Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Vijana wa sasa hao.Ati mama yako awe girlfriend wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa sasa hao.Ati mama yako awe girlfriend wako?
sijui watu wengine wanakuaje aiseee......Jusi nimemnunulia single mama mmoja viatu vya mwanae hata kusema Asante huksema nilitamani ningie chumbani nivitoe hvyo viatu nirudi navyo
Leo ananipigiaa simu pezaza birthday na gauni
Nimemuambia nitamtumia
kuna muda bora uinjoy maisha yako na mtu anaeonesha kukuthamini.Jusi nimemnunulia single mama mmoja viatu vya mwanae hata kusema Asante huksema nilitamani ningie chumbani nivitoe hvyo viatu nirudi navyo
Leo ananipigiaa simu pezaza birthday na gauni
Nimemuambia nitamtumia
Umeyakanyaga, usitumie nguvu sana kuelezea.The term "girlfriend" does not necessarily imply a sexual relationship, but is often used to refer to a girl or woman who is dating a person she is not engaged to without indicating whether she is having sex with them.
Hapo linajiona lizuliiii. Af sasa usiombe livue viatu. Miguu imepinda na kugeukia kulia na kushoto ka nini. Kucha,hamna. Mitako linayolingia,kumbe ile mitaiti ya sponji. Weupe,limejichubua balaa. Af ya hivyo,unakuta yametumika sana. Bora likauzwe kwenye screpa.Kwa wenye akili na tunaona mbali tumekuunga mkono..acha na hii ngozi nyeusi ni mashetani
Jifunze kuwaheshimu Wanawake we kiazi, Vaa sura na Moyo wa kiume pamoja na kwamba umelelewa na Mama punguza Umayai mayai na kulia lia kila wakati mamaaaa!sister nadhani una elimu ya kuunga unga halafu haija kamilika. siku ukiachwa ulee mwanao peke yako ndo utaelewa haya unayoyasema yakoje. bahati nzuri nimelelewa na wazazi wote lakini nikikuta mwanamke anale mtoto peke yake namweshimu pia. wewe leo unaongea haya sababu una mumeo. subiri uje uwe peke yako.
Duh! Mna kiporo nini? Mbona kauli nzito hivi!Jifunze kuwaheshimu Wanawake we kiazi, Vaa sura na Moyo wa kiume pamoja na kwamba umelelewa na Mama punguza Umayai mayai na kulia lia kila wakati mamaaaa!
Tatizo mitoto dizaini yako hamkomi kuwaonyesha dushe mama zenu kisa tu mlilelewa kindezi, hata demu akizingua unamweleza mama. Be strong Acha umama
Shida huja elewa maana yake ka tumia lugha,Ya kisanaa,ukisoma,kisa chake,una elewa.Hiki Kizazi cha Vijana waliolelewa na SINGLE MOTHERS ni shida. Enyi kina dada ulizeni kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Kijana wa Kiume aliyelelewa na Single Mother ni kimeo sana, wameanza ooooh kataa Ndoa ili muishi kama mama zao. Mwingine ooooh mama awe girlfriend wangu. Hiii mitoto ni shida tupu