Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Weka trafiki hapo masaa 24. Habari kwisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani madereva wa gari serikali na za viongozi Tz , wengi wao huwa ni ku' jimwambafy' bila sababu za msingi..... matokeo yake ndio haya...RIP Mkurugenzi.Nimeona taarifa ya Mkuu wa Mkoa Mbeya, Homera, akisema DED na dereva wake waliambiwa na polisi wa usalama barabarani wasubiri kwanza, wao wakalazimisha kwenda wakisema walikuwa na haraka.
Naona hiyo haraka yao ndio iliyosababisha mwendo kasi ulioleta ile ajali, ndio maana ile gari ya DED imechakaa vibaya sana. Hawa viongozi wa serikali waache kutumia vyeo vyao kulazimisha mambo hadi kwenda kinyume na taratibu, wataisha.
Kwan trafiki hawapo? Hao waliambiwa wasubiri Ila wakagomaWeka trafiki hapo masaa 24. Habari kwisha.
Ili upate suluhisho la tatizo kwa usahihi ni lazima nawe uingie uonje au uwe sehemu ya tatizo hilo, viongozi wetu hawaliwezi hilo la kujaribu kuzama kwenye matatizo ili kufeel namna sahihi ya kutatua matatizo.Mwisho, ninawaomba sana viongozi wetu jaribuni kuwa serious na matatizo yanayowakabili Wananchi, hasa yale yanayosababisha vifo. Msitangulize kukimbia gharama za kutatua matatizo kama haya na kupendekeza majibu ya kisiasa ambayo hayatatusaidia. Kama tatizo ni fedha, tunakatwa sana tozo, tumieni hizo pale Inyala kama suala la emergency.
Siku tukiamua kuanza kutumia wataalamu wa gani husika kwenye matatizo mengi ya nchi hii ili kupata ufumbuzi, hakika mambo mengi sana yatabadilika.Ili upate suluhisho la tatizo kwa usahihi ni lazima nawe uingie uonje au uwe sehemu ya tatizo hilo, viongozi wetu hawaliwezi hilo la kujaribu kuzama kwenye matatizo ili kufeel namna sahihi ya kutatua matatizo.
Hili unaloshauri ni sahihi kabisa nakupa heko, TANROADS walitakiwa kumshauri hivi VP ili kauli yake iwe na mashiko, hao wanaoambiwa wakague malori siyo mafundi na hawana uelewa wowte wa mifumo ya magari makubwa, alichofanya hapo VP ni kupanua wigo wa rushwa.
Nchi hii ina shida kwenye uongozi, haya maamuzi ya kipuuzi ndiyo yaleyale yanayowatesa wananchi mijini kwa kuzuia mabasi kushusha abiria kwenye vituo vya katikati ya miji ukiuliza sababu ni vile wanakuuza ajira kwa bodaboda bajaji guta na daladala wanazomiliki wao which is a very wrong ideology and fixed mindset of politicians
We ndiyo hujielewi ht umeandika nn. Ajali ya jana Lori ilifeli breki. Ajali nyingi ubovu wa maloriKatika taarifa yake kuhusu ajali ya pale Inyala Mkoani Mbeya iliyoua watu kadhaa pamoja na DED wa Igunga, Gazeti la Mwananchi limetoa taarifa kwamba ajali hiyo imetokea ikiwa ni siku tatu zimepita baada ya Makamu wa Rais Dkt. Mpango kutoa maagizo kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuanza ukaguzi wa magari ya mizigo katika eneo hili.
Sasa nashindwa kuelewa busara ya Makamu wetu wa Rais kwamba suluhisho la kuzuia ajali pale Inyala ni kuyakagua magari ya mizigo kabla hayajapita kile kipande cha barabara. Hili nalipinga kwa dhati. Nimeshindwa na hata kuchukizwa na jinsi watu walio na madaraka nchini kama Dkt. Mpango wanavyoyachukulia mambo mazito kirahisi namna hivi.
Hili ni eneo ambalo karibu kila wiki panatokea ajali mbaya sana, na Dkt. Mpango anasema kagueni magari kabla hayajapita hapa. Hii ni busara kweli?
Anapaswa kuelewa nini kinasababisha ajali pale kabla ya kutoa kile tunaita utatuzi wa kisiasa kwa tatizo la kisayansi.
