Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

Safi mkuu ulivyoamua kusepa. Hao wanawake wa hivyo baadaye karma inawatesa.
Ulimi una nguvu sana, mimi kuna mmoja nilishamsaidia akawa hana shukrani na ananitolea maneno ya shombo nikimlalamika juu ya tabia zake, nilimuacha peacefully Karibu 2 yrs ago, hadi leo hajasahau wema wangu ila Sina time wala mawasiliano nae kabisa. Kwakifupi hana furaha ya maisha baada ya kumtema.
 
Sasa wewe ulitaka kununua K kwa instalment? Kwani alishakumbia kuwa anataka malipo kidogo kidogo? Si alikuwambia ni 150,000 na zilipwe mara moja kwa mkupuo?
 
Huu uzi wako kama kisingekuepo hicho kipengele cha kurudisha muamala, hakyanani ningekutukana matusi yoote ya dunia hii.
Yaan unaichukulia poa Laki?

100,000/= - - -》

- Elfu hamsini sini 2
[kwa famili ya ukubwa wa kawaida kabisaa hii ni bajet ya ges mtungi mkubwa for 2months]
- Elfu kumi kummi 10
[kigeto geto bajet ya nyama 1kg 10 days]
-
Elfu tano tano 20
[Lunch chips kuku kwa 20 days]
- Elfu tatu tatu na ushee 33
[Petrol karibu lita 30 IST inatuliaaa hata week 2 rut za kitown bila mambo mengi]
- Elfu mbili mbil 50
[Kiuswazi breakfast au dinner kwa mama ntilie for 50 days]
- Elfu moja moja 100
[Bajet ya maji makubwa ya kunywa mchana tu kwa miezi mi 3]
- Mia tano tano 200
[Nauli ya dala dala kama mwezi mzima hivi]
 
Blaza ulichofanya ni kama kushinda Game Ya Away kwa 5-0..Yaani demu anaichukulia Poa Laki?hiyo laki unapata Totoz 2 za Hapo UDSM zinakupa utamu wa kutosha mpka roho yako iridhike,halafu yeye anaona poapoa
Mpumbavu sio totoz tu ni salary ya mtu iyo.
 
[emoji3][emoji3]
 
Mkuu mama yako Bado ni girl, hazeeki?
 
Malezi mkuu ulifanya la maana sana hawana shukrani!Kuna jamaa yangu mmoja alifanya hivyohivyo mwanamke alitaka wax,jamaa kamnunulia,mwanamke alianza kukiponda na kuzingua,jamaa kwa hasira kalichukua akampelekea bibi yake mzaa mama!Bibi kafurahi na kumchunjia jamaa bonge la jogoo!Hawajitambui walio wengi!
 
Mkuu ndio Umegundua leo? Umechelewa sana

Ila na nyie mna jikakamua sana. Sio kila demu mzuri ni wa kutongoza.

Kitendo cha kukuomba Laki na Hamsini kwa muda wa siku tatu tu kingeweza kukuonesha huyo ni Gold- digger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…