Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

Mwandishi huelewi kuwa hiyo ni sherehe ya kusherekea kifo cha huyo mnyambuda kiaina. Hapo watu wa kanisa wanasherehekea kinamna.
 
Hata wewe ni marehemu mtarajiwa usiringe sana kama vile Mungu uliwahi kumuona kwa macho yako mawili.
Ndio Kila mtu atakufa, Ila Kuna vifo vingine lazima tuvisheherekee kwa kuwa vimeleta unafuu kwa binadamu waliobaki
 
Msamaha sio kuwasafisha hawa waovu
 
Kila kitu kilichoandikwa hapo Magufuli alikifanya hadharani kabisa, sio tuhuma.
Labda kama ulikuwa hufuatilii siasa
Wewe inaonesha wazi sio mfuasi wa imani ya kikristo.
Ni nani wewe hata uwe na nguvu ya kumhukumu mwenzio?!

Kanisa liko sahihi. Kazi ya kuhukumu ni ya Mungu peke yake.
 
Wewe inaonesha wazi sio mfuasi wa imani ya kikristo.
Ni nani wewe hata uwe na nguvu ya kumhukumu mwenzio?!

Kanisa liko sahihi. Kazi ya kuhukumu ni ya Mungu peke yake.
Yaani Leo hii kule Italia wanaweza kumuadhikisha Mussolini Lisa wakristo hawatakiwi kuhukumu?
 
Kipenzi ??😂😂😜
Basi pole kwa kipenzi chako kuwa kuzimu
 
Ndio Kila mtu atakufa, Ila Kuna vifo vingine lazima tuvisheherekee kwa kuwa vimeleta unafuu kwa binadamu waliobaki
Unafuu wa maisha kwa lipi mkuu ,inaonekana unaishi Marekani sio Tanzania yetu hii ambayo vifaa vya ujenzi viko juu,maisha magumu na watu wanakula mlo mmoja ,wamachinga wanatamani kutoka Dar kurudi shamba ,ajira wanapewa kwa michongo , ..... tatizo muda .
 
Weweee...Halafu unaonekana utakuwa na Shida saaana KIMAISHA. Watu kama wewe huwa mnakufa Maskini.
 
Achana na Mambo ya kanisa, wewe unaweza kumhubiri Mungu bila kuogopa hata kama unaua??? Unaweza kusema Mungu oyeeeeee mbele za watu wa dini mbalimbali. Mwacha mtu wa Mungu aendelee kuenziwa. Kikubwa dunia nzima ilihubiriwa habari za Mungu kwa mwaka mmoja. Kama unaona wivu kesho jifungie ndani.
 
Ndio Kila mtu atakufa, Ila Kuna vifo vingine lazima tuvisheherekee kwa kuwa vimeleta unafuu kwa binadamu waliobaki
Unafuu wakati wa mateso yako upo pale pale!?. Wakati wa kulala juu ya kitanda cha hospitalini kwa miezi sita ukitumia mipira kupumua?.

Mkuu usifurahie sana kifo cha mwenzako ukawa unamkufuru Mungu.
 
Kanisa katoliki jimbo kuu la mwanza ni kanisa linaloongozwa kisiasa hasa, John magufuli alikuwa na matendo mengi mabaya kuliko mazuri. magufuli alikuwa hana moyo wa kitanzania na kibinadamu. hafai kutengewa siku kwa ajili ya kumuombea. kumbuka matendo yake yameathiri wengi hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…