Kwa kumsaidia tu na kumpa ushauri wa bure usio wa kisiasa, ni kwamba kuna sababu kubwa tatu zinazosababisha ajali pale;
Sasa Dkt. Mpango anapaswa kutoa wazo la kuzuia ajali pale kwa kuangalia hizo sababu tatu. Na kwa mawazo tu, haya yanapaswa kufikiriwa na Serikali ili kuzuia vifo na ajali za kila wakati eneo hili;
- Barabara imeharibika sana na kuweka matuta ya lami kudidimia ambayo mara nyingi yanakulazimu kupita upande usio wako wa barabara au kupoteza control ya gari unapopanda tuta kwa sababu gari zinayumba sana kwenye haya matuta
- Hiyo sehemu ina mlima/mteremko wa umbali mrefu
- Hiyo sehemu ni ya solid line ambayo huwezi ku-overtake gari nyingine (japo madereva wa mabasi hawajali hili)
Mwisho, ninawaomba sana viongozi wetu jaribuni kuwa serious na matatizo yanayowakabili Wananchi, hasa yale yanayosababisha vifo. Msitangulize kukimbia gharama za kutatua matatizo kama haya na kupendekeza majibu ya kisiasa ambayo hayatatusaidia. Kama tatizo ni fedha, tunakatwa sana tozo, tumieni hizo pale Inyala kama suala la emergency.
- TANROAD waamrishwe kutengeneza hili eneo haraka sana. Matengenezo yanayotakiwa hapa ni kama yale yaliyofanyika mteremko wa Kitonga katika kuzuia barabara kuweka matuta kutokana na uzito wa malori.
- Kwa kuwa hili ni eneo la mlima/mteremko wa umbali mrefu, pawekwe climbing lane ili kuwepo na njia tatu na ambayo moja itatumiwa zaidi na malori yanayopanda taratibu sana eneo hili
- Zaidi ya kuweka climbing lanes, eneo hili liwekwe "lay-by" kadhaa (yaani michepuko katika barabara iliyo kama sehemu ya kituo cha basi) ili madereva wanaopanda au kuteremka wawe na eneo la kuingia pale wanapoona gari lao linaanza kuleta matatizo na kulifanyia marekebisho, badala ya kusimamisha lori barabarani eneo la hatari.
Good analysis Dr Mpango kanogewa na asali siku hizi anajiongelea tu bora liende. Anataka kuwatengenezea Polisi mfereji wa rushwa kwa kisingizio cha kukagua malori wakati hata Sasa wanakagua na ajali ziko pale pale majibu rahisi kwa maswali magumu.Katika taarifa yake kuhusu ajali ya pale Inyala Mkoani Mbeya iliyoua watu kadhaa pamoja na DED wa Igunga, Gazeti la Mwananchi limetoa taarifa kwamba ajali hiyo imetokea ikiwa ni siku tatu zimepita baada ya Makamu wa Rais Dkt. Mpango kutoa maagizo kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuanza ukaguzi wa magari ya mizigo katika eneo hili.
Sasa nashindwa kuelewa busara ya Makamu wetu wa Rais kwamba suluhisho la kuzuia ajali pale Inyala ni kuyakagua magari ya mizigo kabla hayajapita kile kipande cha barabara. Hili nalipinga kwa dhati. Nimeshindwa na hata kuchukizwa na jinsi watu walio na madaraka nchini kama Dkt. Mpango wanavyoyachukulia mambo mazito kirahisi namna hivi.
Hili ni eneo ambalo karibu kila wiki panatokea ajali mbaya sana, na Dkt. Mpango anasema kagueni magari kabla hayajapita hapa. Hii ni busara kweli?
Anapaswa kuelewa nini kinasababisha ajali pale kabla ya kutoa kile tunaita utatuzi wa kisiasa kwa tatizo la kisayansi.
Kwa kumsaidia tu na kumpa ushauri wa bure usio wa kisiasa, ni kwamba kuna sababu kubwa tatu zinazosababisha ajali pale;
Sasa Dkt. Mpango anapaswa kutoa wazo la kuzuia ajali pale kwa kuangalia hizo sababu tatu. Na kwa mawazo tu, haya yanapaswa kufikiriwa na Serikali ili kuzuia vifo na ajali za kila wakati eneo hili;
- Barabara imeharibika sana na kuweka matuta ya lami kudidimia ambayo mara nyingi yanakulazimu kupita upande usio wako wa barabara au kupoteza control ya gari unapopanda tuta kwa sababu gari zinayumba sana kwenye haya matuta
- Hiyo sehemu ina mlima/mteremko wa umbali mrefu
- Hiyo sehemu ni ya solid line ambayo huwezi ku-overtake gari nyingine (japo madereva wa mabasi hawajali hili)
Mwisho, ninawaomba sana viongozi wetu jaribuni kuwa serious na matatizo yanayowakabili Wananchi, hasa yale yanayosababisha vifo. Msitangulize kukimbia gharama za kutatua matatizo kama haya na kupendekeza majibu ya kisiasa ambayo hayatatusaidia. Kama tatizo ni fedha, tunakatwa sana tozo, tumieni hizo pale Inyala kama suala la emergency.
