YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mpotofu weweKanisa ni mali ya waumini, kama linafanya kitu ambacho sio sahihi waumini wanapaswa kukemea
Kanisa sio mali ya waumini ni mali ya Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpotofu weweKanisa ni mali ya waumini, kama linafanya kitu ambacho sio sahihi waumini wanapaswa kukemea
Duniani hakuna haliyemwema,ila Baba yetu aliyembinguni.Mtu mwovu anaombewaje Bwashee? Tymwache atulie mavumbini
Unataka Kanisa Katoliki limhukumu mtu ambaye kabla ya kifo chake alipokea Sakramenti zote na linaamini yupo Mbinguni?
Mpaka anapewa Sakramenti maana yake anastahili.Kupewa sakramenti siyo uthibitisho kuwa yuko mbinguni. Sakramenti hizo ni haki yake kama mkristo, na ni wajibu wa kanisa kuwapa sakramenti hizo wale wanaozistahili, lakini hukumu bado ni ya Mungu mwenyewe.
Tulimuombea na tunaendelea kumuombea.Basi muombeeni na Mkapa msiwe Bias Kama alivyokuwa huyo mnayemtukuza
Tuwekee uthibitisho hapa achana na chuki.Hivi, wewe ni mgeni wa Nchi hii? Unataka uthibitisho gani kuuelezea UOVU wa mtu yule? Binafsi, nilitamani maiti yake IFUKIWE badala ya KUZIKWA!
Sawa na Magufuli ni mfano wa watu waliokuwa siyo wemaDuniani hakuna haliyemwema,ila Baba yetu aliyembinguni.
Ukweli usioweza kuthibitishwa! 😁Huo ndio ukweli usioacha shaka. Hakuna mwenye muda wa kukudhibitishia ukweli ulikuwa wazi.
Nenda kakemee huko huko kanisani kama vipi, Yesu alikuja Duniani kwa ajili ya wenye dhambi, kama unaona JPM alitenda maovu, huo ndo muda sahihi wa Kanisa Katoliki kufanya kazi yake ya kitume na siyo kutengeneza visasiKanisa ni mali ya waumini, kama linafanya kitu ambacho sio sahihi waumini wanapaswa kukemea
Unafikiri basi ataondolewa mbinguni just because unamchukia kwa kuwa uliumia alipokuwa anasimamia haki na masilahi ya Watanzania!!?Hawezi kuwa mbinguni yule trust me. Otherwise mungu Ni sawa na babu tale
Maombi dhidi ya corona ilikuwa watu wote wamekufa?Kwani Lissu alikuwa amekufa?hii ni ibada ya wafu sio ya waliohai
Unadhibitisha kwa chombo kilicho huru? Hata Hitler bado tunamzungumzia hii leo, ndio itakuwa yule uchwara?Ukweli usioweza kuthibitishwa! 😁
Chuki inawatafuna, na msipotafuta msaada wa Mungu na Wanasaikolojia itawaua.
You guys should move on, muacheni jemedari a-enjoy maisha mbinguni.
Nyie endeleeni na kupiga madili, nchi yenu hii amewaachia.
Kumbe unawajua saaana mapadre!Ndo Mana ukristo siyo dini ya mungu bali dini ya mafisadi na wapigani na wafiraji. Kila siku mapadre wanafira watoto
Inategemea na namna unavyotafsiri uovu.Mtu mwovu anaombewaje Bwashee? Tymwache atulie mavumbini
Tatizo alilonalo huyu Bwana aliyeanziah uzi huu ni chuki yake kwa Magufuli sasa anataka iwe institutionalized.Kwani Mwenyekiti wa TEC anapaswa kuwa na vigezo gani? Askofu (Mkuu) Nyaisonga hana hivyo vigezo?
Hv Tanzania kuna Wabahai zaidi ya wale pale Kisutu?😊Inategemea na namna unavyotafsiri uovu.
Ni kama wale Wabahai wamekatazwa kula nguruwe lakini wakiwa jangwani na hakuna nyama nyingine isipokuwa nguruwe basi wameruhusiwa kula.
Ipo tofauti kubwa kati ya uovu na dhambi.
Hivi mkuu... Unaamini kabisa kwamba aliitwa Padre kumuombea?Umesahau kuandika alikuwa ibada za jumapili akosi awe Chato, Dodoma, Dar au mji wowote atatafuta kanisa.
Umesahau kusema alikuwa mtu ambae akimtegemea mungu sana
Imani yake ilikuwa kubwa mpaka dakika chache kabla ya umauti tunaambiwa aliitwa padre waombe pamoja.
Na kila mara alitukumbusha kumuomba mungu tunapokuwa na shida.
Hayo yote hapo juu yana ushahidi
Wewe una ushahidi wa mtu ata mmoja ambae Magufuli aliagiza, auwewe zaidi ya story zenu za mitandaoni.
R.I.P shujaa wa ukweli