambia nitamtumia
Achana na single maza mkuu

Mbona wanawake wako wengi sana ambao hawajazalishwa

Hao single maza huwa ni kusuuza rungu na kusepa tu
 
The term "girlfriend" does not necessarily imply a sexual relationship, but is often used to refer to a girl or woman who is dating a person she is not engaged to without indicating whether she is having sex with them.
 
Attachments

  • Screenshot_20231123-110108.jpg
    Screenshot_20231123-110108.jpg
    63.1 KB · Views: 5
Back
Top Bottom