- TANROAD waamrishwe kutengeneza hili eneo haraka sana. Matengenezo yanayotakiwa hapa ni kama yale yaliyofanyika mteremko wa Kitonga katika kuzuia barabara kuweka matuta kutokana na uzito wa malori.
- Kwa kuwa hili ni eneo la mlima/mteremko wa umbali mrefu, pawekwe climbing lane ili kuwepo na njia tatu na ambayo moja itatumiwa zaidi na malori yanayopanda taratibu sana eneo hili
- Zaidi ya kuweka climbing lanes, eneo hili liwekwe "lay-by" kadhaa (yaani michepuko katika barabara iliyo kama sehemu ya kituo cha basi) ili madereva wanaopanda au kuteremka wawe na eneo la kuingia pale wanapoona gari lao linaanza kuleta matatizo na kulifanyia marekebisho, badala ya kusimamisha lori barabarani eneo la hatari.
K 5.Miundombinu Inaruhusu kujihami? Unajihami vp kwenye single carriage road kwenye mteremko? Gari nyingine ikifeli break na kuja kwako unaenda wapi? Unapajua Inyala au?
Common sense isn't common hakika
Ndio azungumzie masuala yaliofanyiwa utafiti na yaliyoko kwenye taatifa rasmi,ova!Siku hizi Mpango amekuwa mropokaji. Kule mwanza pia ameropoka kuhusu kansa.
Mie sijaona gari inakaguliwa breki kabla ya kuanza kupanda mlima!Mnaosema gari ikaguliwe kabla ya kushuka mlima mnauhakika kuwa kabla ya gari hiyo kuanza kushuka haikuwa na brake?, je mnajua chanzo kikuu cha magari kufeli brake hapo inyala?.
Gari ishuke mlima nyoka vizuri halafu inyala kumaliza hapo ujue ni uendeshaji pia unachangia na barabara kwa sasa imeshakuwa ndogo hiyo haikidhi vigezo vya kuhimili wingi wa magari yanayopita kwa sasa.
Sasa hayo maneno kamwambie Dr Mpango, maana kama lilifeli breki ina maana lingekaguliwa breki zikiwa hazijafeli na lingeruhusiwa kupita. Huwezi hata kufikiri kama tu yule jamaaWe ndiyo hujielewi ht umeandika nn. Ajali ya jana Lori ilifeli breki. Ajali nyingi ubovu wa malori
Mie sidhani wao kuamua kupita ni tatizo. Tusitafute tatizo la karibu. Kwani magari yanapita pale kwa zamu kwa kuwa malori huwa yanafeli breki? Jiulize hiloMnaambiwa subirini,wao wanajifanya wana haraka
Ova
Hebu tumia akili kidogo wewe. Yaani wewe umefikiria ukaguzi wa kuzuia ajali Inyala ni kukagua lori limebeba nini? I say kuna watu mnajifinya na kulalamika. Halafu unakuta mtu kama wewe eti unaruhusiwa kupiga kura kutuchagulia viongozi!Marlezo yote haya ni hofu ya ukaguzi kwani mnabeba vitu gani?
Kwanza Dr Mpango amejiuliza ukiweka utaratibu wa kukagua malori pale atapata wapi wakaguzi wa kutosha ili kutosababisha msongamano wa malori? Hajafikiria kwamba tunaweza kukuta lori linakaa pale siku mbili likisubiri kukaguliwa ili lishuke au kupanda mlima? Hebu atembelee mizani kwanza aone ikiwa mizani hali ndio hiyo, kukagua breki za malorii itakuwaje. Yatapaki wapi ili yakaguliwe? Nani watakagua? Watalala wapi? Watakula, kunywa na kunya wapi wakiwa katika zoezi hilo? Okay, na lori likikutwa lina tatizo, then what, tutaanzisha magereji pale? Yaani viongozi wanaongea tu, wanatoa tu maagizo "impractical" kirahisi!Inasikitisha sana jinsi tusivyoweza kuwa na majawabu sahihi huku kuna lundo la Wataalamu