THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #41
Kwahio mkuu tunaangalia Mvurugano au point ilipo?Ndugai ana matatizo(hasa ya kiakili) than any average Tanzanian, fuatilia trends za kauli/matendo yake tangu enzi za Jiwe mpaka sasa utalibaini hilo.
Kama spika kauli za criticism kama alizozitoa angezitoa kwenye vikao vyao vya ndani au hata wangelifanya kuwa ajenda bungeni siyo kuitisha press na kuchamba mikakati ya rais, wote wana makosa kwa jinsi walivyokabili hili jambo(kuchambana) lakini Ndugai ana makosa makubwa zaidi kwa kuanzisha hii mipasho.