THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #61
Binadamu na mapungufu yake mkuu ndio maana kuna Kuongoka hata hadithi ya Sauli ipo kwenye biblia inasema vizuri Ndugu JOBO sawa ana matatizo yake na ndio maana nilisema ila nikasema kwa Hili kazungumza Point ndio kuongoka kuleKwa hio uchungu na maslahi ya nchi anayo awamu hii tu?
Kipindi cha mwendazake ashawahi kupanua domo lake kulalamikia mikopo ya muda mfupi tena yenye riba kubwa?
Ndani ya kijani kuna makundi mawili
-Kundi la kwanza ni wale wanaounga mkono juhudi ya mama kutuletea maendeleo
-Kundi la pili ndio hilo la kina Nduguyai na wenzake ambao wao ni against, lengo lao ni kumkwamisha mama ili 2025 wakaimu nafasi.