Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

Mama hawezi kuwa Girlfriend wako. Na kama bado unajitafuta achana na wanawake kwanza. Au tafuta wa hadhi yako. Wewe unataka msichana wa CLUB wakati hadhi yako ni yule wa KILABUNI. Anyway umenifurahisha sana ulivyorudisha huo muamala.
 
Upo sawa sana kwa ulichofanya ila hiyo caption ya mama yako awe girlfriend wako ifute sema tu hela za kuwapa malaya bora nimpe mama yangu.

HONGERA SANA. SIKU NYINGINE USIMKUBUKE MAMA BAADA YA MALAYA AANZE MAMA KWANZA.
 
Iliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina tsh 100,000 nikamtumia. hakusema hata amepokea. akanyamaza tu. ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah. akapokea simu nikamuuliza
"umeona kuna pesa kidogo nimekutumia tsh 100,000". akasema
"nimeona."
nikasubiri hata aseme asante hakusema. akaniambia
" nipo natafuta hiyo 50,000 kwa rafiki zangu waniongezee maana nilitaka tsh 150,000 na nilikuambia hivyo"

Nikasema sawa nisamehe sikuwa nayo yote.akanijibu "basi baadaye"
Nikaingia kwenye menu yangu ya tigo pesa nikaomba kuirudisha ile pesa. nashukuru haikuchelewa sana ikarudishwa. nikamshukuru Mungu.
Nikamtumia mama yangu tsh 20,000. Nikanyamaza. akapiga simu dk hiyo hiyo akishukuru sana na kunitakia mibaraka mingi mingi, nikamwambia mama hiyo kidogo. akasema hapana. hakuna pesa kidogo. akashukuru na kuniombea pale nilipopungua parudishwe. Basi alivyokata tu simu nikammalizia na ile nyingine 80,000. akanipigia simu tena this time nikamwambia mama naingia kwenye kikao. nashukuru Mungu akubariki.

Niliona angenishukuru sana mpaka nakuwa najisikia vibaya. siku zote mama yangu yupo hivyo umtumie 10,000 ya voucher umtumie 200,000 ya matumizi shukrani zake zipo pale pale. nikawaza sana kuwa hawa wanawake wa sasa hivi wanakwama wapi kuwa that much cold?

Yule msichana mpumbavu akanipigia simu kuwa mbona tena ile pesa nimeichukua. nikamwambia niliona ni ndogo sana nimeichukua nimemtumia mama yeye asubiri nikipata nyingi nitamtumia. nikakata simu. mpaka leo hatuna tena mawasiliano. nime mblock.
Hivi we huna baba? We ni wale wa single mother, ni vigumu sana mtu km wewe kuishi na mtoto wa mtu(wa kike). We ni wale umekuwa ukilala mpaka miaka zaidi ya 10.
 
Hiki Kizazi cha Vijana waliolelewa na SINGLE MOTHERS ni shida. Enyi kina dada ulizeni kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Kijana wa Kiume aliyelelewa na Single Mother ni kimeo sana, wameanza ooooh kataa Ndoa ili muishi kama mama zao. Mwingine ooooh mama awe girlfriend wangu. Hiii mitoto ni shida tupu
Bado hujasema sali sana walio kulea waishi milele na wanao wasiondokewe na mwenza siku zako zote hapa duniani
 
Mkulungwa umefanya jambo la kiume sana yani kama upo karibu na mangi mwambie akupe soda nitakuja kulipa, midemu ya leo ata umpe milioni kamwe hawezi kukushukuru ni mifala sana kongole sana kwako kwa ukamanda ulioufanya
 
Iliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina tsh 100,000 nikamtumia. hakusema hata amepokea. akanyamaza tu. ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah. akapokea simu nikamuuliza
"umeona kuna pesa kidogo nimekutumia tsh 100,000". akasema
"nimeona."
nikasubiri hata aseme asante hakusema. akaniambia
" nipo natafuta hiyo 50,000 kwa rafiki zangu waniongezee maana nilitaka tsh 150,000 na nilikuambia hivyo"

Nikasema sawa nisamehe sikuwa nayo yote.akanijibu "basi baadaye"
Nikaingia kwenye menu yangu ya tigo pesa nikaomba kuirudisha ile pesa. nashukuru haikuchelewa sana ikarudishwa. nikamshukuru Mungu.
Nikamtumia mama yangu tsh 20,000. Nikanyamaza. akapiga simu dk hiyo hiyo akishukuru sana na kunitakia mibaraka mingi mingi, nikamwambia mama hiyo kidogo. akasema hapana. hakuna pesa kidogo. akashukuru na kuniombea pale nilipopungua parudishwe. Basi alivyokata tu simu nikammalizia na ile nyingine 80,000. akanipigia simu tena this time nikamwambia mama naingia kwenye kikao. nashukuru Mungu akubariki.

Niliona angenishukuru sana mpaka nakuwa najisikia vibaya. siku zote mama yangu yupo hivyo umtumie 10,000 ya voucher umtumie 200,000 ya matumizi shukrani zake zipo pale pale. nikawaza sana kuwa hawa wanawake wa sasa hivi wanakwama wapi kuwa that much cold?

Yule msichana mpumbavu akanipigia simu kuwa mbona tena ile pesa nimeichukua. nikamwambia niliona ni ndogo sana nimeichukua nimemtumia mama yeye asubiri nikipata nyingi nitamtumia. nikakata simu. mpaka leo hatuna tena mawasiliano. nime mblock.
adamthehustla-22-11-2023-0009.jpg
 
Safi,hayo manyaku nyaku yasiyo na shukrani mnayatolea wapi?? Kwa usawa huu mtu anakupa 100k husemi Asante?? Jinga kabisa huyo
 
Santeee
Safi sana mkuu.

Next time uaiingie mkenge tena kumtumia shori pesa.
Mtumie mama utabarikiwa
 
Back
Top Bottom