Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa bahati nzuri the Rate Chumaa na maswala ya mikopo ni vitu viwili tofauti... Hakupenda., kwahiyo ndugai asinge ongelea hiloMagufuli alivyokosa uvumilivu angekuwa tayari ameshavunja binge au ameshamteka mtu siku ileile Ndugai alivyoropoka yaliyomsibu moyoni
Ndugai ana matatizo(hasa ya kiakili) than any average Tanzanian, fuatilia trends za kauli/matendo yake tangu enzi za Jiwe mpaka sasa utalibaini hilo.Habarini!
Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei.
Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana mjibu kwa kuangalia Maslahi yake tena kwa kejeli watu Wooooteee wanashangilia Kweli Mpo serious?
Yeah ni kweli kuna sehemu nyingi Ndugai kateleza sana huko Nyuma ila Kuna msemo unasema "Mnyonge Mnyongeni Ila Haki yake Mpeni" Ndugai ana haki ya kujibiwa Sio kwa Njia ya personal attack ila kwa njia ileile aliyotumia kuelezea Issue yake.
Hili suala la Ndugai tuweke Makosa yake pembeni tumhoji Rais sio tufurahi kifo cha Ndugai.
NOTE:
Swala la Msamaha alioomba Ndugai to Me usiulete hapa ule alileta Njaaa zake tu na hizo ndio errors zake Kila siku tujadili Issue.
Mambo kama yapi au tozo?Kauli za Ndugai hazivumiliki....kusema nchi itakuja kupigwa mnada hapa anamaanisha huyu anaeongoza nchi ni hovyo...
Kauli ya kusema 2025 mtachagua wenyewe kuendelea na hawa wa kukopa kopa ama la...bado ni ya Kumsimanga Rais kwamba hafai kuongoza nchi inafaa abadilishiwe..
Ndio maana jana Mama Samia kasema kuna watu walitilia shaka uwezo wake wakati anaapishwa kuongoza, Sasa wanaona aibu kwa mambo makubwa anayoyafanya...
Umesema ukweli kabisa. Mama amejibu kama hana kiapo cha kushika dola. sijui kwa maslahi ya naniHabarini!
Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei.
Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana mjibu kwa kuangalia Maslahi yake tena kwa kejeli watu Wooooteee wanashangilia Kweli Mpo serious?
Yeah ni kweli kuna sehemu nyingi Ndugai kateleza sana huko Nyuma ila Kuna msemo unasema "Mnyonge Mnyongeni Ila Haki yake Mpeni" Ndugai ana haki ya kujibiwa Sio kwa Njia ya personal attack ila kwa njia ileile aliyotumia kuelezea Issue yake.
Hili suala la Ndugai tuweke Makosa yake pembeni tumhoji Rais sio tufurahi kifo cha Ndugai.
NOTE:
Swala la Msamaha alioomba Ndugai to Me usiulete hapa ule alileta Njaaa zake tu na hizo ndio errors zake Kila siku tujadili Issue.
Umesema ukweli na ndipo utajua kuwa watanzania wengi hata uelewa wa kuwa bunge ni mhimili unaojitegemea hawana.Habarini!
Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei.
Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana mjibu kwa kuangalia Maslahi yake tena kwa kejeli watu Wooooteee wanashangilia Kweli Mpo serious?
Yeah ni kweli kuna sehemu nyingi Ndugai kateleza sana huko Nyuma ila Kuna msemo unasema "Mnyonge Mnyongeni Ila Haki yake Mpeni" Ndugai ana haki ya kujibiwa Sio kwa Njia ya personal attack ila kwa njia ileile aliyotumia kuelezea Issue yake.
Hili suala la Ndugai tuweke Makosa yake pembeni tumhoji Rais sio tufurahi kifo cha Ndugai.
NOTE:
Swala la Msamaha alioomba Ndugai to Me usiulete hapa ule alileta Njaaa zake tu na hizo ndio errors zake Kila siku tujadili Issue.
Mpaka sasa Magu ndio Rais aliekopa Sana kuliko woteSasa bahati nzuri the Rate Chumaa na maswala ya mikopo ni vitu viwili tofauti... Hakupenda., kwahiyo ndugai asinge ongelea hilo
Je Mama?Mpaka sasa Magu ndio Rais aliekopa Sana kuliko wote
Mama anajibu hoja kana kwamba anajibu hoja za kikundi cha kikoba anasahau yeye ni RaisUmesema ukweli kabisa. Mama amejibu kama hana kiapo cha kushika dola. sijui kwa maslahi ya nani
Je unafurahi Job kupigwa na kitu kizito ili hali Kizazi chako kinawekwa kwenye Hatari siku zijazo!Mzee kaprenaumu yupo sahhihi ila acha yamkute kwasababu ni mnafiki, na kinachoturudisha nyuma watanzania ni unafiki
Mkuu hapo ndipo tunatakiwa kujiuliza watanzania ila kwa namna hii hatuendi popote.Nini kifanyike?
That's where Mgogo nae kacheza Kombo ila walivyowanafiki watu wa Kijani ukute walimfata wakamwambia muombe Radhi Mama ni mpole halaf kesho yake wakaanza kuimba tena Kweliiii kweliii!!🤣🤣Awe alikuwa na hoja au la lakini kitendo chake cha kuomba radhi bila kosa kimefanya hata walioona ana hoja kumwacha peke yake. Unaombaje radhi kwa kitu ambacho hakina kosa?
Mkuu unataka atikise kichwa na kiwiliwili kama mzungu......Rais anaongea hadi anashika kiuno!🙄🙄
Ni ngumu ndugai kulitekeleza hilo kwa sasa na badala yake tunaweza kushuhudia naibu spika au mwenyekiti wa kikao cha bunge akiendesha no confidence motion dhidi ya spika........ngoja tuone.Ndugai inafaa awahi haraka bungeni kuongea na wabunge wake wapige kura na watashinda tu kwa hali iivyo kwa sasa
Sasa bahati nzuri the Rate Chumaa na maswala ya mikopo ni vitu viwili tofauti... Hakupenda., kwahiyo ndugai asinge ongelea hilo